Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

VODACOM ON BOARD PRETTY SINTAH BLOG

ninapokea comments nyingi zinasema why Vodacom activities kwenye hii blog,sasa basi tangazo la vodacom litakuwa hapa muda wowote kuanzia sasa ,na vodacom ni mdhamini wa PS Blog,hope mmenielewa sasa na hamtouliza tena maswali so chochote kitakachohusu vodacom kita postiwa humu.

VODACOM KAZI NI KWAKO


kiroho safi ninawakaribisha wadhamini wapya

7 comments:

Anonymous said...

Congrats galfriend keep up the good job n put food on the table kazi ni kazi tu jitume na Mungu akulinde na akuzidishie. Mucho love MVUMILIVU HULA MBIVU

Anonymous said...

Hongera bi shost

Anonymous said...

yes!! kanyaga twendeeee shost!!!mi nakuaminia sana!! na voda com ndiyo mtandao wangu!!!

Anonymous said...

Love you Sintah, go on gal... Vodacom oyeeeeeee

RUKY said...

YAP,YAP, LOOKING GOOD GIRL

Anonymous said...

muone hicho kiglasi cha juice kisichozidi dola tano no umetuweekea hapo. do the visible things wenzio wanaonyesha mijengo we unstopable una nini??????????// SHO US WHAT U GOT?

Anonymous said...

hongeraa!!