Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WEEKEND NJEMA , MUNGU AWE NANYI

i don't waste  my time on revenge,
those who hurt me will eventually
face their own  karma.
when we put our cares in his hands,he puts
his peace in our hearts.
the secret of happiness is to count ure
blessings, while others are adding up
their troubles.

Tukutane tena baadaye eeeh,baadaye, wapi? Miss Ubungo patachimbika.
Nawakatikia kila la kheri na weekeend njema.


Lope Lope.

15 comments:

dinah said...

nimekusoma mumy obvious God is with those who care for nothing but him!! week end njema

Anonymous said...

pendeza na tshert ya young africa.... apo tutaelewa mno nce wkiend

Anonymous said...

thanks sintah,u too nice weekend.

Anonymous said...

jamani leo nimetoka home nimeuziana na mume wangu lakini nimefika break ya kwanza kwenye blog ya sinta yani naskia furaha isiyo ya kifana nimecheka mbavu zangu he he he he sinta mungu azidi kukuweka na blog yako itupunguzie mawazo asante sinta comment nikisoma mim hoi hoi hoi watu weweeeeeeeeeeemfyuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

Sintah umependeza sana umepungua sana unatumia nini,npe jbu plz

Anonymous said...

Sijawahi kukusifia maana huwa naona mara nyingine una kasoro au ukipendeza unakuwa umepost msg za kujisifu sana au kujishebedua kwa ukweli picha zote za leo umependeza sana Sintha,haswa picha ya juu very presentable na claasy,u luk gud

Mama Tracey from Arusha

Anonymous said...

beautiful!

Anonymous said...

sinta pliz tell tht dokii gal to change her style, meen she luk like crazy jamani yani kwenye paty ya wema ndo kabisa mi nilijua kichaa katoroka milembe

Anonymous said...

Looking gud sintah....ila huyu dokii ana matatizo gani wenzangu? mi simuelewi kabisaaaaa, anajifanya kudata uzeeni? kweli kachelewa, kila mara anajifanya jokeli wa kwenye karata, hata fashion hajui n she goes for the cheapest stuff na bado hajui kuvipangilia manake kuna mtu anaweza kuvaa cheap na akapendeza sana....ila huyu ni big nooooooo bwahahahaaa

Anonymous said...

jamna sinta kwanini unabania comment wakati unasema unajiamin sinta una lolote muone kwanza pua kubwa kama papa wemba wala upendezi unatafuta mabwana kiaina kupitia blog yako mfyuuuuuuuuuuuuuu ulisha pitwa na wakati waachie watoto under 30 watese wewe ulisha zeek mfyuuuuuuuuuu bwana wa kukuweka ndani ndo huna kila siku kuzurura kwenye kumbi za staree kutafuta bwana wa kukuweka ndani mfyuuuuuuuuuuuuuu nani akutake wewe wakati kengere imeisha gonga sms sent najua auta iweke lakin ukweli nimekupa na wala usibishe mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

Sinta tuambie basi umetumia nn mpaka umepungua?pls

Anonymous said...

We anonymous june 30,2012 11: 28 am pumbavu zako...sinta kakufanya nini mpaka uanze mkusema? Ebu kachambe ulale huko! Nyoko weeeee matako yako .....

Anonymous said...

We mwenye pua nzuri hongera zako kwa kujiumba vizuri,lakini elewa hujafa hujaumbika,kwani watu hujiumba?ndio pua baya so watakaje?aifishe isionekane,kila comment yako mfyuuuuuuu mfyuuuuuuu ndio umeona bongeeeee la tusi hilo,mfyuuuuuuu mamako aliezaa taahira lisiokuwa na kazi kutwa kuwaza nini liongee kwa hii blog,inaonesha sinta kakukaa kooni,tapika basi!ama kweli mzazi alokuzaa kala hasara#Ally star song *cant watch* btw I heard sinta anatafuta housegal wewe wamfaa

Anonymous said...

unaendesha gari na pochi begani,lolest.soma kimya kimya maana aibu.

Anonymous said...

dokii ni mkichaa????????????????