Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KWA MAMBO HAYA TUTAFIKA KWELI???


JAMAN KWELI TUTAFIKA, HAYA MATATIZO YA NISHATI YALIVYO JUU BADO ANALALA HALAFU PEMBENI YA KUU MKUU WA NCHI.

KUMBE SAFARI ZOTE HAZINA MANUFAA JUST KUUZA SURA.

If you can sleep next to President kwenye mkutano wa maana kama huu nchi inakwenda wapi wajameni ? na jee will we make a headway kwenye NISHATI na MADINI. This explains the power blues we are undergoing

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika I’m just concern na image ya Taifa. jamaa karibu anaangukia upande wa pili ? ha ha ha read be alert do something ikishindikana Redbull or toka nje kabisa


AHSANTE TO KM KWA HII POST

3 comments:

JM said...

ndo hapo ninapokupendea Sintah unatoa burudani na kama hii ya kutuelimisha hebu ona jinsi kodi zetu zinavyotumika

Mungu ibariki Tz

Rose said...

Nakaya aliimba Mr Politician hakukosea kabisa'

ndo haya wameomba kura za kulala

Anonymous said...

sasa tulimchangua wenyewe sasatutakiona nanasikia huku ghabuni kua nchi ya tanzania imeshauzwa tena na watu wake kazi kweli kweli achanije nimuamishe mama yangu mie wengine wajipage