Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

USIJARIBU HAYA KWA MWANAMUME WA TANZANIA

Beyonce kamnunulia wake mume
aaaah kupendwa ndio huku
sijui niwafananinshe na nani kwa Tz
till death do u apart
Jamani  haya mambo anayofanya Beyonce tuwe tunayaona katika mitandao,wewe binti/mama wa Kibongo stooooop never never try kwa wanaume wa kibongo,unampelekea hii  zawadi kesho yake unamkuta nayo mwanamke mwenzio kwani haya mapenzi yana maana?wewe endelea kumnunulia socks na shirts,ili mradi siku zinasogea maana hazigandi.

39 comments:

Anonymous said...

ckwel kwan wengine tunaheshimu pendo la mtu

Anonymous said...

HAYA MAPENZI YALIKUA KWA WEMA NA DIAMOND KABLA SHOGA YAKO HAJAINGILIA KATI NA KIDOTI CHAKE, NYMBAFU KABISA

Anonymous said...

sawa jlo tumekusikia, soksi na boxa kwa kwenda mbele! umenifurahisha kwa msg yako leo....

Anonymous said...

Sinta thats not true. I guess you have very limited cycle get out of the cycle uone. wapo watz wenye upendo wa dhati You should research "since wewe ni msomi" before saying that. I could agree with you kama ungesema watu wengi wanaoishi maisha ya kitapeli usupastaa wa uongo bongo wasijaribu but in real humble life ni vitu vya kawaida wanaweza wasifike kwenye personal jet lakini kwa vitu vilivyoko kwenye uwezo its normal

Again get out of your ltd cycle msomi wetu

Anonymous said...

yan hao ni kama jayd na captainnn ahahhaa sio wewe kinamkojo wakudandia na mwenzio kindoja hahahahaha wangu nimemnunulia nyumba anapata usingiz na nikijaaliwa hata jet itamuhusuu heheheh pole kikojoz kichupi kimekuingia kipwintoo bania bt msg umeipata kilalie hichoooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

wewe sinta ni comedian?manake nacheka hapa mpaka mbavu zinauma.

Anonymous said...

tatizo mnadate na vinuka mkojo kam nyie wenyew sasa mtaongwa nini au mtawaonga nini?poor u .sintah

Anonymous said...

tetetetete wabongo mna maneno,m napita tu

Anonymous said...

Ha ha ha ha,sinta umenifurahisha.ni kweli bora umnunulie socks na suruali maana atazivaa mwenyewe,akigawa sana atampa shemejio.

Anonymous said...

kwakua hujapata wakukupenda ndo maana wasema hivyo wenzio twapendwa na tunatoa mazawadi kadri ya uwezo wetu. wewe na huo mdomo hakuna mwanaume anaeweza kukupa penzi la dhati kwanza nyie wezi wa mabwana wa watu wakubwa wewe na Joket wako mmedoda. hebu kwanza nikuulize Sinta unaolewa lini?

Anonymous said...

mdau umenena ni jde na gadner hao wanapeta tu!

Anonymous said...

Nice!

Anonymous said...

mmh umenifurahisha sana sinta si mmoja wa wa watucomments lakini hii ya leo ni kweli boxer plus soks zinawatosha sana hawa bf wa kibongo hamna cha zaidi.

Anonymous said...

Hivi utakua lini we Sinta?

Anonymous said...

Kwaio mapenzi hadi ununuliwe ndege? Maisha hayako kama unavyodhani,waschana wa kibongo mmwzibukia mambo ya kipuuzi! Masistaduu siku hizi wamekuja na fashion ya kukimbilia kuolewa na wazungu! Eti wanaponda wanaume wa kibongo hawana mapenzi ya kweli!!? Ni upuuzi mtupu,wapo wabongo wengi tu wenye mapenzi mema! Hao wazungu wanawafanya kama malaya wao,then baadaea wanawaacha,jiulize,ulishawahi kuona mzungu na mwafrika wameoana halafu wakazeeka pamoja? Waambie hao marafiki zako waache kujishaua! Wanafanywa kama malaya tu na wakishaisha uschana wataachwa kama wenzao!

Anonymous said...

teh teh teh! im on ma way people.mbululaaa

Anonymous said...

dah..sintah umenichekesha...yani ni ukweli...asilimia kubwa ya mapenzi in bongo ni make believe..wachache mno wako na true love...mh...hapa hakuna mapenzi ni kula gud time, kuangalia ni namna gani nani atamliza mwenzie at the end...iwe kwa kumchomoa pesa au kitu cha thamani..mapenzi bongo ni ku act.

Anonymous said...

Jamani yani mnamtukana mwenzenu kwasababu kawaambia msihonge wanaume, mtakuja juta nyinyi wanawake mliozoea kuhonga, nyie wahongeni wanatuletea huku kuosha majina tunazila vibaya sana. Ni hayo tu kwa leo

Anonymous said...

