Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MWANAHARAKATI MSOMI,MIMI NINA MU ADMIRE SANA HUYU DADAHAKUNA MTU ASIE SIKIA JINA LA SHY ROSE KAMA NI MKAZI WA JIJI LA DAR CITY


HUYU DADA MIMI NAMPENDA SANA ,YAANI HAJALI MANENO YANAYOSEMWA


MIDOMONI KWA WATU ANACHOJALI YEYE NI KAZI TUU NA NDIO MAANA


ANAFANIKIWA SANA KATIKA KAZI ZAKE ANAZOZIFANYA


GO, GO, GO,  UNSOPPABLE SHY ROSE

13 comments:

Anonymous said...

ah ha ha kama hakuna asilofanikiwa mbona ubunge alipigwa chini? acha kusifia kila mtu, huyu anamfano gani kwa jamii au kuviharibu vikijana vidogo tu. No wonder mnafanana tabia

Anonymous said...

tena kweli shosti, kazi kung'angania watoto wadogo labla ndio analomsifia

Anonymous said...

Ni kweli wachangiaji mliopita, sijaona la maana analostahili kuigwa huyu dada, lakini kila mtu na uwono wake labda yeye sintah ameona lipo hivyo anastahili kumuiga

Anonymous said...

jamani...wachangiaji acheni jazba...duhlong live blogs man full kicheko! mi nina mtazamo tofauti kidogo na wachangiaji waliopita kushindwa kwa kukosa ubunge kwa shy rose hakuaaminishi yeye sio faita ambaye ps anamwaminia. ni kweli mwanadada huyu ni almost iron lady...she dares kufanya mambo ambayo kama angekuwa hana confidence walai angekuwa anajifungia ndani bada ya kila linaloripotiwa juu yake kutoka..na swala la mapenzi, nadhani ni swala binafsi sana na pia tukumbuke mapenzi hayana umri wala mpaka wowote.nadhani kila mtu ana vigezo vyake hadi kutamka flani is my role model. so to her (PS) SHY ROSE IS THE ONE

Anonymous said...

YAKH, NI KWELI IF SHE DARES KUFANYA MAMBO YOYOTE NDIO MAANA KANA TABIA MBAYAAAA, HIYO WE CAN NOT CALL IT CONFIDENCE NI USHENZI TU NA KUWA PICHA MBAYA MBELE YA JAMII HASA WAZAZI WENYE VIJANA WAO MA HANDSOME. HAJIFUNGII NDANI COZ MALAYA HANAGA AIBU HATA SIKU MOJA.

Anonymous said...

WA KUKUADMIRE NI HUYU MTU MZIMA OVYO?? UMEKOSA KAZI KWELI WEWE SINTAR SEMA WENGINE LAKINI HUYU UMECHEMSHA KABISA, MH LADBA WADMIRE UFUSKA WAKE WA KITU KIZIMA NA KUCHUKUA WAUME ZA WATU.

Anonymous said...

umemweka hapa ili watu wamtukane au? acha kupublish ujinga kama ulivyowahi kudai we ukutundikwa sehemu mtu akaachia comments za matusi utajisikiaje, pls usitoe comments za kashfa kwake manake kila mtu ana mtazamo wake hata kwa malaika, she didnt ask you kumweka hapa or did she

jlo said...

wewe mwehu wa hapo mbele kwa taarifa yako shy rose hajali kitu like wise to jlo
ni challenges tu and we have to face them so just know that
no body will hinder our opportunities,we were born this way
i love, and admire her
copy and paste in ure desktop

Anonymous said...

yamekuwa hayo it take one mwehu to know another mbona ...nimesema ulichowahi kusema mwazo ...we all know shy hajali but it seems shari is your middle name, i,m happy sijafundishwa kutukana, well nimekusamehe na i'm ginuinely sorry kukukasirisha. seriously nisamehe

Anonymous said...

sinta! u dont ve to reply to ur fans that way,i ve read so many comments which u replied,what i realised is that u r very easy to be provoked!! some pple do it intentionally n they got u!!
if u ve decided to show off ur life just get ready for everything,anyways ni mtizamo tu.

Anonymous said...

Hebu acha matusi wewe Jlo wa maboxi, uje kuwa wewe jlo lol hebu usivuruge fans wewe kwani si anajulikana tabia yake huyo muhindi koko? unataka tuseme na ushahidi tuweke wazi wewe nini wewe hujui kitu chochote juu ya huyo, hebu kaa kimya jua yakooooo, ccm juuuu.

Anonymous said...

sinta nadhani umeweka hii blog ili utukanwe na utukane...ulivyokuwa kimya na skendo zako kuisha hukupenda eeh?acha wakutukane na wala usiwajibu ndo njia ya kujifanya wajione wajinga.mtu akikutukana mara tatu na ww hujibu unadhani ataendelea kutukana hata yy ataacha 2.try to be calm na yasome tu na uyaache kama yalivyo..try to find some respect from people otherwise utakuwa unaonekana huna maana kwenye jamii.
Anny

Anonymous said...

malaya na malaya mwenzie...lazima tu mpendane,mna same attitude!!
fuck uuuuuu!!