Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

DAAAAH STEVE NYERERE HII NI COMEDY AU??

hotuba imemkolea mpaka anasinzia
macho yamekutoka kama umebanwa na mlango
BBM na hotuba wapi na wapi?

Huyu kijana akisikia tuu sauti ya Baba wa taifa hata kula anaacha ili amsikie anaongea nini,hee alinichosha pale alipokaa karibu na Tv na kuleta mapozi haya daah sasa kwangu ilikuwa ni kituko maana mpaka na kusinzia

9 comments:

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Akuweke penye unafuu,nawe utuwekee za vacation,kuwadi hoyeeeee

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Mnafanana,mnapendeza akustiri hata huyu,mgande!

Anonymous said...

Shosti wako mwenyewe

Anonymous said...

Hebu tuwekee picha za nyumba ya shogako ya 60m anayojengewa na Diamond sie tuone. Kama ni kweli utasikia sasa hivi Bi Sandra keshamtoa baru! Chezea yule mama anavyochunga pesa za mwanae!!

Anonymous said...

jamani mtu kumjengea nyumba mpenzi wake wala si dhambi, nampenda Joket,mtoto ame tulia hana makuu!!

Anonymous said...

UNAEMPENDA JOKATE HUMJUI KAHABA BUBU YULE SHE IS NEVER BE REALLY ANAPENDA MAISHA YA KUFAKE AONEKANE MTAKATIFU KUMBE BALAA WALA HUJUI UKWELI WAKE COZ NI MSIRI MNO DEEP DOWN USHAISOMA KIMYA KIMYA