Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
hallos
Wapenzi hivi mapenzi na kijana mwenzio na ya mtu mzima yapi yanakuwa na upendo zaidi na unyenyekevu wa hali ya juu?

its me
Susan N

2 comments:

JK said...

kWA HILO,,,haitabiriki,unaweza pata mtu mzima na akawa hovyoo, na ukapata kijana mambo yakawa supa.OR, inaweza kuwa vice versa

loveracheltz said...

ya mtu mzima lol hilo alina ubishi ya kijana mwenzio yani ugomvi 24....7 na lazima uchitiwe lol