MISS TANZANIA WINNERS PARTY AT PARADISE HOTEL BENJAMIN MKAPA TOWER
sintalicious and sylivia
brothers and sisy
boijojo and mmmmmmh
Aminatha Keita
nothin but confidence
my galz and i
brothers and jlo
Double S
15 comments:
Anonymous
said...
nilipoziona picha hapo juu mashallah umependeza SANA ila nilipofika chini mmhhh hayo mapaja please yafanyie kazi,ushauri huu ni kwa roho safi wewe ni mrembo wallahiii !!!
wewe bwana kwenye nywele na make up wali upo juu tena juuuuuuuuuuuuuuuuuu ila nambie tu ki2 kimoja ile gym ulosema unaenda?? kingine tafadhali km huendi pliz pliz pliz nenda yani usizembee nasema ivi coz kuna ki2 nimeona kwenye picha.zingatia shoga u cn do it i knw
unaonekana umepungua sinta ila nguo imekushika sana umependeza ila make up kidogo jaribu kuibalance ni hayo tu na ushauri wa bure kwa nini unajiita jlo sinta wakati ata therusi umfikii napenda unavyojiita sintalicious anayekushauri anakupenda
For real navutiwa sana na wewe sinta, yani katika fans wako mie navutiwa na wewe toka ulipokuwa kwenye fani ya uigizaji, na nafurahia sana the way u move up, GOD bless you. Kitu kingine naomba unisaidie nimeipenda sana hiyo lipstick yako, unajua huwa nimenunua za red kibao lkn bado huwa sipatii red kama hiyo, so pls naomba niambie umenunua wapi na No. ngapi? na lipshiner if possible. Thanks, Glory
kwa mara ya kwanza imebidi nichangie,that boygeorge na mmmmhhhh...!cjaipenda at all coz huyo jamaa ana mke mzuri haswa na watoto 2.att list sehemu kama hizo angeenda na mkewe sababu huyo hawara c mzuri wala nini...! ni uzinzi tu unamsumbua,anaboa
back to u, wow u luk gud as always mi nilikupendaga kitambo tangu enzi zileee za kaole. lips zako mashaallah. lv u
15 comments:
nilipoziona picha hapo juu mashallah umependeza SANA ila nilipofika chini mmhhh hayo mapaja please yafanyie kazi,ushauri huu ni kwa roho safi wewe ni mrembo wallahiii !!!
wewe bwana kwenye nywele na make up wali upo juu tena juuuuuuuuuuuuuuuuuu ila nambie tu ki2 kimoja ile gym ulosema unaenda?? kingine tafadhali km huendi pliz pliz pliz nenda yani usizembee nasema ivi coz kuna ki2 nimeona kwenye picha.zingatia shoga u cn do it i knw
wewe ni mzuri ila hizo makeup jamani bado hujajipatia kabisa maana unaonekana kama albino huo uso
Aminata naona umri unaenda au picha tu
unaonekana umepungua sinta ila nguo imekushika sana umependeza ila make up kidogo jaribu kuibalance ni hayo tu na ushauri wa bure kwa nini unajiita jlo sinta wakati ata therusi umfikii napenda unavyojiita sintalicious anayekushauri anakupenda
kweli mdau hapo juu,aminata anaonekana umri umeenda sana,anaonekana kama yupo kwenye miaka 40 naa hivi!!!!
Mapowdeeerrrrr jamani yamezidi kama mmepaka Johnson baby powder? Hebu mtazamani huyo msichana aliyevaa nguo ya kihindi alivyopendeza usoni.
Hongera sana mrembo umefanana na Sauda Mwilima hiyo rangi yako ya uso
For real navutiwa sana na wewe sinta, yani katika fans wako mie navutiwa na wewe toka ulipokuwa kwenye fani ya uigizaji, na nafurahia sana the way u move up, GOD bless you. Kitu kingine naomba unisaidie nimeipenda sana hiyo lipstick yako, unajua huwa nimenunua za red kibao lkn bado huwa sipatii red kama hiyo, so pls naomba niambie umenunua wapi na No. ngapi? na lipshiner if possible.
Thanks, Glory
MWE !
Rangi ya usao nzuri sana + mipaja safi sana = hongera sana haya mwaya yetu macho na masikio
kwa mara ya kwanza imebidi nichangie,that boygeorge na mmmmhhhh...!cjaipenda at all coz huyo jamaa ana mke mzuri haswa na watoto 2.att list sehemu kama hizo angeenda na mkewe sababu huyo hawara c mzuri wala nini...! ni uzinzi tu unamsumbua,anaboa
back to u, wow u luk gud as always mi nilikupendaga kitambo tangu enzi zileee za kaole. lips zako mashaallah. lv u
ulipaka nn uson?!
amekuwa kama vempa, sijui ndio inavyoandikwa hivyo, nadhani wadau mmenipata.
Miss Mikorogo
1. Maimatha
2. Sintah
3. Suada Mwilima
4.Dida wa mchop's
5.
6
Post a Comment