Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KEKI YA KUNILETEA KTK MY BIRTHDAY 7TH JUNE

black forest
mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe


heeeeee,bday yangu inakujaaa sasa wale mashosti nimeshawaambia sitaki sitaki keki za kula na baadae nashushia glass tano za maji.

keki ninayotaka ni kutoka Hyatt,Sea cliff,Serena na iwe black forest.

ukikosa hio wasiliana na mama Monica wa Event planners pia napenda keki zake.

kama sio huko, keep  your money sipo tayari kuumwa maradhi kisa vitu vya bei rahisi na kujiongezea sukari mwilini.


hope mmeelewa waungwana 7th june (Gemini power)

nothing but confidence

unstoppable

j wake lo

lope lope

mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

(mengine nisaidie kumalizia )

70 comments:

Anonymous said...

Mungu akupe umri mrefu ufikishe hiyo June .ila zawadi haichaguliwi ukipewa hata muhogo wa jang`ombe pokea

Anonymous said...

mtu haombi zawadi

Anonymous said...

hee hee zawadi haiombwi wala haichaguliwi bibi wewe..tuliza kipapa.

Anonymous said...

makubwaaa, ile ulomtengenezea jokate ilikua ya bei ghali? ye c ndo alikunywa glass kumi kbs...... zawadi ni zawadi ht km usipoila wape wengine wale huko. bania km kawaida yk bt utaisoma kimya kimyaaaaaaaaa

Anonymous said...

yaani una matatizo we kifurubwido wewe! unapanga kabisa uletewe nini??? muone alivyo mpana ka pazia la leba! mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! hebu tokomea huko!

Anonymous said...

unatimiza miaka mingapi ss, ndo utulie uolewe, hivi hutamani kuwa na familia, masuper star mnatabu sana

Anonymous said...

bwege wew mbona unajidai sana hivi unajionaje wewe tema mate chini eti vikeki vya bei poa huvitaki kwani we unahela gani nyo..o we msonyo anapenda kushindana na watu hela zenyewe huna

Anonymous said...

haaaaa haaaaa mpana kama pazia la leba?? hahaaa haaa so fuunny
Sintah umezeeka

Anonymous said...

kweli prettysintah zawadi hutakiwi kuchagua ni chochote unacholetewa. Love u sana, nakutakia birthday njema ingawa haijafika bado HAPPY BELATED BIRTHDAY PRETTY.

J.

Anonymous said...

hujui hata bei za keki wewe,,,,,,,,,,,,hivi keki za monika ni laki zinashuka hadi elfu hamsini,,,eti hutaki vitu vya bei rahisi,,kwani laki ni pesa wewe huna hata haya au umezoea kutumia bukubuku,,kubwa jinga

Anonymous said...

hivi wewe,,bado hujaacha ushamba,,,,,,,,eti hutaki vya bei rahisi..umetoa mara ngapi tena buree,,teh,,teh

Anonymous said...

una wazimu wewe fala sana

Anonymous said...

Acha ushamba Sintah....

Anonymous said...

ha h a ha we mdau uliosema atulize kipapa umenichekeshaje..hilo jina neno sijaliskia muda.

maimuna said...

sintah usingezaliwa mama yako angeumwa tumbo,yani chango lingemsumbua sana.

Anonymous said...

wewe ni limbukeni mkumbwa,huna lolote tangu lini mtu anachagua zawadi,eti ili uonekane matawi sio? mshamba tu wewe

Anonymous said...

Mwacheni mtoto wa watu ...mbwa nyie yanawahusu nini yeye kuchagua keki...yamewauma ndo maana mmekoment upuuzi...hamna kazi za kufanya kazi upuuzi tu hapa...hebu kueni kiakili...NYAMBAFU ZENU.

Anonymous said...

heee heee,mpana kama pazia la leba,watu wana maneno jamani

Anonymous said...

Na wewe unaemtetea Sinta kumamayo, malayo nyoteni. kama mshamba mshamba kweli, na kwa nini aiambiwe wakati kayaanika mwenyewe. anajifanya bab kubwa wakati anapokaa mabati yanavujisha! hamuna lolote machangu ya mjini nyie. eti JLO wa bongo, JLO unamjua unamsikia? pesa anayolipwa JLO kwa siku tu wee utakufa hujaikamata, nyau wee

Anonymous said...

ur so depressed wewe mpare

Anonymous said...

Unajishaua sintah.we mbona ulimpa joket cake haieleweki! Lol

Anonymous said...

Mh Iam glad iam not ur friend , what afriend !!!!

Anonymous said...

Kikubwa mshukuru Mungu aliyekupa uhai kwa kufikisha hiyo miaka. Cake iwe ya muhogo, viazi au ya kutoka kokote kule its nothing kulinganisha na Mungu aliyokutendea kwenye maisha yako. Uhai ulionao si kwa sababu ya pesa mdogo wangu so hata kama ukiletewa cake ya bei rahisi maadam ni zawadi jifunze kuwa na shukrani acha dharau. Hivyo vijisenti ulivyonavyo ni vya kupita tu acha dharau binti bado uko duniani.

