tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post6325334030902506092..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: HANIRIDHISHI NIFANYE NINI NA NINAMPENDASintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-55187883732865163672011-09-25T10:46:25.270+03:002011-09-25T10:46:25.270+03:00Achana nae,kuna watu wengine hata umwambie mara ng...Achana nae,kuna watu wengine hata umwambie mara ngapi bado hatakuelewa,tafuta ustaarabu mwingine mapema kabla mambo hayajaharibika hapo baadaye,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-61801050053374709992011-09-21T20:11:28.020+03:002011-09-21T20:11:28.020+03:00Mimi nakushauri sana kama kweli wampenda mbadilish...Mimi nakushauri sana kama kweli wampenda mbadilishe. Niimani yangu kubwa atabadilika. Wakati mzuri wa kumwelezaili kama ni mtu wakujihisi vibaya ni wakati mpo uwanjani maana wakati huo ndipa Cocha huzungumza na wachezaji wake na pia kipa mzuri ni yule pia anaejua kuwapanga wachezaji wakewakabe vipi ili pasitokee matatizo hapo baade.<br /><br />Hivyo tafdhali sana leo mwambie. Ukiona tabu wewe unawezaanza kumuuliza yeye Dear hivi unapenda niwe nakufanyia nini wakati wa mapenzi na nini hupendi...hakika atasema nawe pia unamchomekea kuwamimi wakati unaendelea ukinishika sikio walahi nawezakukusainia cheki hata ya milioni 100 ambayo saa ingine salio lako Benki hata vocha ya buku haitoshi.<br /><br />Alamsiki.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-83608328038901456432011-09-21T13:54:33.820+03:002011-09-21T13:54:33.820+03:00JAMAni dada D pole sana kaa nae utulie asilimia ku...JAMAni dada D pole sana kaa nae utulie asilimia kubwa wanaume huwa tunawaridhisha sisi ila wao awaturidhishi kabisa utakuta mwanaume akikojoa tu mchezo umekwishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-68025673957917279212011-09-21T13:44:00.295+03:002011-09-21T13:44:00.295+03:00jamani mwambie kama unampenda dada D unajua unapok...jamani mwambie kama unampenda dada D unajua unapokutana na mtu kila mtu anakuwa ajui uyu nimfanyie nini ili aridhike sasa mkishazoeana inabidi umwambie na kingine wanawake wengi wana mtindo wa ku prittend...... ushauri wangu mwambie tu mana ata wewe rabda kuna vitu unafanya yeye aridhikiSANDRAnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-21009225516743760182011-09-21T11:15:42.534+03:002011-09-21T11:15:42.534+03:00nakushauri ukae chini kama rafiki yako umwambie .....nakushauri ukae chini kama rafiki yako umwambie ....tena kipindi hiki mlichoanza mahusiano ni kizuri sana kuambiana ukweli nini unapenda nini haupendi na mahusiano yanayojengwa kwenye misingi ya kuambiana ukweli kama marafiki unakua mzuri,kuliko uendelee kumeza maumivu better tell him utamsaidia na wewe utakua unaenjoy.......goodluckAnonymousnoreply@blogger.com