Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WHO RUN THE WORLD GALS, WHO RUN THE WORLD GALS,WE RUN THIS HUHUUUU

lovely aunt of mine Jasmine Jimmy

HAWA NI BAADHI YA MADADA WALIOKARIBU NAMI WANA RUN THE WORLD IN DIFFERENT ASPECTS,SOME OF THEM R MOTHERS,THEY BEAR THE CHILDREN AND STILL GO BACK TO THE BUSINESS

26 comments:

juliana deus said...

jaman ps huyu sio sada aliyesoma biafra jaman kweli dunian hakuna mwembamba na mm nitannpa basi haaa

Anonymous said...

Kwa hapo nimekukubali..u girls run the world..simple life..no frustrations wala kujikweeeeeeza..i love u so so much!!

Anonymous said...

Lovely pretty gals! indeed you girls run the world!!

Anonymous said...

love u girls ur always the best....keep it up jlo upo juuu

Anonymous said...

i like the first picture sintah kusema ukweli umependeza na unapaswa kumshukuru mungu kwa kila jambo

Anonymous said...

everyone runs the world in his/her own very ways....so stop showing off as if others are less fortunate in this world.......SCREW YOU SINTAH

Sintah said...

yap my first pic was in Adiss Ababa Ethiopia with my gals,Jemilla &Amira,miss them so dearly
nashukuru sana wewe mdau ulietupa big up na Mungu atakuzidishia maana umesema ukweli
big up tp our enemies because you make us stronger

Anonymous said...

mmmh yaani sintah ndio hapo tuu unanikosha big up mammy

Anonymous said...

kila siku anaekuchukia ndio anaekupenda maana anatamani kuwa kama wewe ila haiwezekani sasa ndipo anapopata shida na kuhaha kila mara
Mungu awe nanyi warembo

salsa said...

mumependeza sintah nakupenda sana dada unawapenda rafiki zako kusema ukweli na unawajali kwa moyo wote i wish na mimi niwe rafiki yako ila sina faranga, na nyie marafiki msiwe vizabizabina mwenzenu anawajali sana mtoto wa watu

Anonymous said...

sintah penny sio mshikaji wako mbona simuoni kwenye picha na kwenye birthday yako alikuwepo?

Sintah said...

penny ni my lovely friend ila nilimcheki atume picha zake lakini hakuweza maana alikuwa anaumwa,besides jamani watu wote ni marafiki zangu sina specific friend kusema ni rafiki all of them i love them equally sema hawa ndio walituma mapema na wengine nilikuwa na photo zao
kama unataka hata na wewe nitumie tuu this isnt only for my friends ni ya wote
i love u all
shukurani kwa kuuliza
xoxo
ps

sintah said...

salsa urafiki sio pesa ni kujitolea hata wewe you can be my friend halafu kuwa betrayed katika urafiki ni kitu cha kawaida aki ku betray unakuwa na wengine and thats how life goes on

sintah nami nakupenda mwaya

Anonymous said...

he jacky mbona hayupo hapa ama umeshamtema baada ya kushtukia mi msupuuu kuliko wewe lol.

Sintah said...

jacky jacky mzindakaya si my friend ni mdogo wangu dada yake Violeth Mzindakaya(sister V) ndio rafiki yangu na haipiti siku lazima niongee na jacky kwa simu au BBM mimi huwa sigombanagi na mtu
hivi karibuni ninasafiri na my ladies na jacky akiwa mmoja wapo
kutoona picha doesnt matter hayupo karibu nami,marafiki ni wengi sana ila nimeweka waliotuma picha kwa haraka
natumain umenielewa
PS

sinampenzi said...

love u sintah serious una mapenzi ya kweli me napenda huwa uchagui kila mtu anakuwa rafiki yako na mimi nitakutumia picha yangu baada ya idd.... sio kama yule mwanafudenge mpaka uwe mke wa mzungu ndio uwe rafiki yake kumbe maisha ujui ni nani atakaye kusaidia duniani....sintah ni mfano wa kuiga kwakweli

sabrina suka said...

sintah nimependa picha ya sita sana sana naomba unijibu usibane hii tafadhari dogo langu mwenyewe, hivi hii picha nini kabla ya ramadhani au ndani ya ramadhani? umependeza sana pia aina tofauti sana na picha ya kwanza, alafu huwa mnaazimana nguo nyie uyo shoga yako wa picha ya kumi nilishawahi kumuona na hyo sweta kama hyo hyo kweli tena maeneo fulani hivi ila sitotaka kuyataja, usibane jamani kichuna

sintah said...

