Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NIGER DELTA FULL DRAMA SIKIA HII SASA

                                                               moja ya kazi zake                   

                                             
Yule mchekeshaji maarufu kutoka nchi ambayo kwa Africa wanavuta mkwanja mrefu kwa maswala ya sanaa  kama Hollywood  Sam Loco Efe ambaye alifariki,   7th August 2011,maiti yake inazidi kusota katika barafu (fridge)maana imeelezwa atazikwa, 21st  October  2011
Hiki kituko si cha kwanza PS kukisikia maana the winner of BBA 2010 Uti nae alifiwa na papa wake na baadae walimzika baada ya miezi miwili na nusu

Looh Nigeria hii ni kubwa kuliko mtu kukaa mizi na miezi kwenye barafu

Mmmmmmh mmmmmmh tutaandamana kupinga hili kwenye Google
Na kwengine kote world wide

Sam loco efe ame act movie nyingi sana za vichekesho ikiwemo Aki na Ukwa
Na kuna moja nimeisahau jina   ila napenda sana wanasemaga you go kiss and tell ni ipi vile? 

2 comments:

Anonymous said...

Oh! Jamani Sintah! Huyu mzee kafariki??!! oooh! sina habari! Mungu ampalze pema peponi Amen!

dada said...

Sinta mbona huo muda ni mfupi kwa west Africa.Jana tu friday a friend of mine was telling me jirani yao alikaa mochwari 3 years kwa sababu watoto wake hawakuwa na pesa za kumzika.Nina marafiki toka Ghana,nigeria na cameroon na kwao its normal.mi mwenyewe nilishangaa.Inabidi kufanya preparation ya nguvu kabla ya kusend off hence time and Money as well.