Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

DEVOTA DIVA'S BIRTHDAY

Devota  Diva wa ukweeh
baadhi ya vimiminika
counter ilikuwa chini ya Herry star
Sisters, Roberta n Diva
cousins
Mishy,Devota n James
mama K
J wake lo,Jacky  &Vivy
ladies
Mishy,bibi harusi mtarajiwa n Sarah
keki ilisindikizwa hivii

black forest na moet
Vivy n Diva
heeeeee
stunning
Bea n Sintah
heyyyy Chinekeeeeeee  huoooBirthday hii sijawahi ona maana hakuna soda wala juice,wale wenzangu na mimi tusio kunywa,  tulienda ktk non alcohol champagne  na maji tu.

ilikuwa ya classy peke yake maana ilifanyika ufukweni, so gate crushers ilikuwa tabu kufika.

vinywaji  ilikuwa tinywe mpaka tinyeee.


Devota,, PS blog inakutakia maisha marefu Mungu akulinde.


NB

USIJISUMBUE NA COMMENTS ZA MATUSI ,MAANA SITOWEKA,COMMENT KISTAARABU TU.

32 comments:

shongololo said...

Pesa sabuni ya roho. Ukiwa na pesa unafanya chochote kinachokufurahisha na popote pale upendapo.
Unaona jinsi ulivyoongeza maconfidence? Hiyo picha uliyopiga bila kuweka miguu crosi. Kumbe wala huna miguu mibaya ila ulikuwa tu hujiamini.Hongera binti. Umenivutia kwa kufuata ushauri.

emona said...

pendeza nyie,sintah mimi penda ww

Anonymous said...

Mkwara huo mbona cha mtoto,Kuuliza tu Diva Mr yu wapi?

elisa said...

Nimependa wote mlivyovaa..imeendana na mazingira..happy birthday mama la madiva wote tanzania !

Anonymous said...

gate crusher hahaha

Anonymous said...

birrhday gal angeavaa chupi tu angetoklezea

Anonymous said...

PS kama utatoa comments za matusi am sure 100% blog itaboa..kuna vitu navipenda hasa matusi kwenye hiii blog..take tht!

Anonymous said...

mnapenda mwenzenu atukanwe tu kwani munadhani haya muumizi hayo matusi. hana moyo wa chuma voo huyo sinta,,,

Anonymous said...

Ujapenzeza Sintah jaribu kuvaa mavani ya heshima pumbavu wewewe msg sent hata usipo - publish

Anonymous said...

kwani usipoweka matusi, lakini kimyakimya si umeyasoma! maanina zako na wenzio wote mliovaa kimalaya! mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Anonymous said...

Mr wake yuko hapo hapo kwenye birthday, kwani lazima awe mwanaume huyo Mr?

Anonymous said...

Sintah humu mie nafuataga mijitusi jamani usibane please

Anonymous said...

usiwe unaweka matusi mwaya maana yamezidi.

Anonymous said...

kuchamba kama kawa acha mkwara mbuzi huo. birthday nzuri but huyo dada aliyezaliwa mbona picha zote anafunua mapaja kunani? c angevaa chup kama nyny mana naona shida yake ilikua mapaja yaonekane.

Anonymous said...

utujibu ndo diva wa cool james amebadlika sura

Anonymous said...

U killed it last nite ma sis,we had a BLAST.stay blessed!

Anonymous said...

That place is beautiful, its called Velisa...nice stuff keep it up gals but watchout.

Anonymous said...

Jamani bday oyeee...sinta,bday gay na jack wa victor si mgevaa chupiiiii..bi harusi mtarajiwa mzuriiii,leo devotha ila katokea mabayaaa au anamimba?

Anonymous said...

kusema kweli huyu dada mwenye birthday anaboa mpoka basi ndio nini kuonyesha mapaja na kuyashikashika kama aamini kama ni yake sibora kabisa asingevaa nguo akaae uchi mshamba sana sijui wawapi ajaona mapaja nini anaona mapaja yake maaali kweli na si lolote si chochote dada yasinta umependeza sana big up sister

Anonymous said...

DEVOTA......! HILO PAJA LANITOA UDENDA MIE, PENDA PAJA ZURI ZURI MIE. HONGERA KWA KUKUA NA AKILI ZA KUTAFUTA PESA ZIKUE HIVYO HIVYO. USIWE KAMA WANAWAKE WASHAMBA AMBAO HUPENDA KUTAFUTA PESA KWA NJIA YA SHORT CUT YAAN KUVUA CHUPI, NOT GUD AT ALL. MMEPENDEZA ,NAWAPENDA SANA

Anonymous said...

we nae diva wa cool james unamuulizia leo?ndio umeingia mjini nini?karibu..ila jibu siyo huyo

Anonymous said...

naona shogalao henry linawakilishaaaa....mmetisha...!

Anonymous said...

Mtu mzima hovyo nawe ukatinga kichupi mweh hata usipobuplish tunaekuchana ni wewe so tayari unazisoma kwikwikwi

Anonymous said...

Kibiritingoma una mambo,wacha tuone nyoo utacomment mwenyewe humu

Anonymous said...

saafi saana sinta kwa kuondoa matusi,sasa hivi ni kistaarabu tu watjibeba wapenda matusi!!!

Anonymous said...

Robetha Feruzi umekua duh nakumbuka ulivyokuwa mwembamba enzi za Mwenge Primary School duh kweli life goes on. Ulikuwa charming, portable, alafu akili kumkichwa kibao goo Robetha goo Sisi wenzio wa mwenge Primary enzi za SAID KAZEMBE Kutupigisha magot class tukipiga kelele TEH TEH TEH TEH.

Anonymous said...

dandu angekuwa hai angezimia mwanamke upaja anauanika anika anika kama co mzalendo

Anonymous said...

Mnafiki wewe wa kuwagombanisha wema na dimond ukampeleka kwa joketi. maviyako.

Anonymous said...

We sintah hebu jieleimishe. There is NO non alcohol champagne. sparkling wine hapo sawa

Anonymous said...

kuma mayo msenge, yan ckupendi kuma wewe natamani hata ufe

Anonymous said...

Owkey So u decided not to keep my comment....I hate youuuuuu

Anonymous said...

Wenzio wote wamependeza afu ngu walizovaa seems classy ila wewe na kicrue chako ndo hamjapendeza na short na tshrt mmeokota manzese mitumbani go learn how to dress sinta nakereka hapo tu d rest z good