Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NEW ARRIVAL NEW ARRIVAL WEDDING BELLS

chezeya Didie
huyu ndiye Didie anayenifanya nitoke bomba

47 comments:

Anonymous said...

what a pity, you wull only put them on just for showcasing, ha ha ha,but in real life na na na na

Anonymous said...

pendeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Hey pretty Sintah Didie anapatikana wapi?

Anonymous said...

umependeza sana sinta inaonekana siku yako utakuwa kama malaika. AND FROM NOW ON vaa nguo ndefu ila ziwe na style zinakupendeza sana na utatoka classy zaidi ya hizo fupi ambazo mwisho wa siku unapishanisha vimiguu kama kilema. hiyo stle mwachie shamimu coz yeye ndio tumeshamzoea kama katuni (pinokyo)

Anonymous said...

Mpsssxxyyy..umenitoka! uso mzito kama mkundu wa ngamia..

Anonymous said...

MashaAllah nguo za zimekupendeza mwaya,inshaAllah ipo siku itakuwa yako sio ya maonyesho!!

Anonymous said...

Yaani shela zinavyokutoa bomba fanya tu upate bw,harusi tehtehtehteh

Anonymous said...

Ulivopendeza utadhani.......ipo siku lakini

Anonymous said...

pendeza sana sintah

Anonymous said...

u luk gud my dear didie anapatikana wapi mimi mdau sana wako naitwa joy wa mwanza

Anonymous said...

umependeza siku yako u will look great.

Anonymous said...

hahhqhqhqhqhqhqh poleeeeeeeeeeee

Anonymous said...

sintah hilo duka linapatikana wapi? na je wanakodisha? nategemea kuolewa mwezi wa 11, plz naomba info

Anonymous said...

Kama itafika hiyo siku yake, She is NUNGA EMBE for life!!! labda afufuke bwana kutoka kaburini aje amuowe

Anonymous said...

Mwacheni mtoto wa watu, mnataka aolewe mara ngapi? Alishaolewa huyu na akaachika chezea nothing but confidence hababaishwi na mwanaume. Hebu wawekee zile picha zako za harusi waone jinsi ulivyotokelezea ile mbaya!!

Anonymous said...

WOW YOU LOOK SO MWAAAAAA..... J WAKE LO. Umependezaje mrembo! mpaka nimekutamani.

Keep it up

Anonymous said...

Jamani ikifika siku ya harusi yako nadhani utapendeza kuliko mabibi harusi wote ambao nshawahi waona.

Anonymous said...

You look so mwaaaaaaaaaaaaaaa!
wewe mzuri bwana.
Congrat.

Anonymous said...

pendeza sana Prety Sinta you look mmmwaaaaaa!!!

Anonymous said...

Sinta the dresses are nice and you are pretty as we can see Na on your wedding the man will be the luckiest kwa kukupata mpendwa,

Anonymous said...

WATU CJUI KWANINI MNA ROHO MBAYA HV ETI SINTAH HAWEZ KUOLEWA KWAN WW UMEOLEWA UNA NN MPAKA SINTAH ASIOLEWE ANA NN RIZIKI ANAPANGA MUNGU JAMAN HATA ACPOOLEWA HYO N KAZ YA MUNGU, MUNGU C ATHUMAN WATU MNAJIFANYA KAM MIUNGU ET HAWEZI OLEWA!!! MMUACHE HAMNA LOLOTE WIVU TU

Anonymous said...

we anonymous hapo juu acha roho mbaya kuna sehemu nyingine unakuwa fear tu kama kapendeza mwambie tu, roho mbaya kama mkaanga sumu

Anonymous said...

hey sintah u look pretty and ur skin is to die for..... u hater watch what u say,,,,,,, hmmm i must say u wld look so pretty on ur day cause picturing u from this u luk sweet the make up hair gown everything so on point...... dnt worry ur day wld be soon n haters wld learn to shut up

Anonymous said...

