tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post6831872701463009888..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: HABARI NDIO HII HAPASintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-77900450456567278702011-10-28T10:33:47.886+03:002011-10-28T10:33:47.886+03:00Hongera sana Sinta! endelea kujitunza na umshukuru...Hongera sana Sinta! endelea kujitunza na umshukuru Mungu.mama 2noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-56709855736285303112011-10-25T14:56:47.251+03:002011-10-25T14:56:47.251+03:00safi sana mdada hapo juu ni uwazi na ukweli hayo m...safi sana mdada hapo juu ni uwazi na ukweli hayo makemikali unayopaka ni cancer ya kutosha asubiri muda wake, cancer two weeks u dead HIV is not un issueAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-52022092985119774642011-10-25T10:25:56.997+03:002011-10-25T10:25:56.997+03:00Kweli christina una kazi!!unaishi ulimwengu gani j...Kweli christina una kazi!!unaishi ulimwengu gani jamani, yaani una mambo ya kizamaniiiii!! kama umepima, so what! au ndio unataka kuwahakikishia wanaume kuwa upo safi so what!! hujui ukimwi hauui?fanya research, utajua kinachoendelea dunianiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-43921120118888757072011-10-24T15:56:38.405+03:002011-10-24T15:56:38.405+03:00We mdau namba mbili huoni kama hiyo ni January 201...We mdau namba mbili huoni kama hiyo ni January 2012 na imeandikwa Re-test yaan siku ya kurudi ili apimwe tena watu wengine bana wagumu kuelewaa,Hongera mwaya mdada kwa kupima n take care!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-62210416575089574182011-10-24T11:01:43.663+03:002011-10-24T11:01:43.663+03:00jlo nielekeze kwa mama ngoma umenihamasisha sana. ...jlo nielekeze kwa mama ngoma umenihamasisha sana. please me mgeni sipajui.miminoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-39766488736238197592011-10-23T22:20:03.106+03:002011-10-23T22:20:03.106+03:00safi sana mdau hapo juu, embu mueleze huyu limbuke...safi sana mdau hapo juu, embu mueleze huyu limbukeni wa maisha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-61640991442283631732011-10-22T08:00:32.791+03:002011-10-22T08:00:32.791+03:00sinta kama wewe msomi kweli. hivi umefanya kweli r...sinta kama wewe msomi kweli. hivi umefanya kweli research wewe>hivi unajua kwamba ukimwi sasa hauwii? hao wanakufa ni wachache tu wa kutotumia dawa na wazuri zaidi yako unakumbana nao njiani,wanaishi afya njema ,ambao wanatumia dawa mnaenda nao sambama, mbona una mambo ya zamani?
cancer ndio inaongoza kwenye kwenye globalization<kwa kuua sasa duniani
pia nenda katuletee vipimo vyake,jee unasemanYO VIPI NA HUO MKOROGO, DID U EVER THING ABOUT SKIN CANCER? IS A WORSE DISEASE THAN HIV!!!

i really under grade u, nilijua unapima kwa ajili yako sio kwa kuonesha magazeti yamesemajee, mmh! poor u, you not civilized at all than u think, shame on u!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-28384956079753482902011-10-21T23:31:29.337+03:002011-10-21T23:31:29.337+03:00loh, pole sana ila hata wewe inaonesha ulikuwa huj...loh, pole sana ila hata wewe inaonesha ulikuwa hujiamini kuhusu afya yako..........Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-36894941135938193652011-10-21T18:56:44.354+03:002011-10-21T18:56:44.354+03:00Huyo aliyekusindikiza ye mbona hajapima???????????...Huyo aliyekusindikiza ye mbona hajapima??????????????????????????Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-27572790355748597592011-10-21T16:15:53.793+03:002011-10-21T16:15:53.793+03:00Its good that ur negative lakini hicho cheti cha m...Its good that ur negative lakini hicho cheti cha majibu mbona kimekaa un-official hivo? hakina hata muhuri jamani? ni kama tuu ulichana hiyo karatasi na kuandika hapo
ila kupima muhimu :)NaLunoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-46340775375525555152011-10-21T15:39:00.297+03:002011-10-21T15:39:00.297+03:00Mbona jack hajapima? hongera sintalicious nawapend...Mbona jack hajapima? hongera sintalicious nawapenda sana jamaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-48306355039818904402011-10-21T15:00:16.618+03:002011-10-21T15:00:16.618+03:00afadhari umewakomesha hao wadaku... wamezidi kuuza...afadhari umewakomesha hao wadaku... wamezidi kuuza magazeti kwa kuwachafua watu.Hongera sana kwa ujasiri.
Much love..
mwaaaaahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-20036840052632053152011-10-21T12:32:13.902+03:002011-10-21T12:32:13.902+03:00KAMA UMEAMUA KUTUONYESHA CHETI CHAKO UNGETUONYESHA...KAMA UMEAMUA KUTUONYESHA CHETI CHAKO UNGETUONYESHA THE CURRENT ONE OF OCTOBER, FROM JANUARY MPAKA LEO ITS A LONG TIME.

FORTUNEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-77748736502302383012011-10-21T08:48:33.085+03:002011-10-21T08:48:33.085+03:00mm lazima nikupe hongera mana mi sijawahi lohhh na...mm lazima nikupe hongera mana mi sijawahi lohhh naona cku iyo nitajinyea mhhhh naogopa sana cjui nitapata lini moyo wa ujasir namna iyo na mwambie jack ametisha mbaya lohhh pendedhaaaaaaa nyieeejuliana deusnoreply@blogger.com