Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WASANII TUNAOMBA MTUONYESHE WAPENZI WENU HADHARANI

Chameleone n Daniela
Bobi Wine n Barbrah
Zuena n Bebe cool


Tanzania sijui kwanini wasanii wanawaficha wao wapenzi heee,,kwa nchi kama Uganda kabla hata ya ndoa ule uchumba tuu watu wapo free lakini hapa ????naomba mnipe poooh,duu full kufichana ndo maana wote mnajikuta mnaingia one place lolest,si wanaume si wanawake na hata kama wakiwa kwenye ndoa utakuta watu hawatoki pamoja duuu,kuweni huru na mapenzi yenu wasanii wa bongo .

40 comments:

Anonymous said...

Unstoppable una mambo weye, haya huyo wa kwako mbona hujatuwekea wakaiga mfano wako.

Anonymous said...

WAKIONESHA NI NOMA KUMBUKA wEMA ALIONASHA MATOKEO huyo kipunkt kamchukua bora wajifiche akichukuliwa achukuliwe

Anonymous said...

HAHAHAHAAA sintah nimechoka kucheka sijui hata nianzie wp hii ya leo..ila kiufupi hawaonyeshi wapenzi waohadharani sababu wote ni wachakachuaji..wana mpenzi zaidi ya mmoja..utamuweka nani umuache nani..ukimwi utatufyeka sisi..

Anonymous said...

Ukiona wanafichana hawataki watu wajue kuna jambo na sio mapenzi ya kweli. Mapenzi hayafichiki.

Anonymous said...

Kweli nami ningependa uanzishe wewe mrembo, watu waige mfano wako, ningefuraije,

Anonymous said...

KWANI HAWAJULIKAN? SI DIAMOND NA JOKETI

Anonymous said...

we mbona unaona haya kuwa huru na sebbo wako?

Anonymous said...

we mbona unaona haya kuwa huru na sebbo wako?

Anonymous said...

we mbona unaona haya kuwa huru na sebbo wako?

Anonymous said...

umeonaee anza na wewe.

Anonymous said...

mbona ww toka umefungua blog ujamuweka wako hapa?au umbea tuuuuuuuuuuuu nyooooooooooooooo.

Anonymous said...

unstoppable kweli kabisa tuwekee shemeji yetu tumjue..au unaogopa ukiwaonyesha mafisi watakuibia zigo lako?hiyo nayo inachangia..

Anonymous said...

Anza wewe uwe mfano

Diamond said...

MIMI DIAMOND NIPO NA JOKATE

Anonymous said...

tuonyeshe na wa kwako kwanza alikukodishia ghorofa kama utaki kupigwa na wenye mali zao. muone kwanza umbo baya kazi kuiba vya wenzenu.

Anonymous said...

tuwekee wa kwako kwanza

Anonymous said...

na hata kama akimuweka si utakuta ni mume wa mtu..mfyuuuuuuu

Anonymous said...

mbona best yako joketi alimficha diamond???? mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Anonymous said...

Tuwekee wa kwako kwanza tumuone kama unae, kima wa jozani wee!

Anonymous said...

wa kwako yupo wapi?watu walifanikiwa kumjua juma nature pekee yake,haya anika tena mamaaa,hata akiwa mume wa mtu

Anonymous said...

Weee si muislam umesahau usitangaze uchumba tangazeni ndoa hakuna dini inayo ruhusu kuwa nampenzi kabla ya ndoa

Anonymous said...

weka wako kwnz tumuibe ndo tuweke wetu mumuibe,,,,,msonyoooo

Anonymous said...

wewe mwenyewe mbona ujamuweka wako wazi tumjue?au ndo mume wa mtu au ni Bfriend wa rafiki yako?maana nyie masuper star mbuzi mna mambo.

Anonymous said...

MNAMWAMBIA AMUWEKE WAKE, YUPI SASA WAKATI ANA MABWANA LUKUKI, TENA WOTE WAUME ZA WATU! WE SINTA PREACH WHAT U PRACTICE, MATAKO YAKO! HEBU TUTOKEE HAPA!

Anonymous said...

umbea umekujaa we wakwako umemuonesha, au kwa kuwa wewe nu ng'aembe, hovyooooooo

Anonymous said...

umbea umekujaa we wakwako umemuonesha, au kwa kuwa wewe nu ng'aembe, hovyooooooo

Anonymous said...

we wakwako umumuonesha, umbea tu

Anonymous said...

2323

Anonymous said...

Ni kweli kabisa Sinta hata wewe ulionyesha mfano na JUMA NATURE naomba wafwate mfano wako.

Anonymous said...

kweli mwenzangu. mweke wako kwanza tumuone. au hutaki kuimbiwa tena "sitaki demu"

Dayamondi said...

mbona ww humuweki Juma nature wako?

Anonymous said...

Anza kumuweka wako kwanza sio kutaka jua wa wenzako chakunabe we mvaa chupi upande kinyagate mkubwa.

Anonymous said...

amuweke ana jeuri, kwanza anao kibao na wote waume za watu chezea, muanike kwanza yule mzungu aliekuhonga ghorofa uweke ubavu maana aliona unaadhirika mjini, ila omba mkewe asijue mana yule mama mtata sana.....!

Anonymous said...

pumbavu we sintah we mbona huweki wako ?unaogopa nn?una wanaume lukuki hapo sasa unawaza kumuweka nani?weka uone kama hutapauka vihela vya mkorogo na kubadilishia vinguo vya tandale utapata wapui?

Anonymous said...

Mume wa mtu anaonyeshwa kwi kwi kwi anza kuonyesha wako kidampa

Anonymous said...

Si uanze wewe mdomo mrefuuuuu

Anonymous said...

Wema c alijitangaza na mkamkomoa kumchukulia huyo Diamond!!!sasa?mnataka na wengine walie kama alivyolia yeye?lol!

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

show me the way pls