ni yeye mwenyewe andunje akiwajia ktk National stadium |
kama hawakubali sitowalazimisha |
Dito,jlo,Mwasiti&friend |
dole kwa Yanga |
who run the world ladies we run this huuu |
mmmh Amiri hajawahi kukutana na Sintah akaomba apige picha |
benchi la ufundiii my toto Tegete |
kulijaejeee watu Yanga,pipo Yanga |
kama humkubali huyu kaka wewe mchawi aisee he is ma best player Haruna N |
oono msaja atusanyudee nyo webale Kiza |
kila nikienda mpirani huyu kaka hakosi,shabiki wa ukwelii |
eti huyu naye alikuwepo kuimba hili Game |
20 comments:
uyu nae alikuwepo si bwna yako umtaje tu JUMA NATURE
jamani samahanini kuuliza si ujinga kwani umefanania nini ama kuna kitu gani umeendana na J.LO mpaka wanakuita ivyo plz naitaji jibu nijue tafadhali
SINTAH pendeza sana my dia friend LUV U
SINTAH SINTAH SINTAH kama umpendi JLO kakojoe ukalale
eeh wewe na J Nature mlikutana mpirani nn mbona wote mnashangilia yanga
jamani Sintah mi pia yanga damu, i miss such moments kwa kweli mana niko mbali kidogo lakini vinginevyo ningekuwa mmoja kati ya umati wa waliokusanyika....so, what was the final score? Did we win? BIG UP MAMA... I AM PROUD TO BE A PARTY OF DAR YOUNG AFRICANS FAMILY! XXXXXXXX
ha ha ha ha ha hongera kwanza kwa kujikubali eti (ni yeye mwenyewe
andunje akiwajia
ktk National stadium))) umenichekesha sana sawa sasa dada kwenye hilo tshirt lako huko nyuma ulitakiwa kuandika ANDUNJE na c J LO
....
ni yule yule
AAAAAAAAAAAAAAH Kiroboto babaaa naona unawakilisha TMK,Nakupenda lakini punguza bangi nawe,ndio maana mtoto mzuri kama Sinta akakukimbia!
Kweli mtu akikubikiri huwezi kumsahauuu,si umtaje tu dada!
Big up J.Nature kwa kukata utepe kwa J.LO Unaona asivyo kusahau?
Naichukia Yanga kwakuwa iko associated na CCM!
Amr Zakir huyooooooooooooooooooooooooooooooo. Big up Zamalek
Sinta wewe ni mzuri sana na unapendeza sana ila tumo tumbo tumbo punguza shape yako inaharibika jitahidi kupunguza fats tho ni ngumu ila fanyia kazi utaweza
huyo j lo wala hufanani nae kwa nini usijiite tu mlopelo hahahaaa
why unamsema mwenzio eti huyu nae alikuwepo ni mume wa ujana wako watati ule you where nobody leo hii amekuwa yule wanawake mlioibuka kwa shida mnavijimambo
sema ni yule bwana wangu wa longi maku ww!ati jlo,kwa kipi?ushuzi mtupu...
y do u call urself jlo?achen kuchezea majina ya watu jaman
sinta uko juu dada
SASA WW SINTA HUYO MAFTAH ANAKUPA STICK FINGER NA WW UNAONAUTAAAAAMU!?
si utumie jina lako tu,mbona mnapaisha wenzeshi hakuna cha unstoppable wala nin.na huyu nae si alikuwa bwana ako humsahau duh pole christine
safi sana maftaa kwa stick finga i hate yanga,yanga wote matako yenu
juma nature mpenzi wako wa long tym enzi zile uko mshamba first grade...
Post a Comment