Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WANAUME MAZOEA WAMEJAA MJINI

hellow dada j wake lo,

kuna wanaume wanapenda sana kumzoea mwanamke kazi yao kumuita bar na kumchanganyia ma drinks mfano savanna kunywa,redds kunywa michemsho kula mwishowe hajui kama  ana ku mixia mabomu bila wewe kujijua,mimi dada sintah siwapendi kabisa na huwezi kunikuta ninakaa na mwanaume huyo hata kidogo,nakupenda sana lope lope kwakuwa unasema ukweli mtupu
hawa huku Arusha tumewazoea wanaitwa wanaume wa trupa
wanatakiwa washike adabu ndo maana wengine wanaibiwa sana hapa town
sintah wapake wapake jlo wamezidi hao wanaume suruali kazi kuwanywesha wanawake mapombe na kuwaacha hanging

j wake lo waache wanune,mwanaume akimzoea mwanamke anakua anatabia za ajabu
siwapendi hao wanaume kwa kweli mie,wape wape

jane A Town

8 comments:

Anonymous said...

We nae umelazimishwa? si mnapenda vya bure, mtapewa hadi Gongo, Haaah hahahahahahah, Lol.

Anonymous said...

hivi mwanamke mwenye akili zako utachanganyiwa vinywaji vyote hivyo ww bwege kwanza kila mtu anakinywaji chake anachokunywa..
inakuwaje mtu akuchanganyie na ww umetoa mimacho tuu kama mjusi aliyebanwa na mlango utakuwa mjinga tena fala...
andikeni vitu vya maana wala hao wanaume si wa kuwalaumu nyie mijike msio na haya na mnaopenda vya bure acha wawafanyieni hivyo si wamewaona ni mabwege....
andikeni vitu vya maana msonyooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!

yule yule...

Anonymous said...

mktitaka vya bure matokeo yake ndo hayo kila siku mweshwe nyinyi nyinyi mtawanywesha lini lazima ile kwenu

Anonymous said...

WE NAWE KWANI ULILAZIMISHWA KUNYWA AMA ULIKUNYWA MWENYEWE. HAPO UMECHEMKA TAFUTA LINGINE

Anonymous said...

wewe nawe inaonekana wala hujui unalolisema, na sidhani kama hata huyo bwana mwenyewe unae. bila shaka wewe ni bingwa wa punyeto. au watu wamekugaraza kwa offa na sasa wamekuchoka. tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, machaliiiii wamechakachua kisha wametema mzigo sasa una hasira nao. na ukija dar utaishia kuchezwa mechi na wauza miwa tu morogoro road.

Anonymous said...

Nonsense!

Anonymous said...

Dada mbona unaandika kwa hasira sana? au umenyweshwa mipombe then ukaibiwa ndio maana una hasira, punguza hasira na usipende sana vitu vya bure, madhara yake ndio kama hayo yaliyokupata, lakini pole bt usijali, ni maisha tuuu! ukiona mwenzio ananyolewa nawe tia maji

Anonymous said...

acha usenge ww!ulitumwa kuomba ofa za watu?lione ka jibwa koko