tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post7295846098583969313..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: BINADAMU ATAKOSAJE KUJIJUA?Sintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger22125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-54545627833889643072011-08-15T14:56:52.437+03:002011-08-15T14:56:52.437+03:00nawewe nasikia ni bingwa wa kusoloba watu..nawewe nasikia ni bingwa wa kusoloba watu..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-33576333080823950842011-08-15T09:35:56.339+03:002011-08-15T09:35:56.339+03:00Kama Remina na Bantu niliacha kwenda siku nyingi y...Kama Remina na Bantu niliacha kwenda siku nyingi yule dada mwenye remina alikuwa anafanyakazi salon fulani mjini alipoacha watu walishukuru maana ni mbeya hatari dada uache hiyo tabia siyo nzuri wateja wanakukimbia la sivyo utabaki na hao hao wambeya wenzio kama Revina byarugaba ndiyo maana anapenda sana kuja hapo kwakuwa nae mbeya kama weweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-52081597451963724512011-08-13T12:52:35.800+03:002011-08-13T12:52:35.800+03:00thanksthanksSintahhttps://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-88827329025462863222011-08-13T10:13:11.298+03:002011-08-13T10:13:11.298+03:00you are well came my dear u disolve ityou are well came my dear u disolve itjuliana deusnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-47757778928172385892011-08-12T15:12:34.279+03:002011-08-12T15:12:34.279+03:00ahsante sana juliana Mungu akuzidishie si wewe tuu...ahsante sana juliana Mungu akuzidishie si wewe tuu na wale wote wanaoandika postive comments e.g mama Rique na wengine woteSintahhttps://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-71028201576815515002011-08-12T14:45:50.734+03:002011-08-12T14:45:50.734+03:00sintah mamy hebu acha kuwasikiliza hao mavizabina ...sintah mamy hebu acha kuwasikiliza hao mavizabina mana wamejaa tele kwenye hi dunia ukiwafatisha utakonda ebu jifanye km huwaoni wala uwackii mana wanapata mabichwa unavyopublish comment zao we umewasahau wabongo au sababu umekaa uganda mda mrefu HEBU WAONE KAMA MAYAI VIZA YASIVYO NA THAMAN NA UTAISHI TU.juliana deusnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-12580645208432650762011-08-12T14:30:21.222+03:002011-08-12T14:30:21.222+03:00Sintah una mambo jamani hilo pozi eti CIOA mmh wan...Sintah una mambo jamani hilo pozi eti CIOA mmh wanakukomaje?
hongera mamaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-26816473780465308102011-08-12T14:27:41.188+03:002011-08-12T14:27:41.188+03:00jamani wewe dada rudi basi kwenye game jamani maan...jamani wewe dada rudi basi kwenye game jamani maana wewe ukirudi utawamaliza wale wote wenye vihere here katika maana nyota yako iko juuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-53264473435690691992011-08-12T14:25:19.268+03:002011-08-12T14:25:19.268+03:00we love you sintahwe love you sintahluinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-69584065564562992312011-08-12T14:24:32.880+03:002011-08-12T14:24:32.880+03:00sintah hivi watu wasipokuongelea wewe hawaishi?
he...sintah hivi watu wasipokuongelea wewe hawaishi?
hebu muacheni Sintah wangu afanye anavyojisikia mwenyeweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-41419800993436324002011-08-12T12:17:49.219+03:002011-08-12T12:17:49.219+03:00Wee nawe usemwe kwa lipi??waiii mnajishukugu kutwa...Wee nawe usemwe kwa lipi??waiii mnajishukugu kutwa eti nasemwa sijui nini, sasa watu waongelee miti au??mxiiiii,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-44311599575453313872011-08-12T11:37:12.062+03:002011-08-12T11:37:12.062+03:00yaani dada leo umenikuna sana saloon ni wambea san...yaani dada leo umenikuna sana saloon ni wambea sana tena wale ma hair dresser ndo kabisa
wana intertain umbea sana
ndo maana jaydee alikimbia Bantu kwa umbea wao
Sintah usibane lengo ni msg ziwafikieAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-19591542018357595222011-08-12T11:33:58.083+03:002011-08-12T11:33:58.083+03:00mxiuuuuuuuuuuuuu nimekusonyaje?limekuganda wewe et...mxiuuuuuuuuuuuuu nimekusonyaje?limekuganda wewe eti unafunga wa kufunga hawajulikaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-40818818905727125952011-08-12T11:33:06.347+03:002011-08-12T11:33:06.347+03:00Sintah hivi na wewe ulivyo mzuri unasemwa kwani?Sintah hivi na wewe ulivyo mzuri unasemwa kwani?Annanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-86697852511979291492011-08-12T11:32:27.273+03:002011-08-12T11:32:27.273+03:00waache waonge ndio kula yao hio mamawaache waonge ndio kula yao hio mamaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-25799038722103329052011-08-12T11:31:18.261+03:002011-08-12T11:31:18.261+03:00hivi sintah saloon ndio umbea wote ulikuwa hujuwi ...hivi sintah saloon ndio umbea wote ulikuwa hujuwi eeeh yamekukuta nini mamaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-84104397667230407882011-08-12T11:30:24.407+03:002011-08-12T11:30:24.407+03:00Sintah saloon ya Bantu ndo tabia yao kunyaliana,ku...Sintah saloon ya Bantu ndo tabia yao kunyaliana,kusen'genyana kama wewe sio maarufu husukwi
na nyingine ni kwa Remina loooh yarabi full umbea mwamzo mwisho kuanzia kwa mwenye saloon
jamani wadada angalieni saloon za kwenda hizo hapana lasivyo wajirekebishe

