Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

I DONT SELL FOR LESS

j wake lo
i don care either  you love me or not
my mum gave birth to a winner
UNSTOPPABLE
MA holder
                                        mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe


I was told not to worry about haters,they are just confused admirers who cannot understand why many people love me.

 

When someone criticize me,it also means  she is paying attention,

 

 may not be where i need to be, but i thank God,, I'm  not where i used to be.

thank you so much my father in heaven, without you am nothing .

 48 comments:

Anonymous said...

Umependeza Sintah.Nijulishe nini unatumia naona unapungua vizuri sana,tupe mambo nasi tufanye tupunguze miili na matumbo

Anonymous said...

n u r really beautiful

shongololo said...

Leo nakusifia tu. Picha zako tatu za mwanzo umependeza mtoto mzuri. Siyo kila mtu anayekwambia ukweli anakuchukia ila na wewe uangalie maneno yako pia .Nilishasema we ni mzuri ila siyo kila kitu nitakusia ukizomea mamba wakati unakaa karibu na mto lazima nikwambie.
Weka usiweke ujumbe umefika.

Anonymous said...

kwa kweli pic ya kwanza umependeza sn natamani usimame nikuone vzr,wewe ndo yule sinta ulikua unafanya maigizo kitambo?kma ndo wewe nakumbuka nilikua nikikupenda kwenye michezo yako na norah ngoja nikutafute fb

Anonymous said...

My lady umependeza saaana, full mvuto. Haters achana nao bana wala usiwaandikie chochote we songa mbele tu. Mi naomba namba ya salon ya weaving la chini au ni wig. Siyo siri umependeza. J wa L

Anonymous said...

muende gym..mnapenda vya kupewa tuu..work ya body woman..utapungua!kaaa..sintah me i love u mammy no matter what mamy!

Anonymous said...

bwaha ha ha ha ha ha ha ha ha aha UHAROOO

Anonymous said...

sinta unapendeza ila bado kaushamba kakupiga picha hujakaacha kakupishanisha miguu, sijui utajiamini lini, jikubali usipojikubali ww nani atakukubali. kip it up

Anonymous said...

HIVYO HIVYO, MWANAWANE!!!

Anonymous said...

UMEPENDEZA LAKINI UKWELI LAZIMA TUKWAMBIE HIYO PICHA YA KWANZA NA YA PILI HIYO HANDBAG ULIYOIBEBA HAVIENDANI KABISA UMECHEMSHA HAPO PENYE UKWELI LAZIMA UKUBALI AU SIYO MUMMY

Anonymous said...

kweli pretty sintah waambie ALAF KM M2 HUMPENDI SINTA HUMU KWENYE BLOG YAKE UNAINGIA KUFANYA NN?

Anonymous said...

Yaani nguo za bei rahisi hizi mweh kuvaa unapata 30/100

Anonymous said...

Kuvaa hujui maskini,jikombage kwa huyo mrs cliff uwe unaenda kuazima japo utokelezee

Anonymous said...

Anajitia mjanja kuvaa ni Sifuri heheYaaaaa chomoa na hii ipane kwenye ninido hiyo

Anonymous said...

Hahahah eti umependeza watu mnasanifu mbaya khaaaaa!mwili ni Yes ila kimtoko badoooo na uzee ndio tayari sijui utajua vaa lini

Anonymous said...

u look good tueleze nasisi tupungue jaman,

Anonymous said...

Sintah, umependeza sana then unaivutia japo ni mwanamke mwenzangu kwa ukweli ur beautiful na unajitahidi sana kupigana na maisha ila kupunguza mambo ya uswazi mama mamba ya kuandika misamiati na mafumbo hayo ushavuka huko ssasa hivi ni role model wa watu kama sisi tunaingia kwenye blog yako kuangalia wat is going on na umewashika umeanza juzi kublog ila umeshapata mashabiki wengi sana mambo ya uswazi waachie kina Fulaniii !!! namezea wasije sema umenituma bureeeee!!!! hawana ishu kwanza outing zenyewe hawana wao kwenye taarabu tu acha tabia zao mamma kanyaga twende usiandike vijembe kama ujiamini bwana mimi nakuaminia nishakutana na wewe mara kibao na upo piece tu na picha tulipiga na ur really good girl nashangaa wanaosema unaringa aha aha hahaa !!!! wanakuonea wivu mara nyingi mwenye mafanikio ndiye anayesakamwa usijali usibishana nao mamam umeshawapita sanaaa!!!

Anonymous said...

umependeza saana sinta, mi ni fans wako namba moja!!

Anonymous said...

eti winner huyooo wakati unamkamua j nature hela zake ulikuwa nani kwendraaaaaa

Anonymous said...

muone ulivyo kuwa na nature je hahahah me ur big hater

Anonymous said...

Hovyooooooooooooooooo

Anonymous said...

