Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MCHAWI WA SANAA YA BONGO NI HUU HAPA CHINI SOMA KWA MAKINI


Katika pita pita yangu na ufukunyuku ulionijaa nimegundua kuwa wasanii wa bongo hawana maendeleo kama walivyowasanii wa Uganda,Nigeria etc,
Kwakweli kwa wenzetu msanii akipita anaonekana ni msanii,lakini hapa bongo ni tofauti wasanii hatuna maendeleo ya kuitwa celebrities at all na yote haya yanasababishwa na sisi wenyewe wa Tanzania, UZALENDO NA WIVU  ni marafiki zetu zaidi
Utakuta mtu anadiriki kusema msanii bongo?au nitaangalia movie za bongo ili iweje?sasa kama wewe hupendi cha kwenu nani sasa atakipenda?wenzetu wa Nigerrr movie zao zinaenda platinum kwasababu wa Niger wenyewe wanapendana sana wanapenda ku support each other but when you come to Tz is vice versa
 GO east,west,north,south, central home is best

They call me sintalicious a.k.a jlo Tz a.k.a Nothing but confidence
                                                              Mungu nijalie niwe kama zamani
 
jamani kwa wale wanaoijua hii ndege wasaidieni wenzenu msiulize nilienda wapi


12 comments:

Anonymous said...

Sintah sio wote tunaojua hiyo ndege na sio wote pia tunaokuchukia, wengine kama mimi ninakufurahia sana maendeleo yako ni kwavile tu huwezi kujua. Yaani wasichana wengi tungependa kujiendeleza na kutafuta maisha kama wewe tungekuwa mbali sana.

Kila siku naingia hapa najiuliza uliwezajewezaje kuwa ulivyo sasa, lakini sipati jibu. I really wish to hear your story.

Anyway to cut the story short naomba tu kujua hapo ni ulikuwa unaenda wapi!?

Anonymous said...

Sintah tuone basi na gari unayoendesha shosti....yaani wewe kwangu ni role model kwakweli.....yaani wanawake tuanke jamani....we can do it...

jlo said...

kwa faida yako anonymous wa kwanza
hii ni Emirates (ek)723 from Ebbs to Dubai(dbx)
halafu niliunganisha Dbx mpaka pale kwa malikia Elizabeth
sikutaka kusema ila kwa kuwa umeniomba nami nipo kwaajili yako kukuelekeza na nini nimekujibu
senkyu

jlo said...

aaah hawakawii kusema najishauwa unipigie cm ukae barabarani uione nami nikuone si eti eeeh
haina majotro

Anonymous said...

my dear sintah sio kwamba hatupendi kuwasupport celebrity wa kobongo but wao wenyewe hawataki kujisupport cos ujue ile pesa nitakayoitoa kununulia cd au dvd ujue nimeifanyia kazi vya kutosha na jasho limenitoka sasa kama wao hawajitumi katika kazi yao ili itoke quality nani anawasapoti? mi nataka nitoa pesa yangu na nipate kitu kizuri. So kwakweli wasanii wakibongo hawajitumi kabisa na sijua kama wanaithamini kazi yao ya uigizaji kama nchi za wenzetu. ni hayo tu

Anonymous said...

Hivi we sintah nani hajui kua ulininyimwa visa ya uk?

Anonymous said...

Asante kwa kunijibu mwaya.....Hongera Sintah...Maisha ni hatua na Mungu akikuwezesha kupiga hatua moja hadi nyingine basi huna budi kumshukuru......Yaani hata watu wakuponde vipi Sintah mimi naungana na wachache wenye kupenda maendeleo na kukwambia hongera sana..

Wangapi tunalala usiku tunaota tupande hata Precision tuende Dar lakini inakuwa ni kizungumkuti!!!??? kila mtu anapenda maisha mazuri...atakaye kusema vibaya ujue tayari wivu anao...

Yaani mi naamini kuwa aliyekupa wewe iko siku na mimi nikikazana ataniona na kunipa......Sintah you can share your life story na sisi tujue umefikaje hapo.....I AM JUST SO INSPIRED MPAKA SIJUI CHA KUANDIKA TENA...

Anonymous said...

kukata ubishi cinta wawekee picha ulizopoiga uingerezaaaaaaaaaaa....na dubai...aaaaagh! jamani huko UK na dubai siku hizi watu wanakwenda kama k/koo...ukipata mume wa mtu tu mwenye vijisent vyake basi atakuzungusha duania nzima...china/bangkok/japan/dubai/uk..MPOOOOOOOO...Uchumi mnao lakin mmeukalia...watu siku hizi hawataki kina juma nature..ni waume za watu kwenda mbele.

Anonymous said...

Huu ndiyo tunaosema ni ushamba. Inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege.
Tutasikia huko UK uko mji gani. Dunia ni kijiji kidogo sasa hivi.

Anonymous said...

Wewe ni bwege wewe. Kwani UK mbona wabongo kibao wako huko, wanakwenda, wanarudi. Kwa hiyo ndiyo unafikiri ni big deal. Ma-celebrity wa bongo mmechoka sana kimawazo. Kwa kweli tuna kazi kubwa ya kuwatoa ushamba malimbukeni kama wewe.

Anonymous said...

Wewe mshamba kuna tofauti kati ya Nigeria na Niger. Ulisoma shule gani wewe? Kama unashindwa kujua tofauti kati ya vitu hivi vidogo utaweza ku-act movie gani ya maana?
Ukweli wa mambo ni kuwa Bongo hakuna hata movie moja yenye viwango.

Anonymous said...

nakupenda sana mdogo wangu Jlo daa! umebarikiwa jamani umezidi kuwa mzuri Sintah