SINTAH UMENICHEKESHA KWELI,ETI UKINUNUA ZAWADI KAMA HIYO KESHO UNAMKUTA MWANAMKE MWENZIO KAPANDA,TUENDELEE KUNUNUA SOKSI NA SHIRTS....NIMECHEKAAAAAAAAAAAA MPAKA BASI,ASANTE KWA KU MAKE MY DAY.

Anonymous said...

Am still loding..........

Anonymous said...

Ure right jlo and i love u mwaaa

Anonymous said...

Sinta umeongea kitu cha ukweli kabisa, wanaume wetu hawa wa bongo ni pasua kichwa, socks na Shirts tu ndio zina wa faa,iliucje kulia zaidi!!!!

Anonymous said...

HII ni kali mdogo wangu hwa wanaume wetu wa kibongo saizi yao ya ni soksi na boxa tuu,umenifurahishajeeee wanguuu

Anonymous said...

kwa kweli usithubutu

Anonymous said...

ni kweli usemayo bidada ila siyo wanaume wote wako hivyo sema nyie macelebs ndio mostly are affected sababu ya hicho kitabia chenu cha kuibiana mabwana hicho very trashy. if a man can give you a house or mkoko like Wema's man alivompa why cant you give him zawadi even a jet if money allows. like my man kanipa mercedez benz unadhani nitaacha kumpa zawadi ya maana?

Anonymous said...

hahahahahahah wengi waongo bwana wanaume wa hapa ni kumi kwa mmoja anayejali .mi nasema hata soks hapati

Anonymous said...

sinta ana masterz ya kaole kule bagamoyooo,,eti msomi! Nyooo! Mdada unaboa, ful mswazi,aya sasa nakuona unaanzisha mabifu yasiyo kuhusu, acha kujishaua tutakupa kipondo hutasahau!

Anonymous said...

kanunulia mumewe? au amenunua kwa ajili yake pia? hao ni wana ndoa, kila cha mwenzake chake. Tena Sintah huo ushauri unaotoa labda kwa ambao hawana hakika na mahusiano yao..lkn wengine kwetu ni raha tambarare.

Anonymous said...

Kweli kabisaa...

rodern mtulo said...

Duuu kweli Huyu mdada amependa mbona mimi sipati bahati kama hiyo?

Anonymous said...

mi bwanangu maskin hata anjifu hajawah kunipa..ila nataman sana ningekuwa napewa vitu na mim...

Anonymous said...

mijitu bwana kila habari sinta atakayoweka lazima mseme kidoti kamwibia wema diamond wake, mbona hamsemi uyo wema alivyoiba mme wa mtu na kuanza kumtafuta mkewe eti amwone kama anamfikia uzuri? sa kama ye anajiona mzuri why aibiwe bwana zake, issue sio kidoti wema mwenyewe aliyakoroga kila siku kufumaniwa na diamond akidhan madem wengine hawana kuma tamu za kumpa diamond, tupisheni, kila mtu yuko mjini kutafuta raha na pesa, kutesa kwa zamu, alimuacha charles baba akilia nae zamu yake

Anonymous said...

hivi ni kweli Diamond anaingiza uboo wake kwa Kijoti? hata siamini! ama kweli

Anonymous said...

Sintah nimechekaaaaa mpaka mbavu zinauma jamani!!!! eti socks na shirts hahahahhahahahaaaaaa!!!

Anonymous said...

C bure umetumwa ww na kikovu

Anonymous said...

wema and DIAMOND
LADY JAY DEE and GARDNER G HABASH hapo...

we Sintah huwezi kupata mume kama huyo ..coz wewe kwanza wewe ni materialistic, una tamaa ya mabwana wenye hela ambao wanakutafuna alafu wanakukimbia,

alafu wewe una tabia za kiswahiliswahili upashkunakuuu..

Anonymous said...

hahahaaaaaa,,,,,Sinta kuna mtu uta muua humu ndani maana anatukana hadi mishipa ya macho na vidole imemvimba,,,sio siri namwonea huruma...na inavoelekea kesha kuwa addicted na hii blog siku ukiisitisha atakufa ataoza,,,real nimegundua anakupenda na kukutukana ndo kukusifia kwake......kama kuna daktari humu wa mindset hebu atoe huduma...

Disminder orig baby said...

usiingilie kazi ya Muumba!!
nani kakwambia huko ughaibuni hakuna waongo?
Wapo wanaume hapa hapa TZ wako more than hao honey wa ulaya na watu wanaishi peace!! Tatizo ndunga yembe kila kona na tamaa za kuishi high life!!!

kc said...

Dada hii nimeipenda na imenigusa kwa kweli kwa bongo mmmm,usijaribu bora uvitunze vipesa vyako ukawanunulie wazee kijijini.
kc zanzibar