Anonymous said...

matako yako wewe, unachagua zawadi. nenda kachague kwa bwana wako sio cc.. Mimi nitakuletea chupi kama ile uliyovaa cku ile wakati nakikuna kisimi chako......!!!!!!!

Anonymous said...

duh we dada sintah kiboko,mashauzi yamezidi punguza japo kdg

essy mapalala said...

weka comment zetu sintah nn lakini?

Anonymous said...

aah kweli umepatikana bibi...tulizana kwani mtoto azaliwapo huja na baraka na si maneno..zawadi ni uzima hayo makeki c lolote..mshukuru mungu kakupa uzima kwan ndo muhimu kwako mama,....

Anonymous said...

pole bibie umetukanwa shost tulizana na wewe

Anonymous said...

pole bibie umetukanwa shost tulizana na wewe

Anonymous said...

usibanie comment yangu tafadhali kwani nimekwambia ukweli, wewe wa bei rahisi iwaje utake cake ya ghali, nilikuwa nakupenda lakini unanichefua na hayo maringo yako ya kizamani

Anonymous said...

Ndio utafute bwana kabla ya tarehe mana usije tia watu lawama kwa ushankupe wako wa kupenda vitu vizuri.Mashauzi mengi na hali huna kitu zaidi ya maneno.

Anonymous said...

Hahaha.. Eti mpana kama pazia la leba., watu mna maneno!! Happy birthday in advance.

Anonymous said...

Jaman uyu dada naona anafile mirembe,badala ya kufanya ibada kumshukuru Mungu kukupa uhai unawaza zawadi tena unachagua OMG Sinta ww ni binadamu kweli?ha haa haaa umenishngaza sn

Anonymous said...

Happy b,day dear! love you nimeamini kweli mti wenye matunda ndio utupiwao mawee, wakuache!!!!!!!!!!

Anonymous said...

OMG! mshamba bwana such a low girl!!

Anonymous said...

hahahahahhaha unaloooo eti kisukari kisukari unakijua wewe labda kichumvi msheeeeeenzzziiiiii huna lolote kazi kuiga watu maisha yao,chukua huo mkorogo wa uso wako ufanye keki

Anonymous said...

jamani, hekima ni jambo muhimu,mmh Muombe MUNGU akupe hilo kipindi cha b'day yako. ki ukweli umekosa hekima. wengi wape, huwezi kutofautiana kimawazo na watu wote hao waliokujibu matusi na bado ukaona uko sawa.
be blessed ujitambue

Anonymous said...

we sinta matako kweli, we menyewe ulimpa mwenzio jokate keki mbaya kwenye boksi chafu,tena iliotengenezwa kwa mafuta ya kimbo na sio margarine.

Leo hii umeona blackforest kwa mara ya kwanza, ndo unajisahua, we mwendawazimu kweli, haya jokate lipa ile keki ulioletewa toka mburahati kwa keki ya blackforest mana bidada ndo ameijiua leo

Anonymous said...

we sinta matako kweli, we menyewe ulimpa mwenzio jokate keki mbaya kwenye boksi chafu,tena iliotengenezwa kwa mafuta ya kimbo na sio margarine.

Leo hii umeona blackforest kwa mara ya kwanza, ndo unajisahua, we mwendawazimu kweli, haya jokate lipa ile keki ulioletewa toka mburahati kwa keki ya blackforest mana bidada ndo ameijiua leo

Anonymous said...

huwa unanibore lakini huu uchokozi wa leo nimeupenda halafu its true keki unakula then maji debe lol you made my day,kuna keki nzuri sema watu wametengeneza majina kwa kezi ambazo sio nzuri kivile thanks kwa kunijulisha keki nzuri zilipo,i will make it my mission kujua kupika keki nzuriiiii flavor ya ukweeee

Anonymous said...

Ile cake ulompa jocate ule si uchafu tu cake chafu mapambo mabayaaa haijakucost zaidi ya efu tano ila wewe unataka cake ya bei mbaya, katafute pori ukanye uko

Anonymous said...

hahahaha mdau umenechekesha na neno kifurubwido yaan nalisevu.. We sintah nae hebu kakojoe ukalale..jokate mbona cake ulompa ulitengeneza mwenyewe maana ilikua kama mavi..mbayaaaaaaaa..inafanana na ww mwenyewe hayo mambo ya cake za serena waachie kina devota, jackie cliff na kina mange..we kanunue za sh mia mia ule mwenyewe

Anonymous said...

Kundu panaaaaaaaaaaa......msenge wewe! cake umeona kwa wa2 ndo nawe unataka ya hvo....katombwe ununue mwenyewe

Anonymous said...

pole sana kumbe we si mtu wa shukrani ndugu. kwa hiyo kwako keki ndo bonge la ishu nilijua utasema kuna ibada ya kumshukuru Mungu kwa neema aliyokupa ya kuwa hai hadi leo kumbe umekuwa mroho wa keki. kama kwako keki ni kitu adimu sana tuambie tukuletee bure kila siku hadi hamu ikuishe. na hao marafiki zako wana kazi ingekuwa mie ningeshaku delete.

