Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
Dear PS

natumaini uko pouwa kabisa,mimi ninaswali hivi kweli kuna ubaya ukimsifia mwanaume mwingine kwa mumeo/bf wako?
kuna kijana mmoja anaitwa M amekuwa akinisaidia sana kimawazo,na shughuli nyingine zinazohusu kazi na pia hata kudiriki kunihangaikia kwa lolote ila si kimapenzi zaidi,nikiongea nae bf anakasirika ila yule M yupo easy na wala hanitaki,hajawahi kunitamkia chochote kwasababu mimi na mkewe tunaheshimiana sana
sasa sijui bf wangu nimfanye nini ili aelewe kama yule ni rafiki tuu na wala sina la zaidi nae

naomba usinitaje jina ila wadau nimelileta hili kwenu ili mnishauri pia

thanks

40 comments:

Anonymous said...

wewe nawe akili yako imejaa matope kweli kah! wewe akimsifia, mwanamke mbele yako utafurahi? na unamuuliza huyo sinta si ni kiruka njia tu anajua nini kwenye swala la kuwa na mume? wewe nawe embu uwe na akili, sinta mwenyewe ndoa imemshinda lol, ndo ataweza kukusaidia kwako? sintah usibane comment hata ukibana umeshaisoma

Anonymous said...

Wewe dada nawe hujatulia, bf wako lazima aumie unapomsifia mwanaume mwingine, hebu imagine bf wako amsifie mwanamke mwingine nawewe utajisikiaje? Wahenga wasema "mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu uchungu"

Anonymous said...

dada wewe akili hauna kabisa

Anonymous said...

yaani huyo bf wako anatakiwa ajue kuwa una rafiki wa kiume sasa kama hataki basi akutimizie yote

Anonymous said...

dada wanaume ni waajabu labda anafanya hivyo ili bidae akutake

Anonymous said...

mimi sikushauri wanaume ni waajabu jamani wewe kaa na huyo anaekusaidia ilimradi sio bwana yako

Anonymous said...

dada angalia mtu anaekusaidia usije ukavunja urafiki wako na mtu wa maana kwasababu ya bf mchwara

Anonymous said...

kwani wewe unaonaje?unamtaka huyo rafiki yako au?au labda yeye anakutaka

Anonymous said...

achana na bf kuwa na rafiki maana anakusaidia sana bf dakika yote anageuka

Anonymous said...

kwani siku hizi kuna bf jamani?kaa na rafiki yako wa shida na raha

Anonymous said...

laiti ningekaa karibu na wewe dada ungezaba kibao kwanza

Anonymous said...

bwana yako anakupenda ndio maana anaona wivu

Anonymous said...

unamuabisha bwana yako kwa kukaa na marafiki mvumilie tuu

Anonymous said...

wewe msenge kweli sasa ulitaka bf wako apige makofi?

Anonymous said...

unampenda kweli bf wako au?maana unajibu tayari

Anonymous said...

kwakweli wewe dada ni f*ck hee yaani unamthamini rafiki kuliko bf ama kweli mapenzi sasa ni mmmmh

sintah's baby said...

wewe dada ovyoooo nakupa msemo wa jlo maana anaupenda

Anonymous said...

dada uwe basi uwe aibu basi unapoandika hii msg sasa kama unampenda bwana yako kwanini uhangaike

Anonymous said...

kwani bf wako hawezi kukusaidia hivyo vitu?

Anonymous said...

sasa unamuliza jlo akusaidie nini?kuanzia yule original problem na huyu wetu nae problem

Anonymous said...

yaani mwanaume wako ningemjua ningelala nae ili wakati unaenda kwa rafiki yako nimliwaze

Anonymous said...

dada akili huna kabisa wewe yaani mwanamme wako akikukataza sasa una ngangania wa nini

Anonymous said...

unalako jambo wewe

Anonymous said...

chunga tabia yako bidada itaku cost

Anonymous said...

msemo wa sintah ovyooo,sasa kama unajua zaidi jisaidie mwenyewe ila wewe ni mcharuko

Anonymous said...

Tena mume wa mtu. Na mkewe anajua kuwa mumewe anakusaidia sijuhi umemgeuza ATM? Huo ni umalaya hata kama hajakutaka wewe umeshataka pesa yake tayari wewe ni tatizo. Unataka kunambia akikutaka utakataa.?
Ningekuona wa maana kama anayekusaidia angekuwa single kwani hata akija kukutaka inawezekana ndiye Mungu alokupangia. Lakini kuparamia wame za watu inahu.

Anonymous said...

wewe ni malaya kwa ujumla sasa utakaa na mume wa mtu wa nini?

Anonymous said...

sasa hapa tukusaidie nini kwasababu moyo wako ndio umependa sasa sisi tuuchape?

Anonymous said...

kama huyo kijana anakusaidia basi jaribu mweleza bf wako kwa uzuri na atakuelewa

Anonymous said...

wanaume wana wivu sana kushinda sisi wanawake yaani hapo anajisikia vibaya sana

Anonymous said...

achana na huyo mwanaume anae kuonea wivu mbele ya rafiki yako

Anonymous said...

mimi binafsi hilo li mwanamme siwezani nalo na naomba Mungu aninusuru nisipate kama hilo lisilopenda maendeleo

Anonymous said...

kwani dada hujatuambia vizuri huyo bf wako anakusaidia au ndio mwanamme suruali?

Anonymous said...

sasa ni mwanaume suruali ndio inakuwaga na wivu kuna moja nalijua sema lenyewe ni serengeti boy basi full kusumbua mademu

Anonymous said...

labda utuulize sisi wadau,maana huyo sintah kashajichokea na wanaume nasikia hataki bf kabisa maana amechoshwa nao,wamemtenda sasa kaamua kutulia peke yake

Anonymous said...

hilo limwanaume ni gendere maana halisikii sasa anataka wewe usiwe na marafiki ovyo msemo wa jlo

Anonymous said...

achana na mwanaume asiependa maendeleo kuwa busy na mambo yako

Anonymous said...

hilo si janaume maana halipendi maendeleo bali ni gume gume

Anonymous said...

mwanaume kama huyo utakuta ana wanawake kibao ana kubana wewe yako yasimame yake yamnyokee
dada usikubali wanaume waajabu kama hao

Anonymous said...

achana na hilo li mwanaume halifai