Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

BBA 7 CO HOST FLAVVY NDANI YA KIDOTI FASHIONS

flavia ndani ya kidoti fashions
channel 0 vj favvy Tumusime from Ug
kazi ya kidoti
kazi nyingine ya kidoti
kidoti loving # team


Kidoti loving imetisha na inaendelea kutisha,endeleeni kusubiri mengi yanakuja.

20 comments:

p mmasy said...

Sintah ww ni mzuri jiamini usikwazike na maneno ya wakosaji mti wenye matunda ndo unapigwa mawe, simama kwa kujiamini kwani hujajiumba wewe.

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Hi Sinta, please mwambie Nasibu asiwe anamsema msema vibaya Wema hata kama kuna mengi mabaya alimfanyia. siyo vizuri kuwaringanisha watu, sijui Jokate ni mzuri zaidi maana ananicare na mengine mengi. mimi napenda hata kama watu mnaachana kuwepo na amani kila mtu aendelee na maisha yake kama kawaida.vilevile wewe Sinta usipende sana kujisifia siyo kitu kizuri wewe kuwa wewe, kama sifa utazipata kwa watu. ni ushauri tu tena wa kishikaji kishenzi.

Anonymous said...

sinta unajitahidi ila sasa 1.mbona picha zako miguu lazima ibebane,jiamini wewe kama wewe hujajiumba kila mtu ana kassoro au vaa nguo ndefu maana fupi huko free kusimama na kuinyesha.
2.kujiita jlo haina maana mbona blog yako inajulikana prettysintah na siyo jlo,acha ujinga jikubali mbona mastaa wengi hujulikana kwa majina yao.sinta lilipendeza mbaya jiamini.

Anonymous said...

mdau wa May 9, 2012 10:15 AM nakuunga mkono kabisa. yaani sinta ukiyasikiliza haya ni advice za kujenga na sio tulizozizoea za kubomoa tu.

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
j ca said...

Hata mimi niko hapohapo . Wema hajawahi kumchambua diamond ili kumchafua, Usaliti aloifanyiwa ni mkubwa ye ndo alitakiwa awapake matope lakini amejikalia kimya na hiyo imeonyesha yuko smart na educated.
Mwanaume anayeachana na mwanamke na kuanza kumchambua si mstaarabu kwani inaonyesha akiachana na kidoti atamfanyia hivyohivyo.

Anonymous said...

YETU MACHO,,OMDAU WA MAY 9,2012 7:09PM

Anonymous said...

hivi nyie mbona mnajichosha! mtu haachi asili yake! almasi ni MSWAZI, NA ITABAKI HIVYO MILELE! HATA UMPELEKE US FOR 10 YRS, JUST BCOZ HANA EDUCATION ATABAKI MJINGA TU, ATAJUA ENGLISH NI KWELI, LAKINI USWAHILI UTABAKI PALEPALE! YAANI WEMA ASIJUTIE KABISA KUACHANA NA HUYU HAYAWANI!

Anonymous said...

kidot maana yk nn sinta

Anonymous said...

mfupa uliomshinda fisi....

Anonymous said...

kazi ipo kwa jokate mwaka huu!

Anonymous said...

Kwa usafi gani alionao Wema hadi mnamponda Diamond? Jamaa alivumilia hata alipomkuta na mwanaume wako uchi chumbani na bado akamvalisha pete ya uchumba mbele za watu. Wema alisema tangu ameachana na Mwanaume mwenye nuksi na mikosi Diamond mambo yake yamekuwa mazuri sasa shopping za Dubai, ana-drive gari la kifahari. What's LOVE got to do na uswazi wa mtu. Wema alimjua vizuri Diamond kuwa mtoto wa uswazi akampa penzi kama alivyowapa Jumbe Chalz Baba na Kanumba na juzi alihojiwa kuhusu Kanumba akasema “Tulikuwa na mapenzi ya siri kati yetu na tulifanya hivyo kwa kuwa kila mtu alikuwa tayari ana mtu wake, ndiyo maana hatukuwa wazi,” alisema Wema katika mahojiano hayo. Hata Jokate pia anajua hivyo kuhusu Diamond na bado anampa penzi. Acheni kuchonga.

Anonymous said...

MISS Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu, ametaja wanaume alioduu nao tangu aliposhiriki mapenzi kwa mara ya kwanza hadi sasa.
Orodha ya wanaume walioduu na staa huyo wa filamu kwa sasa, ipo kwa ukamilifu wake kwenye kitabu cha Wema ambacho kinazungumzia maisha yake.
MISS Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu, ametaja wanaume alioduu nao tangu aliposhiriki mapenzi kwa mara ya kwanza hadi sasa.
Orodha ya wanaume walioduu na staa huyo wa filamu kwa sasa, ipo kwa ukamilifu wake kwenye kitabu cha Wema ambacho kinazungumzia maisha yake.
“Ndani ya kitabu hicho, kuna idadi ya wanaume ambao nimekuwa na uhusiano kuanzia mtu wa kwanza mpaka wa mwisho,” alisema Wema. “Nimewataja na majina kabisa, sijamuacha mtu.”
Mchumba wa Wema, Abdul Naseeb ‘Diamond’ alipoulizwa kuhusu uamuzi wa mkewe mtarajiwa alisema haina shida.
“Mimi sioni shida, najua kila kitu na nimembariki, watu wakae mkao wa kukisoma kwani kinavutia,” alisema Diamond. HAPA NDIO UTAONA UANAUME WA DIAMOND. ALIMPENDA HUYU KICHECHE WEMA NA KUMSAPOTI KWA KILA KITU BUT KAMA BINADAMU WENGINE ILIFIKA WAKATI AKASEMA BASI INATOSHA.

Anonymous said...

DIAMOND NA KIDOTI. ACHA AROPOKE HUY DIAMOND ANATAKA KUHONGWA NAWE KIDOTI MUHONGE TUU .UKIMALIZA TAMBEA MA MWANA WA SINTA .ALIPOSEMA WANAUME HAKUMAANISHA WOTE ILA WALE WENYE TABIA KAMA ZA MABINTI UTAWAONA KWENYE MAGARI YAMADEMU WANAJIFANYA ...MALIZIA.MWANAMKE MSHENZI NI YULE ANATEMBEA NA BWANA YA ANAEMJUA .MA.....YA

Anonymous said...

jokate kweli usimat wako wote umeishia kwa Diamond, ovyoooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

jokate kweli usimat wako wote umeishia kwa Diamond, ovyoooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

acheni maneno mengi nyie malaya now its diamond and kidoti ya wema yalishaishaga tushasahau na hatutaki kusikia upuuzi wenu

Anonymous said...

tukisema kila m2 ataje watu aliowahi kutoka nao,,,seriously hakuna msafi,simlaumu wema kwanza SHE IS TOO BEATIFUL KWA DIAMOND,anachokifanya diamond ni ushamba na alimvumilia wema cz alijua haezi kupata msichana mrembo kama wema...Jokate ndo kabisaaa kapotea njia n alichokifanya sio fresh cz from wat i know jokate alikua rafiki wa wema n then at the end of the day ameamua kutembea na shemejiye 'we all know that ushemeji haufi'...kweli mswazi ni mswazi tu

Anonymous said...

bongo siku izi kuna baridi a mbarafu sasa kijoti hilo sweta la nini hau hajiamini kivazi chake.hahhahah mnaiga vibya nwenzenu tunavaaa uku baridi .mitumba ikija uko muwe munachagua poa pia mjue ni nini ni wapi uvae.mmmmm