Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

BASI LAUWA 30 NI AJALI MBAYA SA NA.

NAOMBA MUNGU AZILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU WALIOFARIKI JANA KATIKA AJALI MBAYA YA GARI LA HOOD

HII HAIKWEPEKI POLICE WAMEJITAHIDI SANA KUZUIA SPEED ILA MADEREVA HAWAELEWI

NAJUA MPAKA SASA SIELEWI KITU MAANA USIKUTE TUNA JAMAAA ZETU,JIRANI.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA

SINTAH

No comments: