Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

VILIO VYA WASANII WACHANGA,WANALIA NA MA PRODUCER NDIO WEZI WA KAZI ZAO

wadauzzz

ni hivi wapenzi na wadau,mara nyingi sana watu wanatafuta wapi wapate ngazi ya kupanda,mfano ukitaka kuwa mwanasoka,muigizaj,musician yaani ukiwa underground unateseka sana

juzi kati nilikutana na wasanii wachanga wawili wakilalamika nyimbo zao zimeibiwa na wasanii wa kubwa(jina kapuni)msiniponze kuwataja hapa
ilikuwa hivi dada sintah sisi tumepeleka nyimbo pale kwa M mara M akampa yule bishoo wa sasa,sasa producer ndo wa kuiba mziki kwa msanii mchanga??aisee noma sana.
ma producer hawa wasanii wachanga wanahitaji msaada kwenu sasa mkifanya vituko hivi itakuwaje jamani,sasa hizi nyimbo waimbie chumbani??kwa kweli ni noma kama wewe ni producer na unafanya haya mambo acha kabisa
na hii kesi ikijirudia tena kwangu nitamtaja producer mwenye tabia hio,
kama noma na iwe noma.

No comments: