Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

PICK OF THE DAY NI JONATHAN NA KATE LIKAPATIKANA JINA LA JOKATE

Jokate


JE WEWE MDAU YA KIUNGANA MAJINA YA BIBI NA BABU INAWEZEKANA UKAPATA JINA ZURI KAMA HILI LA JOKATE?

HUU NI MUUNGANIKO WA MAJINA MAWILI YA BABU JONATHAN NA BIBI KATE LIKAPATIKANA JINA LA MJUKUU JOKATE

UNAONAJE NA WEWE UKAANZA KUTAFAKARI MAYBE UTAPATA JINA LA MWANAO

TRY

3 comments:

Anonymous said...

HAYA WACHA TUJARIBU,AF PICHA YA PILI NZURI SANA I LIKE IT.

Anonymous said...

Duh,sijawahi fikiria hiyo kitu,tz good, nice pics my luvly sister,Jo.......

tz,

S.N

Anonymous said...

i like this girl ni mfano wa kuigwa sanaa....sometimes unamjengea mtoto future nzuri kwa kumpa jina zuri lenye maana nzuri.

mama rique.