Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MWANAMME LAZIMA UWE NA SWAGGA NA ANOLD KAYANDA WA CLOUDS FM AMETHIBITISHA HILO

  


KAMA WEWE NI MSIKILIZAJI MZURI WA CLOUDS FM JINA LA ANOLD KAYANDA

LITAKUWA SIGENI MASIKIONI MWENU,ANOLD ANA HOST KIPINDI CHA JAHAZI MOND

TO FRID NA JUMAPILI KIPINDI CHA TOP 20 KUANZIA SAA TANO MPAKA SAA

SABA,HUYU KAKA WENGI WAMEPENDEKEZA LEO AWE HAPA KWAKUWA WANAZIMIA

SWAGGA ZAKE,JAMANI KAKA ANOLD YOU HAVE GOT LADIES AND GENTLEMEN WHOM ADMIRE THE WAY YOU HOST YOUR PROGGRAMES,

NA HAPA CHINI NI BAADHI WALIOJITOLEA NA KUJIMULIKA KUWA HAWAKOSI KUSIKILIZA TOP 20 KILA SIKU KWA SABABU TUU YA SWAGAAA HEEE CHINEKEEE


3 comments:

Anonymous said...

hana lolote na hao mademu ni wauza uchi tu

Anonymous said...

HA HA HA JAMANI WATU MNAMAMBO, MMEYAJUAJE YOTE HAYA?AU MLISHAWAONA MAHALA YEYE AKIWA MTEJA WAO

Anonymous said...

hata me namfagilia sana he z a nyc host...big up kayanda nakuona mbali i yearz to come...
na huyo aliyetoa comment ya kwanza jaribu kusikiliza vipindi vyake ndo ucommnt siyo kutoa maneno ambayo hayana maana.