Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HANIRIDHISHI NIFANYE NINI NA NINAMPENDA

Habari dada PS a.k.a jlo
dada Sintah mimi ni msichana wa miaka 26,nimtokea kuipenda hii blog na kuileta hii story huku,
ni hivi nina bf wangu nimeanzana nae miezi kama mitatu hivi,ila hanitoshelezi kabisa yaani mambo anayoyafanya ni tofauti nami ninavyotaka kwa kawaida huwa napenda sana maeneo fulani yashikwe sasa yeye anaenda kinyume na matakwa yangu sasa ninaomba unishauri na wadau wa hii blog kwa ujumla nini nifanye?
je nimwambie kuwa anavyofanya ndivyo sivyo?au ninyamaze tuu na niendelee kuumia roho na kutoridhika?
wadau mimi ikiwa ni mmoja wa hii blog naoba mnisaidie nifanye nini hasa na kumpenda nampenda
wako
D

5 comments:

Anonymous said...

nakushauri ukae chini kama rafiki yako umwambie ....tena kipindi hiki mlichoanza mahusiano ni kizuri sana kuambiana ukweli nini unapenda nini haupendi na mahusiano yanayojengwa kwenye misingi ya kuambiana ukweli kama marafiki unakua mzuri,kuliko uendelee kumeza maumivu better tell him utamsaidia na wewe utakua unaenjoy.......goodluck

SANDRA said...

jamani mwambie kama unampenda dada D unajua unapokutana na mtu kila mtu anakuwa ajui uyu nimfanyie nini ili aridhike sasa mkishazoeana inabidi umwambie na kingine wanawake wengi wana mtindo wa ku prittend...... ushauri wangu mwambie tu mana ata wewe rabda kuna vitu unafanya yeye aridhiki

Anonymous said...

JAMAni dada D pole sana kaa nae utulie asilimia kubwa wanaume huwa tunawaridhisha sisi ila wao awaturidhishi kabisa utakuta mwanaume akikojoa tu mchezo umekwisha

FATHER KIDEVU said...

Mimi nakushauri sana kama kweli wampenda mbadilishe. Niimani yangu kubwa atabadilika. Wakati mzuri wa kumwelezaili kama ni mtu wakujihisi vibaya ni wakati mpo uwanjani maana wakati huo ndipa Cocha huzungumza na wachezaji wake na pia kipa mzuri ni yule pia anaejua kuwapanga wachezaji wakewakabe vipi ili pasitokee matatizo hapo baade.

Hivyo tafdhali sana leo mwambie. Ukiona tabu wewe unawezaanza kumuuliza yeye Dear hivi unapenda niwe nakufanyia nini wakati wa mapenzi na nini hupendi...hakika atasema nawe pia unamchomekea kuwamimi wakati unaendelea ukinishika sikio walahi nawezakukusainia cheki hata ya milioni 100 ambayo saa ingine salio lako Benki hata vocha ya buku haitoshi.

Alamsiki.

Anonymous said...

Achana nae,kuna watu wengine hata umwambie mara ngapi bado hatakuelewa,tafuta ustaarabu mwingine mapema kabla mambo hayajaharibika hapo baadaye,