Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

COMMENTS ZISIWE ZA KUNYIMANA RAHA MJINI

mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
j wake lo
unstoppable


kusema ukweli jamani punguzeni makali katika comments maana zimekuwa zinaboa watu,kama mna ma beef yenu malizaneni uswazi, hiki si kijiwe cha kuumbuana bali tunaelimishana kama mtu akichemka ila sasa imekuwa too much.

nawaomba wapenzi to slow down kidogo

halafu kuna wale watu wanajifanya wanawajua watu sana eti ooh hukuwa hivyo sasa ulitaka, awe vile vile ndo maana miaka inasogea fashion za zamani  na za sasa tofauti.

ooh Sintah unapanda economy wewe hata kibaha hupajui afadhali mimi napanda Economy ila nabadilisha ndege,msijifanye wajuaji sana,maisha sio hivyo,mtu anabisha mpaka kwenye ukweli jamani msiwe na roho za kwanini,kubalini matokeo hata vidole havilingani

from me

jlo Tz

unbeatable

unstoppable

j wake lo

mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

sintah

 

 

WEEKEND NJEMA

CIAO 

on sunday itakuwa mothers day tuma pic yako na ya mtoto wako niziweke ktk PS Blog

 

37 comments:

Anonymous said...

NA WE UACHE KUWEKA POST ZA KIMBEA KAMA ILE YA ELIZA WA BIG BROTHER HATUKUPENDA HATA KIDOGO INAHUUU. NA UNAKOSAJE RAHA MJINI SI UNACONFIDENCE WEWE

Anonymous said...

Hello My Baby
I hope I am the first person to comment on your beautiful pictures. You are looking awesome, and has no competitor in my heart.

The first picture is a killer baby, keep yourself goodlooking like that. I hope I will get my channce under the sun to make you my special wife

I love the pictures.

Love
JT (American Husband to be)

Anonymous said...

hahahahahahaha ulimcheka mwenzio hajui KITHUNGU!ila ww leo hapo umetuandikia lugha ya kwako bdo umechemka,mna iyo KOMA ulipoiweka wala c pahala pake hacha kucheka wenzio MBWA ww.

Anonymous said...

Tunataka picha yako na mtoto wako.

Anonymous said...

Mujini kuna mambo!

Anonymous said...

pendeza sana

Anonymous said...

Nipe nikupe.com hahahah mie siku hizi najifunzia matusi humu uwiiiiii

Anonymous said...

SINTA MBONA UMETOA PICHA YA FIDE?? TUNAMTAKA TURUDISHIE BURUDANI YETU.

Anonymous said...

Comment ya economy ilikuuma?!! Lol
It was from me. Na kama ngekua sijui business class nsingeandika hivo! It means I know u too well! I'm very close to you! That's y I'm in awe with the stupid bragging shit u put up in here

Anonymous said...

mmhh haunogi hata kidogo.... next pls

Anonymous said...

Word baby....I lv ma mum snaaa 2 ....

Anonymous said...

NYOOOO HUNA LA KUSEMAA.KWANZA SURA YENYEWE MBAYAAAAAA.

Anonymous said...

ovyoo

Anonymous said...

u luk mwaa sisy, pblm ya wabongo hatuna tabia ya kusifia kitu, me nakufagilia tuu n i believe kama ulikuwa na mambo mabaya sasa ushachange like watu wengine ambao walikuwa mateja na sasa ni watu wazur na hata kama una mabaya lakini mazuri pia unayo, keep it up. wanaokuchukia lazma watakuwa na kasoro zao koz hakuna bnaadamu mkamilifu chini ya jua. kama uzuri unao japo si ule wa kutisha but u luk gud wanaokuponda wengi ni mapoyoyo. mungu hakumyimi yote kama huna miguu basi sura unayo na kama huna shepu boops zimetulia.

Anonymous said...

Yani ungekewa mzuri kama Wema wewe mmm sijui ingekuaje,,, ndo maana una mwonea wivu ukweli ndo huwo utaishia umbea tu ndo maana wa kina dida wanakujua..... Mshamba wa bongo wewe.... Jlo Jamani ata haibu auna kaangalie super star wa Nigeria walivyo wewe una kitu gani una kaa bongo kutegemea mabwana tu nyooooooooooo.... Na umbea tu basi cha maana una ulikimbia mpaka mji wewe ...

Anonymous said...

sintah wala usijali,wanaofanya hivyo,ni wivu wao tu.na wana mapungufu yao,na stress zao za maisha.wanaona njia ya kupunguza stree ni kukukashifu wewe.wewe endelea na maisha yako

Anonymous said...

Kwakweli bora umelisema hilo love maana watu walikuwa wamezidi sana kuchambana,na kujiona wao ndio wao, wewe kupanda first class,bussines class,aiwahusu hata kidogo,maana kila mtu na maisha yake,wakuacheeee upumue japo kidogo mtoto wawatu,aliyepewa kapewa jamani pigeni Goti kwa Allah naye awape kama alivyompa sintah,na sio kumkashifu na kumtolea maneno makali kila siku,No Body is perfect in dis world...........!
Dogo lake Jlo...!

