Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TOO SAD...MAY YOUR BEAUTIFUL SOUL REST IN PEACEhuyu dada amekufa akiwa mrembo, jamani ni wachache tunafika miaka hii na bado tunadai,nime share jina moja na mtoto wake


RIP Whitney Huston.

20 comments:

Anonymous said...

Na wewe unasema unadai? Mbona umezeeshwa na akina Mark Anthony?

Anonymous said...

Mbona Whitney hana binti mwenye jina kama J Lo wa Tz au Bongo? Jina gani una-share na mtoto wa Whitney?

Anonymous said...

Whitney alikuwa hatumii mkorogo kama wewe. Rangi ya ngozi yake ilikuwa chocolate and natural.

Anonymous said...

Tatizo lako ni hizi shule za kuunga unga ulizokwenda. Kufa bado mrembo, wachache tunafika miaka hii na bado tunadai, nimeshare jina moja na mtoto wake maana yake nini? Hueleweki.

Anonymous said...

Ndio kusema wewe una miaka 48??? Such a psychopath, you managed to turn this around and make yourself the focus. Such a narcissist, mxsiiiii.

Anonymous said...

Kwahiyo ukishare jina na wewe sana ni Whitney? au Bobbi? Maana kwa ku-tap majina ya watu hujambo!

Anonymous said...

R.I.P Whitney Houston; we will always love you!!

Anonymous said...

SO SAD

Anonymous said...

Anaitwa Bobbi Christina.

Anonymous said...

mtoto wake anatumia madawa ya kulevya na wewe unatumia?au unajua kujifananisha majina tu.pusi we

Anonymous said...

bitch

Anonymous said...

Una ushahidi kwamba anatumia hayo madawa au unaropoka tu? Kuwa na aibu na heshima kwa marehemu na familia yake, let her rest in peace.

Anonymous said...

Rest in peace Whitney Huston we always love u nyimbo zake jamani zilikuwa nzuri coz alikuwa pia akijua kuimba kwa hisia.

Anonymous said...

innaillah wainalillah rajun

Anonymous said...

yan kuna watu wamekaa kama mashetani nyoo yan hata msiba mijitu bado inacoment ujinga

Anonymous said...

Rest in Peace Mumy, we 'll always remember u!

Anonymous said...

Wewe umeshazeeka hata 30 yrs haujafikisha, unajikoroga, mwili umetepeta kama una watoto watatu, just be you and accept the way u are, and even God will bless much, manake unaonekana hupendi Mungu alivyookuumba wa maji ya kunde unataka kuwa mzungu

Anonymous said...

kweli kuna watu kama mashetani,hivi kwani kunaulazima gani wa kuchangia?mpaka tunaonekana wanawake hatupendani,nyama kulegea , au kutumia mkorogo mtu inakuuma nini?kuna baadhi ya watu maisha yakibadilika kidogo au kupata angalau uwezo wa kuendesha maisha yake vizuri,anatakata na kuwa mweupe ,akipaka poda inakubali hana stess lzm atapendeza.

Anonymous said...

hahahahah...Sintah kazi unayo dada yani wachangiaji wa humu ndani akili zao wanazijua wenyewe yaani full burudani ndio mana hua sikosi kuingia humu

Anonymous said...

lazima afundwe huyu ni malaya hana lolote anatapatapa nyau weee