mama usibane comment ni lazima tuwambie ukweli wajirekebisheAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-27390232703930979082011-08-12T11:25:28.670+03:002011-08-12T11:25:28.670+03:00jamani saloon ndio vigenge vyaale wambea kuna salo...jamani saloon ndio vigenge vyaale wambea kuna salooni mbili ziko kinondoni moja ni ya Bonita na nyingine ni Bantu ni umbea kwa kwenda mbele

hio ya Bonita mwenye saloon mwenyewe ni mbea sasa wateja wake ndio blaaaa ipo kinondoni si kinondoni mmmh mwananyamala fulani

Sintah usiibanie hii comment tafadhali hatujamtukana mtu ni kuwaambia kweli ili wajirekebishe na tabia zao
si eti mammy ulituambia turekebishaneAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-85138808473842586472011-08-12T11:20:54.985+03:002011-08-12T11:20:54.985+03:00Sintah usisikilize mtu anakusema nini jamani wewe ...Sintah usisikilize mtu anakusema nini jamani wewe endelea na shughuli zako

ukiona mtu anakusema umemzidi bibi weeeeehAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-47196338270681494972011-08-12T11:19:58.003+03:002011-08-12T11:19:58.003+03:00dada Sintah kwanini usiwe unavaa hivyo kila siku j...dada Sintah kwanini usiwe unavaa hivyo kila siku jamani you look amazinglindanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-43762497365581679462011-08-12T11:17:25.196+03:002011-08-12T11:17:25.196+03:00Sintah wewe mzuri yaani hata uvae gunia utaonekana...Sintah wewe mzuri yaani hata uvae gunia utaonekana tuujoynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-55746487168513090762011-08-12T10:37:19.345+03:002011-08-12T10:37:19.345+03:00WE NAWE!!!! KILA MTU ANASEMWA NA NI PART YA MAISHA...WE NAWE!!!! KILA MTU ANASEMWA NA NI PART YA MAISHA, WE MWENYEWE USEMAGI WATU? KIBONGOBONGO NI KAWAIDA, UKISEMA WATU NA WEWE UTASEMWA HABARI NDI HIYO MDADAAnonymousnoreply@blogger.com