Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

DONT DRINK AND DRIVE WAPENZI NI HATARI SANA

RIP Patrick

11 comments:

Anonymous said...

is not tru

Anonymous said...

is not tru kumbe nini na wewe..hukawii kudai karogwa..mfyuuuuuu

Anonymous said...

R.I.P broda, so sad gone too soon Patrick!

Anonymous said...

mh! May God Rest u in Peace Amin.

sunday g said...

dah si rahisi kuamini' roho yaniuma vibaya sana. polen wekundu wa msimbazi wenzangu. tumuombeeni jamani ALAZWE MAHALA PEMA PEPONI AMINA

Anonymous said...

kila nafsi itaonja mauti! we mbele, mie, sinta na kikovu nyuma twaja! amen!

Anonymous said...

RIP PATRICK MUTESA MAFISANGO

Anonymous said...

Why do bars have parking lots?

Anonymous said...

j wake lo unanibore hii system ya weekend unauchuna?kwani weekend unaona ya maana sana ukose half an hour ya kupdate hata comments tu?mxxxwww unanibore

Anonymous said...

nani kakwambia alikunywa acha umbea

Anonymous said...

nani kakwambia alikunywa acha umbea sinta