Kusema kweli mwanamke kuvaa hujui.huo ndio ukweli,kawaida sana.be nice to people wakuoneshe wao wanafanyaje!!ibanie tu hamna shida lakn ujumbe umekufikia

Anonymous said...

me mwenyew ni msomi na wala sikuchukii lakini SIUKUBALI usomi uchwara wako u dnt luk lyk an educated one,mawazo yako bado mgando,na u luk cheap,nguo zako MBAYAAA,inshort hujui kuvaa

Anonymous said...

am ur fans mumy love u and umetokelezea bi dada waache wenye husda zao wameishiwa pozi hapa mjini hao.

Anonymous said...

mi pia hater wako mkubwa. unakera mwanamama wewe. jizee kwanza utulie ulee uzee wako. utupishe sie...

Anonymous said...

tupa kuleeeeeeeeeeeee! uchi mpana ka sikio la tembo! hebu nipishe mie, MA holder wa kudesa! mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Anonymous said...

sinta tupe siri ya kupungua ndugu, maana umepungua vizuri

Anonymous said...

Kapendeza Mkundu hebu tupisheni na wigi lake ka zekomedi msonyooooooooooooooooo Mrs Nature utajijuje.

Anonymous said...

SINTA YOU 1ST THREE PICS YOU LOOK GOOD, ILA YA PILI KUTOKA MWISHO, LIPUA LAKO LIMETOKA VIBAYA .YANI MI LIPUA LAKO LINANIUZI HAPO TU NA HAIR STYLE YA PICHA ZA MWISHO NI MBAYA KWAKO. PICHA YA TATU-SOOOO SWEEET

Anonymous said...

WOW....! YOU LOOK SO PRETTY SINTAH., SASA NDO NAMUONA J WAKE LO! WA UKWELI, WA KIPINDI KILE WAKATI UNAIGIZA. FULL MVUTO MTOTO UKO SEXY KINOMA. KEEP IT UP MUMMY .....
NATAFUTA NA.. YAKO, PLEASE HELP ME

Anonymous said...

mmmhh!! jamani mbona kapendeza au mnamwonea wivu acheni hizo kama mmetumwa si mseme loh!!!

Anonymous said...

Mambo sinta...umependeza sana izo nguo zinauzwa ama?pili naomba utupe na sie diet yako basi umefanyaje mpaka umepungua?mbona unatubania?hutujibu kua umefanyaje diet yako

Anonymous said...

J Lo mtindi bin andunje...tafuta jina jingine hili hataaa linakudhalilisha

Anonymous said...

Jamani si ndio alivyo hata kama anapua kama kiti cha bike ndo yake so mnataka aikate nusu ndo apige picha???

Anonymous said...

Umepungua vizuri

Anonymous said...

ha ha ha ha ha semeni nyie

Anonymous said...

naomba tuwe na ustaarabu.....hii mitandao ya kijamii haipaswi kutumika vibaya jamni,tuwe na heshima kwani tunajijenga na sio kuoonyeshana umahiri wa kutukana na kutumia lugha ambazo hazipendezi.........nawapenda wote wanaojituma na kuamini kile wanachofanya na pia wanasikiliza wanapoambiwa!
Hongereni wote mnaojituma na kutosikiliza maneno ya watu.

Anonymous said...

Kweli hata mkorogo amepunguza...asante Juma Nature umerudi

Anonymous said...

wabongo hawapendi ukweli. nimesema ukweli umebana comment,na wala sikutukana, ila ujumbe umefika I hope !!
week end njema

Anonymous said...

Tupe siri ya kupungua

Anonymous said...

i lov u sintah toka enzi za sanaa u was so cute na ndo mana watu wana wivu coz umewazid ile mbaya u have something very unique baby sio wale kina fani mpaka wazunguke dunia mzima kutafta mikorogo ya bei ghali..n showin off.

kay said...

lipua lake ndio aliojaaliwa na mungu unachokasirika ni nini?mkasirikie mungu sio yeye au unaweza mrekebisha?

Anonymous said...

Hivi nyie mnaomkosoa huyo sintah nyie ni binadamu perfect kweli! Acheni uswahili pia mmezidi kumsimanga dada wa watu haaaah! Mmezidi jamani sio siri.. Nguo chip chip hiyo kabati yako ya nguo wewe huvai mtumba kweli thubutu yake hata vya bei rahisi pia vinapendeza sintah umependeza kip it up hayo ndio mambo ya binadamu achana nao

Anonymous said...

wote wabayaaa

Anonymous said...

kweli nimeamini adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe loh!!!!sintah mama endelea bwana tunakupenda

Anonymous said...

kweli nimeamini adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe loh!!!!sintah mama endelea bwana tunakupenda

Anonymous said...

kweli nimeamini adui wamwanamke ni mwanamke mwenyewe maana naamini wengi wanaotukana ni wanawake loh!!!!sintah mama endelea bwana tunakupenda

Anonymous said...

a winner!!!!!!!!!! aliyetembea na mvuta bangiiiiiii JN