Anonymous said...

huna jipya muuza sukari maarufu, mfupi kama coca cola ndogo.

Anonymous said...

nyoo

Anonymous said...

Hiyo comment umebania ili nini?/ Isome kimyakimya na ikuingie moyoni labda itakufundisha.

Anonymous said...

Kuma mamayo Sintah!

Anonymous said...

i think all of those who talk nonsense are girls cause no man will waste his time to put stupid comments on a lady as pretty as she is, i think its time we accept who we real are and may i remind you that NOTHING YOU SAY CAN CHANGE THE FACT THAT SHE IS BETTER THAT YOU AND IF YOUR TALKING BADLY HER SIMPLY MEANS THAT SHE HAVE SOMETHING THAT YOU DONT, and also the fact remain the same my dear haters and im truly very sorry to be the one to tell you this but UR FAR FROM BEING WHERE SHE IS AND YOU CANT BE SINTAH AND SHE CAN NEVER BE AS STUPID AS YOU ALL ARE, kama vipi kila mtu afuate maisha yake na kubalini kuwa she is more that you

.....MANONGI.....

sukununu said...

hey,
when are u getting married ur too old nw cant u see for ur self.......umri unazidi kwenda
udada wako wa mjini unakuponza? unafikiri wanaume wa siku hizi wanataka wa dada wa mjini pasua kichwa??

Anonymous said...

SINTAH NAKUPENDA LKN USIMCHOKOZE TENA WEMA..HATA KAMA KIDOTI ANATOMBWA NA NASIBU BASI IWE KWA RAHA ZAO ..SIO MPAKA WAGUSE FEELINGS ZA WEMA..KIDOTI SIO WA KWANZA KUTOMBWA NA NASIBU NA SIO WA MWISHO KUTOMBWA NA NASIBU ATAKUJA TUU MWINGINE..SASA WANAWAKE TUKIWA TUNARUSHANA ROHO HIVYO TUTAFIKA KWELI MWEEHH..NAKUPENDA ILA PIA UACHE TABIA ZA KISHENZI..UTAZIDI KUPENDWA..

Anonymous said...

mujini kuna mambo.

Anonymous said...

katombwe kule kukikosea unapewa darasa vile vile vile na kujifanya jwake mkundu. habari ndo hiyo weka bania ila ushajifunza si hautaki ndumila kuwili humu malaya bubu wewe.

Anonymous said...

ha ha ha watu mna laana za dunia..blog ina matusi ya hatari..lohh my ribs..

Anonymous said...

ww uliyecomment kwamba wadada ndo wanaopoteza muda kucomment ujing humu ndani ukome. tena kama una kimba limekubana katafute pori unye. we ulichoandika cha maana kikowapi, kingereza chenyewe kina viraka kama nn sijui. na ww jlo koko ukome kubania comment zetu humu. Mara unstoppable, sijui nothing but confidence. huna lolote mbona unaogopa kuachia comment zetu kama kweli unajiamini

Anonymous said...

Anaeandika coments za matusi ni mtu mmoja wala asikuumize roho we ni mzuri tena sana ndo maana wana wivu achana nao pretty Sintah

Anonymous said...

pole sinta watu wanamaneno makali

Anonymous said...

Acha chemical ndiyo tutaamini kweli wewe ndiyo mti wenye matunda hua unapigwa mawe... yani uso unang'aa kama nyani alafu mikono myeusi hujionii?

leonia said...

mnamtukania mamake,kwa kweli siyo vizuri,mamake amefikaje hapa mpk mnamtusi,kuweni na heshima jamani.

Anonymous said...

ha ha ha eti uso unang'aa kama nyani..ha ha skuiz naipenda hiii blog kuliko Uturn..huku anayaachia tu macoment..jaman

Suzette

Anonymous said...

me pia napenda hii blog kuliko u turn..nachekaga mwanzo mwisho..sema kiburudisho chetu fiderine umetuondolea..jamenii..komment za matusi ndio zenyewe..vumilia tu sintah wetu..:))

Anonymous said...

KWA KWELI HII BLOG HATA MIMI YANIPA RAHA HASWA! HUWA NACHEEEEEKKKKKKAAAAAAAA MPAKA BASI! JAMANI USIJEFUNGA HII BLOG EVER SINTA, NA USIBANIE COMMENTS, TUNATAKA KUCHEKA SIE KHA!

C'S MUM WA U TURN!

Anonymous said...

Love
JT (American Husband to be)

May 10, 2012 11:35 PMHAAHAHAHAHA AMERICAN HUSBAND

Anonymous said...

Sintah Eeh kwa kweli Blog yako inanipa raha na wewe inaonesha mvumilivu kweli maana comment hizi mwingine angejikataa long-tym kitambo...ila natamani watu wangekuwa wana-appreciate unachofanya kwenye blog...kama vp wafungulie blog ingine ya kujiachia na ww uwe unacheka tu....ila kama vp hata humu humu tu...nlikuwa na hasira lakini hizi comment najikuta nacheka. ila sio kwa ubaya jamani sina chuki kabisa na wewe. Keep Doing what you are Doing, success will be yours and if its downfall it will also be yours no one will share any of it with you. but just remain strong.!! kila la kheri.