hamna anaeazimana na mtu kitu halafu marafiki zangu tuna maumbo tofauti
mimi sivaliani nguo na mtu yoyote
nguo zinafanana hasa hizi zetu zamchina ndio balaa
thanks thou
sibanii comment za kawaida au ukinitukana mimi nabanaa wakiwatukana watu ninaoweka mimi nitukaneni mpaka nichoke maana nimezaliwa kusemwa ni kawaida na its part of my life
ila kwa wengine nitabana
xoxo
sintah

Anonymous said...

hellow sinta...jamani umependeza nakumbuka tulisoma wote tution kwa mwalimu SHABANI 90's..i Hop unakumbuka hasa viboko vyake.

congratulations mamii..n may almighty God bless u...luv u much

Anonymous said...

JAMANI hakuna anayeazimana mweee iwish ungeniona live mdau me mwenye picha ya kumi na PS jamni jamani..
nway safi lakini hyo

rachel number kumi

Anonymous said...

sintah ur always up/ wewe fala uanyekuja uku alafu unaleta unafki eti tunamsema sijui nani hatuna muda huo na wewe ukitaka kafungue blog... msonyoooooooooooo kweni sintah akiweka picha za marafiki zake na wewe kamwambie boss wenu aweke na wazungu wenu mwacheni sinta wa watu kwanza sintah na uyo boss wenu mwenye urudi wanaelewana tu kweli kuna mijitu inapenda kugombanisha watu, sasa sintah na yule nani super star au kwa kuwa sintah hana mzungu kwa taarifa yako rafiki zake kama watatu wana wazungu but hawapendi ku show off... taratibu bibi tupo uku kwa ps blog yetu ya watu wa kawaida muwacheeee

sina makosa said...

haya sintah tumekusoma ila unatuboa wewe uweki commennt mbona mwenzio Mange anaweka zote rabda zile ambazo umevuka mipaka we weka tu kweni mtu akikwambia sintaha mdomo wako unanuka ndio unanuka kweli acha hzio lo.... tena picha kama hizi we achia comment tu pls sintah... kwa mfano hao rafiki zako kuna watu wanawajua sana kuliko wewe sasa unapoachia comment ndio wanajifunza sintah ka roho safi mdogo wangu wa ukweee... ramadhani mbarak

DAVINA MSANII said...

mambo sintah me DAVINA MUigizaji mwenzio unanikumbuka lakini? hongera sana sintah atleast na sisi tutapat sehem ya kuji show of mana siku hizi ukiwa na blog ndio sehem ya kuonyesha urembo wako na vitu vyako at aukinunua chupi unaweka tu kwenye blog, wambie na rafiki zako basi kama wananuinua CL na wenyewe wakutumie picha au LACE WIG namuona kuna mmoja hapo anapenda sana LACE WIG kama wewe ndio wakati wenyewe huu....

sintah said...

nawaonea huruma watu wanao comment ktk blog fulani,mimi na yule wa blog tumejuana tangu tunasoma secondary and we r good friends sasa tunaangalia tuu mnaopeleka umbea because we have never had a fight tunaheshimiana copy that so play and comment well

sintah said...

@my school mate,yap nimesoma kwa mwl shabani viboko havikuwa vya kitoto
@Sina makosa,mimi sibanii comment jamani ila comment nyingine za matusi i used to leave them flowing lakini ziliniliza sana kwa wale wanaojua hii kasheshe watawambia maana kidogo nitolewe ktk magazeti na mimi sipo huko tena sasa wandishi wamenipa another chance so my luvs nitachakachua za kawaida tu,,mfano mtu hajavaa vizur kwanini niibane?ila ukianza kumjua mtu eti kalala na huyu mara yule sasa hapo ni deep sana,nabana za watu ninaowatoa wakichambwa vibaya za kwangu andika tuu coz im used kutukanwa
@davina karibu ukaribie katika maswala ya blog tuma zako picha
kingine nawashukuru sana wadau wangu mmestaarabika hamko kigomvi zaidi mnasema ukweli panapostahili im impressed mkiendelea hivi nitakuwa naziachia tuuu bila chakachuaring
im so impressed these days
i luv u all my PS wadau
KEEP PS ALIVE

Anonymous said...

zenna ana run world gani?and you ua run ipi?hahahha kazi kwelikweli