tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post5171335595395509406..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: AMBER ROSE'S BIRTHDAY AT CHINESE RESTAURANT MIKOCHENISintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-79015851753800849002011-12-29T15:57:16.598+03:002011-12-29T15:57:16.598+03:00yani huyo sauda ndo huwa ananichefuaga kama nini, ...yani huyo sauda ndo huwa ananichefuaga kama nini, bado mshambaaaaaaaaa, linafikiri kujichubua ndo uzuri sijuiii!!!wala hufanani na sinta, lioneee!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-74217960032066489732011-12-15T03:37:46.371+03:002011-12-15T03:37:46.371+03:00Jamani Jack punguza makorokoro heee, Sinta bhana h...Jamani Jack punguza makorokoro heee, Sinta bhana hao shoga zako mbona wachafua nyuso zao? wanapaka nini mbona hawana mvuto? na hayo mambo ya mikorogo yashapitwa na wakati, dhuu sura zimekunjamana utadhani vi ajuzaaa, hebu wafundishe bhanaaaa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-30283761439243976372011-12-13T17:06:19.081+03:002011-12-13T17:06:19.081+03:00happy birthday wolper and luv da party inaonekana ...happy birthday wolper and luv da party inaonekana ilinoga sana.sinta ulipendezaje na sauda wako amevaa kigauni kizuriiii hadi raha.Now she improved.

jane bombaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-21935249284237244922011-12-13T17:03:09.599+03:002011-12-13T17:03:09.599+03:00happy bithday Wolper ulipende sana and Sauda amep...happy bithday Wolper ulipende sana and Sauda amependeza sana na kigauni chake but kichwani bado cjamkubali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-73145139314285131312011-12-13T16:28:30.417+03:002011-12-13T16:28:30.417+03:00Huyo shilole, nae jamani sasa hiyo ndiyo nguo gani...Huyo shilole, nae jamani sasa hiyo ndiyo nguo gani ya kwenda kwenye shughuli za watu, utadhani mmang'ati kavamia disco, rungu, fimbo mkuki na bakora mkononi, ushamba mzigo, mwambieni ajifunze kutoka kwa wenzie, au arudi Tabora akajipange upya ujinga mtupuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-90740584767940101982011-12-13T15:31:58.228+03:002011-12-13T15:31:58.228+03:00Jamani Wolper Sijui Amber Rose, hicho Kichwani ni ...Jamani Wolper Sijui Amber Rose, hicho Kichwani ni nini Ha! mbona unapenda makorokoro mwanamke hata upenedezi kabisa yani tafuta mshauri wa uvaaji tene haraka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-29481189171104998662011-12-13T15:11:59.305+03:002011-12-13T15:11:59.305+03:00zama amependezazama amependezasophynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-45476231198857048832011-12-13T14:08:54.683+03:002011-12-13T14:08:54.683+03:00Hiyo keki tumeichoka ipumzishwe sasa...kila mtu st...Hiyo keki tumeichoka ipumzishwe sasa...kila mtu style hiyohiyo!
Na hizo nyuso zenu kweli hazivutii...sijui ni makeup mnazotumia?au mikorogo?mi kata sielewi...mnajizeesha wakati bado ni wasichana wadogo!Myurinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-71282024639929312462011-12-13T12:23:07.970+03:002011-12-13T12:23:07.970+03:00tatizo nyusooo jamani mbona mnatisha nyuso zenu du...tatizo nyusooo jamani mbona mnatisha nyuso zenu du kumbe hata zama naye bado kwny nyusooooooooAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-87893704676485565022011-12-13T11:34:12.120+03:002011-12-13T11:34:12.120+03:00sintah you look cute mumy! but hebu washauri maraf...sintah you look cute mumy! but hebu washauri marafiki zako kwenye uvaaji mfano huyo shilole kuonyesha bikini ndo mauzo au jamani girls we can be classy without show off of our body hapo ni kujidharirisha; tusipoolewa tunaenda kwa waganga oooh nimelogwa wakati tunajiloga wenyewe. sasa hapo kuna wa kuoa kweli unaita mke!

by the way happy birthday jacky! naona birthday za bongo movies zinaongozana tu!
sintah yako lini? usiache kunialika mupenzidinahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-48049343950617967442011-12-13T10:08:01.504+03:002011-12-13T10:08:01.504+03:00MHHHH!!! HUYO MWENYE B'DAY MBONA ANAPENDA MAKO...MHHHH!!! HUYO MWENYE B'DAY MBONA ANAPENDA MAKOROKORO MENGI? GAUNI LAKE ZURI NA LIMEMPENDEZA ILA TOO MUCH ACCESSORIES. B'DAY IMEPENDEZA. JANE WA LAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-53434797605976656682011-12-13T10:06:24.039+03:002011-12-13T10:06:24.039+03:00Yessssssssssss it is speechless hiyo picha ya mwis...Yessssssssssss it is speechless hiyo picha ya mwisho mmependeza sana. Nimependa mlivyo vaa, make up, nywele nakila kitu. Jane wa LAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-39578565173072334702011-12-13T09:39:46.066+03:002011-12-13T09:39:46.066+03:00happy birthday wolper Mungu akujalie uhai na afya ...happy birthday wolper Mungu akujalie uhai na afya tele.....Tina umependeza sana umetokea elegant lakini (No offense)huyo shilole jamani mbona kujiaibisha....mdada sisi wote wanawake kwa nini tusiwe tunashauriana tunapoona mwanamke mwenzetu anakosea?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-46946395359169707172011-12-13T02:41:57.034+03:002011-12-13T02:41:57.034+03:00wanawake bwana wakati mwingine mnalalamika ooh sin...wanawake bwana wakati mwingine mnalalamika ooh sina bahati mi sitakwi hakuna mwanamke asietakwa ni wewe tu namna utakovojiweka. BINAFSI KM MWANAUME MWANAMKE YOYOTE YULE WA BONGO MOVE HATA AWE MALAIKA SIMTAKIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-26203668727416166292011-12-13T02:40:24.987+03:002011-12-13T02:40:24.987+03:00wolper bwana kwenye kuvaa ni 00000000000000 +00000...wolper bwana kwenye kuvaa ni 00000000000000 +000000000000000 = 00000000000000000 mavituitu kibaooo km borthday girl hakupaswa hata kuwa na icho kipochi i wonder leo mahead4ne yake kayaacha wapi mana yale yanaenda mpk harusini WALAI SHULE NZURIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-22451427192779988362011-12-13T02:36:32.065+03:002011-12-13T02:36:32.065+03:00wow sinta ulipendeza sana nimependa kigauni chako ...wow sinta ulipendeza sana nimependa kigauni chako nimoto,mimi nakupenda sinta huwa huvai makolombwezo mengii.kama birthday girl huyo wolper,anajiweka madude kibao kila mtu amemupa ushauri ila mbishi kama shipa mchaga kavamia mji naona mashanga kichwani miguuni mikononi duh kaazi kwelikweli.2much is humph.lolAnonymousnoreply@blogger.com