Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HAKUNA TOFAUTI KATI YA BELINA NA TYRA KABISAAAAAAAAAAA





TUSEME UKWELI  MPENZI WA MUNGU HAKUNA TOFAUTI  KABISA NI NYWELE TUUU

YES BELINA YOUR TYRA BELINA

YOU ROCK BABY

CONGS

14 comments:

Anonymous said...

SEXXXXXXXXXXXXXY

Anonymous said...

SEXXXXXXXXXXXXXY

Anonymous said...

wewe sintah mbona unamdanganya mwenzio mbona Belina kakomaa hivyo?

Anonymous said...

tatizo la belina kakomaa na anapenda sana umaarufu njiwa yeye hajuwi akikaa kimya kimya anapendeza zaidi

Anonymous said...

Belina Anapenda umaarufu hewa yaani domo linamumunyika la kihaya wewe Sintah usimuuze mwenzio looh tyra atakuwa yeye

Anonymous said...

jamani mimi namshangaa belina na yule mkongo man wake mmh alikuwa analala katika vigest bubu mikocheni basi belina kafika jamani kweli mapenzi yana run dunia

ila belina wewe uko pouwa acha kizuri kijiuze usipende umaarufu

Anonymous said...

Belina unajiuza

Anonymous said...

Belina you rock achana na hizo takataka hapo mbele

Anonymous said...

MMh Sintah hapana, usimpe mwenzio moyo wa uongo, she is not like Tyra hata kidogo. no no no way! kwani wewe huoni tofauti ni kubwa sana, acha kumdanganya mwenzio kama unampenda.

Anonymous said...

huyo dada sio kama tyra sinta mwambie mwenzio ukweli

Anonymous said...

Jamani haya majina mmh mtasema tunawaonea wivu ila speechless maana eti kunaa tyra,kimora,jlo,kim k,beyonce,shakira,lady gaga mmmh sasa kama lile li fide yeye na lady gaga wapi na wapi?

Hatudanganyiki
kuna mange,sinta,mbonnie,salma,fide,belina,ray c na sivingine
ni mimi mdau wa kurekebisha matabia

Anonymous said...

hapo ni sawa na kulinganisha usingizi na kifo

Anonymous said...

Mmmh wabongo ni mwisho wa matatizo !

Anonymous said...

at least huyo belina anaendana na huyo tyra banks.......huyo SINTAH kujiita JLO??? wadau mi hapo hapanaaaaa,JLO my foot!!!

we belina bora hata ungejiita Kelly ROWLAND,kwa mbaaaaali mnaendana!!