Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

UMETUKUNAJEEEEEEEEEEEEEEE

Diamond
Platinumz,IK & friend
Diamond na IK


watu macho kodooo,heeeeee chezeya diamond wee,congratulations,Africa nzima wamejua Tz tunakiduku.

watu weeeee,platinumz 

nlichekaje pale BBA host Ik aliposema Diamond ni R.kelly wa Tanzania,kila mtu alikuwa happy na performance yako. 

27 comments:

Anonymous said...

Nasib gubegube.

Anonymous said...

Kwanini asiwe Nasibu ni Nasibu mpaka mjiite majina ya watu wengine? Mbona hamjiamini jamani? Akibaki Nasibu kuna ubaya gani? Hivi kuna siku R. Kelly atajiita Nasibu wa Tanzania?
Khaaaaaaaaa!! Mnashangaza!

Anonymous said...

tulio nje tumepitwaa mwee..hogo kafanya kweli?!!safi..i hope atakua kakamata toto moja lakisauz akamshindilia kisawasawa!jokate ushindwe na ulegee katika jina la yethu..

giselle said...

I lav the guy,he knows what he is duing..all the best D,all the wayyyyy..pamoja.

Anonymous said...

huyo shemeji yako kithungu kilipanda fresh kabisaa?hee lazma alimpanga ik asimkungute maswali kihivyo...chezeeeaaaa

Anonymous said...

makofi kwa shemeji! wa wa wa wa wa...!

Anonymous said...

Nadhani akithubutu kukutaka wallah huchomoi mtu mzima wewe huyo diamond aweza kuwa mwanao

Anonymous said...

acha kukurupuka usidhani wote hatukuangalia alisema kuwa diamond ndiyo michael jackson wa tz siyo R.kelly

Anonymous said...

hasheem kaja, kavuta goma lake jokate, na demu alivyoona hummer tu, ni kama kumbikumbi kwenye taa! haya kazi kwenu, siye watazamaji!

Anonymous said...

kweli kuna kimbunga kimepita kati ya diamond na kidoti..safi sana ,nyege zote kwishney kikovu eehh?mbona hujamvalisha diamond safari hii?nyoooooo yamekushinda eeeh?watu aunty kasababisha aunt kasababisha..

Anonymous said...

congrats.........platizzz long life.natamani unitungie kimwimbo cha peke yng.HAKUNAGA TATIZO

Anonymous said...

congrats almas performance zote unazijua ndo maana wanawake wanajigonga kwako pamoja na domo lako la pindo la blanketi.....!!

Anonymous said...

I really feel this boy! The boy can really dance, and sing too! By the way, you and kidoti look good together. I am a fan of the couple!!!!!

Anonymous said...

pindo la blanketi????????? watu mnamaneno.

Hongera Nasibu, kweli we ni michael jackson wa africa- bigup

Anonymous said...

Much respect for Diamond, what a great show...am so proud of you diamond and also, am so proud of ur designer...gud look.
One love bro

Anonymous said...

wewe hapo juu, IK alisifia koti la mampi kama la Michael Jackson, ni kweli Diamond alimfananisha na R Kelly.

Anonymous said...

Diamond em enxious to have that hogos of urs uwiiiiii by hooks by kooks...LOLS

Anonymous said...

kumbe hata swali uliulizwa kabla uka practise kiiinglizzz nilishangaa ingawa nilishindwa kujua ulisema nini kwali la mwisho lol

Anonymous said...

sinta naomba uweke video ya alivopiga show plz.. hongera sna naseeb

Anonymous said...

Nataka kujua aliongea lugha gani? Kwa maana Kanumba alisimangwa sana na Kiswahili. Hpe Kidoti anampa english course mzee! Ooops, sijui wa zamani? Maana tunasikia Hashim kavuta goma lake. Siye yetu macho na masikio!

Anonymous said...

Kwa kweri Mpeni hongera zake ALMASI! Show ilikuwa super Kabisa ! Mambo ya kidoti na Wema hai huu hapa!

Anonymous said...

Kwa kweri Mpeni hongera zake ALMASI! Show ilikuwa super Kabisa ! Mambo ya kidoti na Wema hai huu hapa!

Anonymous said...

hongera sana diamond kwa bonge la shoo kali mpka watu wakavuka mipaka kuja kwa stage kukupa support, nakidhungu ulichoongea hata sikuamini. maana nilipoona maswali tu nikajua hapo sasa TZ tunaumbuka looo ukajibu freeshhhh kabisa, wasannii wengine jifunzeni> we unaesema alifanyia mazoezi ya maswali mi sioni kama ni tatizo iwapo tu hakutuangusha

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Diamond is HOT,personally i like his work.....
pretty