Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WANAWAKE NA MAKUNDI HAYAFAI

WASICHANA NA MAKUNDI

DADA SINTAH

MIMI KAMA MDAU WA HII BLOG NAOMBA KUWAMBIA WASICHANA WENZANGU WAACHE MAKUNDI MAANA MAKUNDI HAYAJENGI YANA BOMOA

WASICHANA WA SIKU HIZI HATA AKIPEWA OFA YA SODA,ATABEBA KUNDI LA WATU

HII INA MAANA GANI JAMANI?

HEBU SISI KAMA WANAWAKE TUJUE KUJIHESHIMU KWA KILA JAMBO

SIKU HIZI HAKUNA USHOGA

HII NI KUSISITIZA KUWA WANAWAKE TUPENDANE NA TUHESHIMIANE

ALIEPATA AMEPATA NA TUSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

MIMI
JOYCE K

1 comment:

Anonymous said...

ni kweli uyanenayo na yanatia aibu.wasichana tupunguze tamaa,imefikia wakati wengine wanatembea na majini bila kujijua wanavyohudumiwa wakipita wanajisifu "nimepata bonge la mshefa"

mama rique