Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

LIBYA CRISIS AND HOW SINTAH IS GETTING CONCERNED

NIKIWA KAMA MU AFRICA HALISI LEO NINASIKITISHWA SANA NA BREAKING NEWS ZA LEO KUHUSU LIBYA

IN MY FIRST DEGREE I DID COURSE UNITS, CONFLICT RESOLUTIONS,DISASTER

MANAGMENT AND REFUGEES, I KNOW HOW LIBYANS FEEL RIGHT NOW,AND HOW IT WILL

AFFECT THEM IN A LONG TERM,THIS WAR SHOULD END IM SO PROUD OF MY COUNTRY

WE ALWAYS HAVE ISSUES AND WE END THEM PEACEFULLY

MY OPINION IS GADAFFI SHOULD STAY,

HE DID A LOT IN LIBYA AND AFRICA IN GENERAL,BUT PEOPLE DONT SEE,

IN SWAHILI: THERE IS A SAY USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO

IN RUGANDA: BASIMA OGENZE

NIMESEMA HII MIFANO KUTOKANA NA MAJESHI YA NATO YANACHOKIFANYA WANATAKA

LIBYA YETU IWE KAMA ZIMBABWE

HIVI NI WANGAPI MNAKUMBUKA MIKA YA 90'S,BLUE BAND,MAZIWA NA MENGINEYO

ZIMBABWE ILIKUWA INA SUPPLY SASA KIKO WAPI?

NI MISIKITI MINGAPI GADAAFI KAJENGA AFRICA?NI MISAADA MINGAPI KATOA?

KWA WALE MSIOJUA LIBYA SHULE BURE HATA UKIAKA KUOA UNAPEWA HAU(NYUMBA) YA

KUKAA WEWE NA MKEO,AFYA BURE SASA WHAT ELSE DO THEY WANT??

OOH I WISH HIZO PREVILEDGE TUNGEZIPATA HAPA BONGO TUSINGETAKA HUYO KIONGOZI AONDOKEMUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRICA NA WATU WAKE
SINTAH

13 comments:

koku said...

thats so sweet of you sintah
your so intelectul and focused God should be with you
Amen

Anonymous said...

Mungu atawajalia,tunashukuru kwa kuwaombea wa Afric wenzetu

Anonymous said...

kwani Sintah unamjua Gadafii maana una mpamba sana

Anonymous said...

Libya Mungu atakuwa nanyi nasi Africa tunawaombea

Anonymous said...

Libya,Libya, basi nenda huko tuachie Tanzania yetu

Dada said...

Kama walibyan ndio ambao wanasema ghadafi is not a good leader nani ambae atakaewapinga? ghadafi must step down. anataka kujimilikisha libya!!! amekuwa rais kwa miongo minne nani mwingine in Africa ambaye amekaa miaka mingi kwenye uongozi zaidi yake yeye na mugabe.na bado alikuwa na plan akiondoka yeye amuachie mwanae saif. It's not fair for Libyan wanataka democrasia wamchague mtu wanaemtaka na sio mtu anaetawala kwa mabavu.
FYI; kwa hela ya mafuta inayoingia Libya sasa hivi Libya ingekuwa inashindana na Dubai, lakini kaihodhi yeye na familia yake.

Anonymous said...

HAYA NDO TUNAYOYATEGEMEA KUTOKA KWAKO, MANAKE YANABUSARA NA ANGALAU TUNAWEZA KUSEMA UMESOMA. KEEP IT UP, ACHANA NA MAMBO YASIYOKUSAIDIA. TUMIA ELIMU YAKO KUELIMISHA WATU MUMY

Anonymous said...

HASWAAAAAAA, HAPO UMESEMA MWENZANGU HAPO JUU, LEO NAKUPA BIG UP SN SINTAH KWA HABARI HII, HAYA NDO TUNAYOYATAKA SISI WADAU NA SI MENGINE..UMENIFURAHISHA SN. KEEP IT UP

Anonymous said...

sasa sintha unaongelea mambo ya libya leo. huna habari hii vita ina karibia miezi sita sasa. where were you all those days to comment unakuja ku commnet vita inakaribia kwisha. hakika!

Anonymous said...

Wewe dada hapo juu kama amekaa muda mrefu na maendeleo yao ni makubwa kiasi hicho hata kama haishindani na Dubai shida iko wapi. Amekaa muda mrefu lakini maendeleo yapo kuliko kubadilisha kila siku na kila anaeingia anaanza moja na njaa yake kutaka kula. Angalia kupita upeo wa jicho(beyond what meets the eye), kuna wanaojifanya hii dunia yao hawapendi kuona kiongozi mwenye dira Africa. Akiwa na Dira watamfarakanisha tu na watu wake ili wao waendelee kutawala. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba wasiomtaka Ghadafi kiukweli ni nani. Sinta uko right.

Anonymous said...

MMH WE NAWE UMEEENDA SHULE YA KICHOCHORO GANI... CONFLICT RESOLUTION MY ASS... COLONEL KUTOA MISAADA NA KUJENGA AFRICA INAHUSIANA NINI NA MADHAMBI YAKE? NDO NYIE MALAYA WA KUNUNULIWA SHULE MNALIPIWA MUENDE LAKINI AKILI KICHWANI ZERO... UMEKAA KIMBUMBUMBU TU. NAOMBA RUDI SHULE UKASOMEE "RHETORIC AND ARGUMENTS" ITAKUSAIDIA.

sintah said...

yaani haters utawajua tuu jamani mmoja wapo huyu wa juu,kama kweny mkungu,vichochoroni as long as i have my papers with me
oohe thats enough

go and hang

Sintah

Anonymous said...

sintah usiwe unajibishana na wadau wako inakushushia personality.....wewe si umepost ishu uategemea kila mtu atachukulia kama unavyochukulia wewe?kingine why should you always expose your life like that...eti my first degree watu wana phd lakini hawana shobo za shamba kama hizi