Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
Wadau have you realised?most pretty ladies go for wrong men

3 comments:

mama wa mitulingaz said...

Pretty ladies wanachagua sana, hawataki walala hoi, wanajua wao ni warembo so wanataka masharobaro, kumbe masharobaro wengi ni players wanajua wana hela they can get anyone that money can buy!!

JK said...

So wrong men ni masharobaro? Sijakupata vizuri wa Mitulinga.na vipi pretty lady akaenda kwa asiyekuwa na hela kihiiivyo, but ana upendo wa kweli na he is free kukutambulisha kwa ulimwengu mzima through face to face introduction or pictures???

loveracheltz said...

yani ulijuaje my dia hivi tatizo ni nini?

and most of pretty ladies relation zao zinakuwaga za hovyo my self m total confused