tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post8185802708719464967..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: BONYEZA HAPA KUNA UTAMU SANA (BONYEZA BONYEEEE KIBARA)Sintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-8228346561893791792012-07-02T12:19:26.684+03:002012-07-02T12:19:26.684+03:00Wanawake wakipangiwa nyumba na wanaume mnaona sifa...Wanawake wakipangiwa nyumba na wanaume mnaona sifa na kujitangaza kila mahali ila wanaume wakipangiwa na wanawake mnaona ajabu? Wee si uliweka humu Beyonce kamnunulia jet mumewe? Au sio wewe?<br /><br />Isitoshe wanaume kibao mjini hapa wengine na kazi na shughuli zao wako supported na wanawake zao; including mwanaume wako au unataka tumwage mtama kwenye kuku wengi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-32342664883971874322012-07-01T17:31:25.297+03:002012-07-01T17:31:25.297+03:00sinta m nakukubal sana,na unapendwa dat y tunajiku...sinta m nakukubal sana,na unapendwa dat y tunajikuta tunabrowse ur blog,tupe mambo matamu na utupate ipasavyo members kama mtaa wa pili,uku juuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-23806769915932148932012-07-01T15:02:02.181+03:002012-07-01T15:02:02.181+03:00Mr Nice ni kweli amekuwa tapeli sana huyu kijana,a...Mr Nice ni kweli amekuwa tapeli sana huyu kijana,alipata fedha na kusahau alipotoka badala yake akawa ni mtu wa nyodo na maringo......katapeli mpaka sisi mashabiki wa chelsea kuwa atakuwepo msasani beach club na hela alipewa kwani tuliuliza.......duuuh!!! kweli Mr nice sasa kwishazzzzz------TABIA GANI HIYOOOOOOOO!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-30113930701449803692012-07-01T00:01:24.121+03:002012-07-01T00:01:24.121+03:00Nyooo,hunalolote!! Mmbea ww,kafupiiiiiiiiiii pyuuu...Nyooo,hunalolote!! Mmbea ww,kafupiiiiiiiiiii pyuuuuuuuu!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-3731005415599875462012-06-30T14:55:05.560+03:002012-06-30T14:55:05.560+03:00Sinta huu ni uswahili uliopitiliza kwn akidaiwa in...Sinta huu ni uswahili uliopitiliza kwn akidaiwa inahusu nn serikali yenyewe inadaiwa,kwnn unaingilia maisha yake hivyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-31060506278293702302012-06-30T11:19:09.298+03:002012-06-30T11:19:09.298+03:00jamn dinah unajipendekeza sna kwa sinta kwa sinta ...jamn dinah unajipendekeza sna kwa sinta kwa sinta unatafuta nini wakati umaarufu ndo kwishineeeeeeeee una lolote wewe dinah au ndo anae kusaga mfyuuuuuuuuuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-3339145340112416422012-06-30T10:29:27.559+03:002012-06-30T10:29:27.559+03:00una lolote ulikuwa unamtaka mr nice mfyuuuuuuuuuuu...una lolote ulikuwa unamtaka mr nice mfyuuuuuuuuuuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-91260952298559702972012-06-30T07:17:00.731+03:002012-06-30T07:17:00.731+03:00pretty nina hamu ya kusikiliza but i cnt play it u...pretty nina hamu ya kusikiliza but i cnt play it ungenipa hint kidogo mumy!dinahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-1052388085721181182012-06-30T00:50:53.954+03:002012-06-30T00:50:53.954+03:00jlo nawe cku hizi umekuwa gea unatafuta hekaheka.....jlo nawe cku hizi umekuwa gea unatafuta hekaheka....! huyo mr nice aende tu kwao kijijini akatafute shamba la migomba alime ndo kazi inayomsuit, hapa mjini hapamfai tena......!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-38409168663158851992012-06-29T22:43:56.389+03:002012-06-29T22:43:56.389+03:00mambo ya ki mujini mujini hayo.loo aibu,hiyo sasa....mambo ya ki mujini mujini hayo.loo aibu,hiyo sasa.dume zima.sintah blog yako siku hizi inachangamka.kwa nini usiweke ile ya thumbs up au thumbs down?nahisi kijiwe kitanoga zaidiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-62774629968499799292012-06-29T22:26:10.800+03:002012-06-29T22:26:10.800+03:00We mtoto mbona pashkuna ivyoWe mtoto mbona pashkuna ivyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-87504320499245214002012-06-29T20:14:21.847+03:002012-06-29T20:14:21.847+03:00sio bure unamtaka mista nice wewe, huna habari nyi...sio bure unamtaka mista nice wewe, huna habari nyingine zaidi ya mr nice?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-8324899877756217082012-06-29T19:10:04.541+03:002012-06-29T19:10:04.541+03:00ofyooo!ofyooo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-66095937969962376932012-06-29T17:56:09.488+03:002012-06-29T17:56:09.488+03:00ewe mtoto wa kike, acha umbea mbea! akha, alikukat...ewe mtoto wa kike, acha umbea mbea! akha, alikukataa nini ndo kisa cha kumuandama hivyo! hayo ni mambo yake binafsi, hahatarishi maisha ya mtu mwengine, kama segerea atakwenda yeye pekee!Anonymousnoreply@blogger.com