Umependeza sn mwaya na huyu didie anakupatia dont change ur hair dresser

Anonymous said...

huyo didie anapatikana wapi my diaa= mpe shavu na yeye tumuone anakupatia sn

Anonymous said...

Mamii naomba contact za huyu didie cz nmependa shela zake an am in need

Anonymous said...

huyo anon yeye mwenyewe nisumu manake dah yaani hafai katika jamii sintah kapendeza tena sana ukweli ndio huo

Anonymous said...

umendependeza sana sintah,mie leo sikoment vibaya,

Anonymous said...

we ulomtukana mwenzio apo juu kwa kipi kibaya alichofanya??? Mtoto wa watu anatangaza nguo, we endelea kutukana mwenzio kaingiza ela,, af mnakua na mabif yasiyo na kichwa wala miguu,msubir cku akileta zile shobo zake ndo umtukane. Kwako blogger kaza buti mama,,,,! Achana na wajingaaa!

Anonymous said...

anapatikana msasani karibu na kanisa la lutheran, sijawahi kuona mtu mwenye mashela mazuri kama huyu dada, mimi na rafiki zangu tumenunua hapo wote, fika utajua huduma zake na bei ya kujaribisha ni ndogo sio kama wakina fulani eti elfu hamsini fyuuu....Sinta umependeza na shela wanaokusema vibaya hawajui uliolewa,wivu tu

wa ukweliiiii said...

Hilo duka liko msasani kituo chakanisan utaliona tu hilo duka coz hakuna duka lingine la nguo za haruc hapo

Anonymous said...

duka zuri na umependeza sana,nguo classic, sio kina fulani huko kinondoni wanajidai wana maduka ya nguo za harusi nguo zenyewe tano. mdomo mwingi huna mbele wala nyuma, china unaenda mara moja kwa mwaka. sura mbayaaa. halooooooooooo

Anonymous said...

jamani kwa wanao tarajia kuolewa hizo nguo ni nzuri mno,hata kama ni mara ya tatu poa tu bi harusi shurt kupendeza!!!!

juliana deus said...

LOOKING SO NYC WITH THAT KIND OF DRESS

Anonymous said...

hivi hamjui kama sintah alishaolewa ug tena harusi nzuri kweli alipendeza sana na ana mtoto wa kiume mkubwa tu sasa mnavyojishaua sijui nini

Anonymous said...

utabakia kujipima tu shost
lako hilo

Anonymous said...

umependeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaa tena sanaaaaaaa. umeua

Anonymous said...

bibie kiukwel cjawah kucomment ktk blog yk ila umepndz na ushaur wang uwe unavaa long dress tu cz u look pretty effectively.pia utulie nawe cku moja iwe anameremeta sintah

Anonymous said...

pendezaaaaaa ww vaa nguo ndefu tuuuu kuanzia leo

Anonymous said...

cjawah kucomment blog hii jmn sinta kuanzia leo vaa nguo ndefu tuuuuuu mn zinakutoa ni ushaur tu uco na malipo

Anonymous said...

jamani ya kaizare mpe kaizare now days jlo kama anavyojiita kwakweli ana pendeza sana huyu mtu anaemremba kwa style ya nywele na kila kitu anastaili pongezi sana kweli mdada umetoka chicha sana wenye chunusi za rohoni wajinyonge ni hayo big up neno la uzushi jamani dada fide yuko wapi ?

Anonymous said...

it is sad how we hut each other nowday .how could you say she will never married as if your god ?she look very beautiful on that dress and you can't help yourself,can you?remember the more bad thing you wish to her the more prosper she will be and whats goes arround come arround .you look so pretty on that dress sintah may god bless .

Anonymous said...

Em tupia contact zake au wapi anapatikana nataka kumnunulia wife to be gown kwa ajili ya wedding yetu please do it as first as you can mamito

Anonymous said...

Hahahahaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Sintah hakika wewe ni mrembo mungu ashukuriwe!!!

Anonymous said...

Pendezaaaaaaaa sana mama...

Anonymous said...

uthihirwe mbwae wakihetu.