Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

BINADAMU ATAKOSAJE KUJIJUA?

WADAUUUU EEEEH,NINA SWALI

HIVI WALE MA SUPER DOOPER EXPERIENCED PEOPLE WANAOPENDA KUJIFANYA WANAWAJUA WATU

ZAIDI KATIKA MA SALOON,MAJUMBA YA WATU KUNA CHOCHOTE WANACHOLIPWA?

UTAKUTA MTU SALOON ANAMUHADITHIA MWENZIE YAANI YULE MIMI NAMJUA SANA TUU,KUMBE NAE

KASIKIA STORY KUTOKA KWA MWINGINE NA MWINGINE NAE KASIKIA STORI KUTOKA KWA MWINGINE

INAMAANA HIO STORI INAWEZEKANA IKAWA HAINA UHAKIKA,

KWA UPANDE WANGU NINAWEZA KUSEMA HAKUNA MTU ANAYENIJUA ZAIDI NINAVYOJIJUA MIMI

MWENYEWE AND YOU KNOW WHAT???

ITS MY LIFE MIND YOUR BUSINESS

NA WALE MLIOKUWA HODARI KUSIKILIZA HIZO STORI ANGALIENI SANA BECAUSE THE ONE WHO

TELLS YOU ABOUT OTHERS ALSO TELL OTHERS ABOUT YOU

SO BE CAREFULLY

OTHERWISE RAMADHANI KAREEM

FROM THE DESK OF PS BLOG

KAMA KAWAIDA YANGU MAMBO YA FUTARI NIKIWA MIMEWASILI KATIKA ENEO
HAPA NIKISEMA CIAO


I GO BY THE NAME SINTAH

22 comments:

Anonymous said...

WE NAWE!!!! KILA MTU ANASEMWA NA NI PART YA MAISHA, WE MWENYEWE USEMAGI WATU? KIBONGOBONGO NI KAWAIDA, UKISEMA WATU NA WEWE UTASEMWA HABARI NDI HIYO MDADA

joy said...

Sintah wewe mzuri yaani hata uvae gunia utaonekana tuu

linda said...

dada Sintah kwanini usiwe unavaa hivyo kila siku jamani you look amazing

Anonymous said...

Sintah usisikilize mtu anakusema nini jamani wewe endelea na shughuli zako

ukiona mtu anakusema umemzidi bibi weeeeeh

Anonymous said...

jamani saloon ndio vigenge vyaale wambea kuna salooni mbili ziko kinondoni moja ni ya Bonita na nyingine ni Bantu ni umbea kwa kwenda mbele

hio ya Bonita mwenye saloon mwenyewe ni mbea sasa wateja wake ndio blaaaa ipo kinondoni si kinondoni mmmh mwananyamala fulani

Sintah usiibanie hii comment tafadhali hatujamtukana mtu ni kuwaambia kweli ili wajirekebishe na tabia zao
si eti mammy ulituambia turekebishane

Anonymous said...

Sintah saloon ya Bantu ndo tabia yao kunyaliana,kusen'genyana kama wewe sio maarufu husukwi
na nyingine ni kwa Remina loooh yarabi full umbea mwamzo mwisho kuanzia kwa mwenye saloon
jamani wadada angalieni saloon za kwenda hizo hapana lasivyo wajirekebishe

mama usibane comment ni lazima tuwambie ukweli wajirekebishe

Anonymous said...

hivi sintah saloon ndio umbea wote ulikuwa hujuwi eeeh yamekukuta nini mamaa

Anonymous said...

waache waonge ndio kula yao hio mama

Anna said...

Sintah hivi na wewe ulivyo mzuri unasemwa kwani?

Anonymous said...

mxiuuuuuuuuuuuuu nimekusonyaje?limekuganda wewe eti unafunga wa kufunga hawajulikani

Anonymous said...

yaani dada leo umenikuna sana saloon ni wambea sana tena wale ma hair dresser ndo kabisa
wana intertain umbea sana
ndo maana jaydee alikimbia Bantu kwa umbea wao
Sintah usibane lengo ni msg ziwafikie

Anonymous said...

Wee nawe usemwe kwa lipi??waiii mnajishukugu kutwa eti nasemwa sijui nini, sasa watu waongelee miti au??mxiiiii,

Anonymous said...

sintah hivi watu wasipokuongelea wewe hawaishi?
hebu muacheni Sintah wangu afanye anavyojisikia mwenyewe

lui said...

we love you sintah

Anonymous said...

jamani wewe dada rudi basi kwenye game jamani maana wewe ukirudi utawamaliza wale wote wenye vihere here katika maana nyota yako iko juu

Anonymous said...

Sintah una mambo jamani hilo pozi eti CIOA mmh wanakukomaje?
hongera mama

juliana deus said...

sintah mamy hebu acha kuwasikiliza hao mavizabina mana wamejaa tele kwenye hi dunia ukiwafatisha utakonda ebu jifanye km huwaoni wala uwackii mana wanapata mabichwa unavyopublish comment zao we umewasahau wabongo au sababu umekaa uganda mda mrefu HEBU WAONE KAMA MAYAI VIZA YASIVYO NA THAMAN NA UTAISHI TU.

Sintah said...

ahsante sana juliana Mungu akuzidishie si wewe tuu na wale wote wanaoandika postive comments e.g mama Rique na wengine wote

juliana deus said...

you are well came my dear u disolve it

Sintah said...

thanks

Anonymous said...

Kama Remina na Bantu niliacha kwenda siku nyingi yule dada mwenye remina alikuwa anafanyakazi salon fulani mjini alipoacha watu walishukuru maana ni mbeya hatari dada uache hiyo tabia siyo nzuri wateja wanakukimbia la sivyo utabaki na hao hao wambeya wenzio kama Revina byarugaba ndiyo maana anapenda sana kuja hapo kwakuwa nae mbeya kama wewe

Anonymous said...

nawewe nasikia ni bingwa wa kusoloba watu..