Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TANGAZO LA KUSIKITISHA NCHINI ENGLAND

DEAR WADAU WA PS BLOG

KAMA NI WASIKILIZAJI WAZURI WA RADIO/WATAZAMAJI TV MTAKUWA AWARE OF WHAT IS HAPPENING

IN ENGLAND NA PROVINCE ZAKE

MIMI NIMESIKITISHWA SANA KWA KWELI ILA MPAKA SASA NIMETOA HIZI HABARI ZA KUAMINIKA

KUTOKA KWA TANZANIA HIGH COMMISSION IN LONDON KWA DEPUTY AMBASSADOR KABAKA KILUMANGA

NA AMENIHAKIKISHIA KUWA COMMUNITY YA KITANZANIA MPAKA DAKIKA HII WAKO POUWA NA HAKUNA

ALIYEPATA MATATIZO

HII NI HABARI KUTOKA UBALOZINI KAMA MDAU WA HII BLOG PSE UKISIKIA CHOCHOTE UNAWEZA UKANITUMIA EMAIL YANGU

prettysinta244@gmail.com

KUNA WATU LABDA HAWAJUI HII TAARIFA NA WANA NDUGU HUKO ENGLAND

PSE TUSAIDIANE KWA HILI

UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU

FROM
SINTAH


2 comments:

Anonymous said...

sintah unahuruma sana naamini Mungu yu pamoja nao

Anonymous said...

wewe una mambo sana binti