Anonymous said...

.ndo maana ckupendag 7bu ya mashauz yako,co mbaya sana ila hayo mashauz ka kuku aliyetoka kupandwa...

Anonymous said...

TUONE NA WEWE KAM UTAFANYA PARTY KAMA DEVOTA LABDA UUZE UCHI NDIO UNAWEZA PATA HELA ZA KUFANYA PARTY NA UKIISHA UMEBAKI NA MADENI LO

Anonymous said...

Wewe mbona ulimpelekea Jokate mkace wa elf kumi?hahahaha

Anonymous said...

Ningekuona wa maana ungefanya maulid kama alivyofanya salma,huchoki tu mambo ya mjini starehe zina mwisho!

Anonymous said...

Eti haijafika Happy belated birthday uwiiiii hahahahaaaaaaaaaaa we mdau wewe lol lol wakikuskia wenye lugha yao

Anonymous said...

Unajua mimi nilikuwa sijakuelewa vizuri hapo mwanzo ila kwa hiyo post ya cake nimeshajua nikuweke kwenye binadamu wa aina gani kha Sinta something is really wrong with you, unahitaji counselling, halafu unajiita msomi maskini yani mpaka nakuhurumia, seriously speaking una matatizo duh

Anonymous said...

jamani wanawake mnahitaji kuokoka humu ndani..most of you are just haters..u need jesus in your lives because all who call his name are saved..when u have the holyspirit in your hearts there somethings that u just cant say..romans 10:9 that if you shall confess with your mouth the lord jesus,and shall believe in your heart that God has raised him from the dead,you shall be saved..jamani ushauri ni tujihusishe sana na mambo ya Mungu na kumshukuru kwa kila jambo kwa nini yeye tu ndiye mkuu tusijisahau sana na mambo ya duniani..

Anonymous said...

we ni mshamba sana wewe kione kifupi kama nyundo

Anonymous said...

we ni mshamba sana wewe kione kifupi kama nyundo

Anonymous said...

mshamba mkubwa wewe kifupi huna shepu wala mvuto

Anonymous said...

mshamba mkubwa wewe kifupi huna shepu wala mvuto

Anonymous said...

dont be a dumb ass hiyo sukari utaumwa tuu even if the cake comes from so call expensive place. kwani hiyo cake aitengenezwi kwa sukari?? stop making an ass of yourself Miss unstoppable.

Anonymous said...

Hahahahahaaaaaaa aaaa, yaani weee acha tu.

Sintah mdogo wangu nipe address yako niwe nakupostia blackforest cake kila mwezi uwe unaipata tarehe 7. Mwezi mwingine niwe nakutumia ice cream cake siku nyingine madeira cake, siku nyingine fruit cake. Ntakuwa nakununulia kutoka duka la ASDA doesnt cost much kisha nakutumia kwa ndege lol!!

I warned you ile juzi kuwa angalia kundi hilo uliloingia sio size yako utaolewa na wanawake wenzio lol, unaona sasa!!

Hahahahaaaa lol lord of mercy!! Mbavu zangu mie lol!!

Anonymous said...

hizi comment zinaniua mbavu KIFURUBWIDU ndo nini hahahaha

Anonymous said...

Panya buku hana lolote mshamba eti black forest kwa mara ya kwanza aliona juzi. si kusa lake bado mshamba.

Anonymous said...

phewwwwwwwwwww.........mshenzi wewe kwani lazima uletewekeki. matako weeeeeeeeeee

Anonymous said...

Maskini weeeh nimekatajia bei ya black forest aibuuuuu kaona hata haya kupost hapa manake nadhani alijua ni ghali kumbe hata housegal wake aweza mnunulia uwiiii msg sent ushamba mzigo,si bure kuna fuse iliungua kichwani mwako toka zama zileeeee za kiroboto!hahah kujitia mjanja blackforest umeona juzi kwa shoga ako heheyaaaaaaaa umeisoma muruaaaaa hata usipopublish nimekutupia usoni mwako kwani muhusika ni wewe

essy mapalala said...

Sintah weka comment zangu please! Nilikushauri mambomengine sio lazima uyaweke humu ndani jamani kila mmoja ana fikira zake na matusi juu! Angalia blog ya Lady Jdee ilivo na respect! Pole mdada Mwanza utakuja lini??

Anonymous said...

lukn gud,hap bday then

Anonymous said...

kazi kweli kweli eti panzia la leba munafikiri fasta kama messi

Anonymous said...

hongera ya kuzaliwa mama ila mh humu ndani haya maneno mnayapata wapi ahahaa

Anonymous said...

cjui huwa unafikiriaga nini?sijui kwa kweli,ajabu sana ndugu.....tatizo nini hasa?

Anonymous said...

sinta mamie acha wakuseme shosti bt Rose is stil a ROse they cant be you hata siku moja!maraya wa mjini watoka pabaya wivu umewajaa kukusema..

Anonymous said...

jamani inatosha

Anonymous said...

w3etgetgetye4tr

Anonymous said...

msaaada tutani jamani....maana ya kifurumbidu nipatieni tafadhali!!!