Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

IJUMAA KAREEMPS BLOG INAWATAKIA WAISLAM WOTE MFUNGO MWEMA WA RAMADHANI

TUTENDE MEMA
KUMBUKA KUFUNGA BILA KUSWALI HAIPENDEZI

AMINA

11 comments:

Anonymous said...

unafaa kweli kua muislam sinta,u look gud.
always with nuch love ,

mama rique

Anonymous said...

PS kumbe weye muislam? nilikuwa sijuwi kabisa hongera zako dada,Mungu kakujaliya kuwa na dini ya kweli ,hongera tena sana.

Anonymous said...

PS Mungu akujalie

Anonymous said...

na wewe pia PS

Anonymous said...

Mungu akutangulie kwa kila jambo Sintah

Kim said...

Sintah Mungu akujalie unachotakiwa kuuja binaadam
ndivyo tulivyo
mimi nakupenda sana
kim

Anonymous said...

Acheni kujigonga na nyie anawajua?

mijitu mingine bwana sijui ikoje?
shemeji shemeji mnamjua looh ongeeni vya maana

Anonymous said...

hivi nitakupataje wewe mdada?mimi nimekupenda sana

Anonymous said...

PS rocksssssssss

Anonymous said...

We love you mammy,stay cool

Anonymous said...

We Christina John uislam umeanza lini? mana tangu unasoma makongo hukuwa hvy. mmmh!