Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TAARIFA YA MUHIMU

WAPENZI WANGU WA PS

NASIKITIKA KWAMBA MTAKUWA MNACHELEWA KUONA COMMENT ZENU

HII NI KUTOKANA NA WATU WANAOKOSA ADABU

ME AND MY IT TEAM TUMEAMUA KILA COMMENT TUTA VIEW KWANZA ILI TUONE KAMA INALETA UCHONGANISHI,KUTUKANA NA TUTAKUWA NA KILA SABABU YA KUTO PUBLISH HII NI LUTOKANA NA LUGHA CHAFU,WATU WAMEKUWA HAWAPENDI

HII BLOG WANA VIEW WATU WENGI HATA KAMA HAWA COMMENT NA WASINGEPENDA MAJINA YAO KUONEKANA


SAMAHANI ILA WENGI MMEIPENDA

COMENT NTAKAZORUHUSU

KUMKOSOA MTU KIKAWAIDA NK MAKE UP,NGUO
KUMSIFIA MTU
GENERAL ISSUES

SAMAHANI NI KUANZIA LEO HII
WENGI MMEFURAHI

FROM
SINTAH
CEO

2 comments:

Anonymous said...

sintah hapo umefanya la maana sana.unajua watu wanafanya kama hap bloguni kwako ni uwanja wa ma bif yao wakati theme nzima ni kuelimishana.Mungu atakusaidia utashinda tuu.

mama rique

Sintah said...

Amina mama Rique