Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

THANKS JOKATE AND BEA FOR EVERYTHING

j wake lo
unstoppable
mti wenye matunda ndo unaopigwa
mawe
lolest
Bea,Sintah n Jk
team # Kidoti fashions
amani ya bwana iwe nanyi
ilikuwa ijumaa na sijaona my dress for kil awards,na Kidoti fashions ndo ilitakiwa inivishe, kila ninapo mpigia jokate hapokei my calls,anajibu bbm tuu,nikasema huyu dogo vipi,nikaenda mpaka kwao kutaka kujua ana nini hakuwepo.nikachanganyikiwa,nilikuwa katika harusi ya sauda nipo nipo tu maana sielewi on sato nitatoka vipi jioni Jokate anani bbm kuwa gf sorry fundi hakuweza mamaaaa natamani ningerekodi maana nilisema mpaka miguu ikaongea,tukapanga tukutane for plan B  asubuhi ofisini kwa Bea(#kidoti team)
asubuhi kwenda kumbe ilikuwa surprise ya gauni langu  jamani nilipojaribu nguo uwii ilikuwa poa sana.

thanks to my Jokate n Bea.


26 comments:

Anonymous said...

kwa mara ya 3 leo umependeza tangu ufungue blog

Anonymous said...

umependeza sana Sintah, endelea mbele usijali maneno ya watu, nashangaa sijui kwanini watu wanaku dis kihivyo, eti umezidi mashauzi wakati hayo mashauz yako wengine ndio yanatuvutia kuja ktk blogu yako daily

Anonymous said...

u look so mwaaahh!!!!!

Anonymous said...

Bora uhang na hao wanakufundisha kuvaa maana kwa uwezo wako hamnaga kitu! For the first time leo na ushukuru Mungu shoga ako jo n bea wote wajanja wamekustiri! Lol

Anonymous said...

umependeza ila nguo imekutoa na tumbo kubwa as if u are pregnant,are u?

Anonymous said...

ki ukweli cjawahi ku comment huku ila leo naomba nisiwe mchoyo kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu leo sintah umependeza sana!yaani tena sana aliyekuremba mgande huyu huyo yaani kweli u look sexy sana leo mamy.
Mwaaaaaaa

Anonymous said...

naona umeficha miguu picha ya kwanza....mguu umekukomaa balaa

elisa said...

sintah kwa kweli naungana na mdau hapo juu aliesema tokea umefungua blog ni mara ya 3 unapendeza ! For me ,one word 'gowjas ' everythn on point ! Jokate na Bea waendelee kusimamia mavazi yako

Anonymous said...

You look beautifull my dear Sintah..

Anonymous said...

Umependeza sana Sinta, hii haijawahi tokea kuanzia makeup, nguo, viatu nk. kweli ukikaa karibu ya waridi nawe utanuki nukia. pendeza sana

Anonymous said...

sintah mbona kupendeza nikawaida yake basi tu watu mnamuonea wivu ndio mana napendfa kamsemo kake kumpiga chura teke nikumsogezea mwendo kama sijakosea so nyie mnavyo mnanga yeye ndio kwanza anazidi kusonga mbele umependeza bidada wapende wasipende full stop

Anonymous said...

Sinta sikupendagi ila ukweli nakupa umependeza toka nimekufahamu sijawahi ona umependeza hivyo. Mbn picha za harusi ya sauda huweki tuone ile crown khaaaa na mikorogo. Hlf Sinta hili jina la JLO ni la kujitambia kwny blogs tuuuuu? Mbn kwny kili hukulitaja?Uliogopa kuzomewa? Hlf ulitetemeka kiaina wkt unajitambulisha.Ukiibania imekugusa.

Anonymous said...

umependeza sana sintah. yani just "SALUTE" mama.

Anonymous said...

pendeza mbayaaaaaaaaaaa if this is the product of Kidoti fashion she is flying so high yani i tell atamshinda nanihinu anaanzia na K duuu i give her kofia classic outfit. mwambie akaze buti aachane na mboo achape bakora kwa vitu kama hivi if you know what i mean girl unstoppeble is Joketi Mwalengo

Anonymous said...

hata mm ni mara ya kwanza leo kukucoment......umependeza sana nywele,makeup mpaka nguo u look mwaaaaaaahhhh!

Anonymous said...

Mmh hata me nilitaka kusema hivyo hivyo, endelea kuhang na hao hao wajanja wa vivazi. Kwa mara ya kwanza leo umependeza! Watoto wamekusitiri....

Anonymous said...

Umependeza sana Sintah wangu,mungu azidi kukubariki,nguo yako nzuri sana jokate and sintah endeleeni kupendan hivyo hivyo,adi siku za mwisho msiwasikilize people wanasema nini maana siye binadamu tumeumbwa kuongea....!
Xxxxoooo Dogo lake Jlo wa bongo

Anonymous said...

kweli umependeza tangu niwahi kukuona kwa mara ya kwanza.unaweza punguza bla bla na mashauzi ukaongea kwa vitendo sio?do tht..nashukuru sasa kdg huyo unajua kupaka mapauda vzr,,bd kdg utakwa sawa

Anonymous said...

sinta ulipendeza sana kwa mala ya kwanza ndio nimekuona kupendeza,,,,sasa kwa ushauri wangu usitumie jina la JLo because hilo jina alisia la mtu tafuta a.k.a nyingine au tumia jina lako inatosha utaoneka very desert girl.

Daisy Daniel said...

pendeza mbayaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Wagande hao hao!manake watakuwa wanakutoa tongotongo za ushamba mama,hapo ungesaka wewe kivazi hapa tungekuwa tunaongea mengine..

Anonymous said...

Hahahah,kwa mara ya kwanza pendezaaaaa!na hiyo style ya kuweka miguu hivyo umeiganda,inakustiri eeeh?ukikaa mguu sawa hapo naweka zimia hapa heheyyaaaaaa

Anonymous said...

Kuna mdau hapa kama alikuwa akilini mwangu,eti uliogopa kujitambulisha pale kwa kutumia Jlo ungezomewa na mie nilisema hayo hayo huyu kaogopa kajua pipo tungelizomeaaa ingekuwa raha ajeeee ungemsaidia wema kudhalilika Jlo my ass ungejutaaaaaah!

Anonymous said...

Ushoga na watoto wadogo unakusaidia na wewe uonekane wamo eeh,manake unavyojifanya utafkiri umri sawa na hao unaohang nao Lol btw umependeza sina roho mbaya ya kuacha kusifia ila penye ukweli nakupa

Anonymous said...

Umri unakutupa mkono,unatamani urudi kinda lakini ndio hivyo tena siku hazigandi,hao uliowasimamia harusi ndio umri wako na unastahili mashoga wa umri huo sio hao watoto wadogo unawafundisha ubazazi tu

Anonymous said...

J lo kifua unanibeep!! au unapiga?