Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NINI KIFANYIKE ILI KUOKOA JAHAZI

Mambozzzz wadau wangu

ni hivi mimi kama msanii(ambaye nimeenda shule)ninakerwa sana na tabia za wasanii wa kike za kujizalilisha kwa chips mayai,nikisema chips mayai namaanisha kirahisi rahisi,juzi nilikaa na watu, wangu wa ngazi za juu katika mashirika fulani, tulikuwa tuna conversation yetu lakini walikuwa wanatusema vibaya sisi wasanii both male and female,kwasababu wasanii wengine wa kiume, wanatumwa na ma dushelele  yawanyatie wale vidosho wa kike.
kwa mimi kama msanii nilijisikia vibaya sana nikasema may be a little bit of education helps so they need to acquire at least the basic ili wajue thamani yao
kwa mtazamo wangu mimi sintah nahisi elimu inasaidia sana.

wasanii tusibweteke,wanaume wakupita,ma sugar mams wa kupita but your diginity ni important.

Message from j wake lo

its so hard to build intergrity,but it takes a second to destroy it

watch out jamani jua umuhimu wako katika jamii
kwakweli this time mtanichukia ukweli lazima niongee

ni yule yule
Nothing but confidence


                                                     the finest(UNSTOPPABLE)

44 comments:

Anonymous said...

Pole yako kwa kunyooshea kidole wenzio.(Kiroboto)

Anonymous said...

lope lope wewe hujirahisi????mbona nasikia wanakugonga hata kwa buku.

Anonymous said...

ha ha ha ha hili swala la tabia wakayi mwingine sio shule kuna watu ukikutana nao mambo yao km hajaenda shule kbs maongezi,matendo hovyoooooooo

Anonymous said...

hivi bado unajiita msanii?????? mi ningekuwa wewe walai nisingejiita ilikuwa zamani yani sasa ivi ukitaja tuu msanii heshima kwishney. ni malimbukeni haifai na wanajijua coz hamuwezi kusemwa nyie tu kila siku and still hambadiliki. wasanii walikuwa zamani na si sasa. eti unaenda kwa mganga and still huna cha mana wat the f***** is that. LOGA UENDE SHULE,UWE TAJIRI,JUMBA LA KIFAHARI.GARI KISHA ACHA KUUZA SURA KWENYE TV TAFUTA KZI YA MANA JUU UMEENDA SHULE

Anonymous said...

wasanii wa kike woooooooooooote wana akili moja nakwambia. eti oooh mi mume wangu sikuwahi kumpenda ivi kweli hili ni swala la kuongea tena na wandishi w a habari???? ivi kila swala la mwandishi lazima ulijibu????mbn wenzetu hawako ivo???? km sitaki kilizungumzia sitaki hata niwe kwa Oprah au Larry king na hawafosi ila huku jitu linatoa tu siri zake mwenyewe anaona ana kuza jina kumbe unajiweka UCHI

Anonymous said...

Anza na wewe kwa kutambua thamani yako kama christina manongi na sio jlo, jivunie kuwa christina mdada achana na ushamba wa majina ya watu maarufu my dia. Je wewe na jlo mnafanana nini? Asili? ila yeye ni Mzungu, kipaji? yeye ni mwanamuziki na mwigizaji maarufu, pesa? kitu ambacho sio; je kubadilisha wanaume kama nguo? au kuolewa na kuachika kila wakati? Mie kwa mtazamo wangu naona haufanani naye, mie nakupenda wewe kama christina or sintah, achana na hilo la jlo linakushusha hadhi.

Anonymous said...

hako kashule kako nako unakaita shule. bu ita a good start. komaa zaidi wangu uwapelepeleke zaidi.

Anonymous said...

SASA WEWE KILA POST UMESOMA MBONA MSHAMBA SANA WAKIITWA WALIOSOMA UTASOGEA ELIMU YENYEWE UMESOMESHWA NA BWANA ELIMU ZA UZEENI KAZI KWELI KWELI

Anonymous said...

SPEAKING FORM EXPERIENCE???? KUMBUKIA HATA WEWE SI ULIKUWA HIVYO HIVYO KABLA HUJAPATA HICHO KIJIELIMU CHAKO.

Anonymous said...

safi sinta wape wape hadi watapike maana wamezidi kuwa na tabia chafu tena wakiwa kama kiooooooooo cha jamii wanafundisha nini watu kweli Elimu inasaidia sana Sinta Hongera

Anonymous said...

Tangu umepata hiyo elimu..tabu tubu..chupi zinawabana shoga zako ambao hawajaenda shule ha ha "..but your diginity"MMHHHH? sijakuelewa

cute said...

siku hizi umekuwa mama ushauri shost,

Anonymous said...

toka hapa wewe umeshajichokea hutongozwi tena ndio maana kinakuuma wenzio kutongozwa hahahaa,tupa kulee

Anonymous said...

yani wala waambie tu ukweli ni vizuri sana mi nakupenda sana ww wenye wivu mkajitundike we songa mbele achana na vijiba vya roho wataishia tukana tu! we songa mbele

Anonymous said...

WEWE SINTAR ACHA KUJIDAI MSTAARABU SASA HIVI,KUNA MDADA AMEUZA KUMA MJINI HAPA KAMA WEWE KIPINDI ILEE UNAHUYU MARA HUYU ADI JUMANATURE ULILALA NAE SASA HUONI HADHI YAKO NI MBOVU UNASUBUTU KUTIWA NA JUMA NATURE KWELI ULIKOSA MABWANA ?ULIKUWA NA SKENDO SAAANA KAMA HAO UNAOWANA SASA HV.SIKUIZ UMERUDI UMECHOKAA HAKUNA NAE KUTAMANI NDO WAJIDA OOO MARA UPO SINGLE LADY,UMEZEEKA KUOLEWA HUOLEWI UMEBAKI KUZUNGUKA MTAANI TUU .MH.

Anonymous said...

sasa kweli nyani haoni kudure?wangapi wanaelimu zao pia ni ovyoooooooooooooo?sema kujitambua ndo swala zima,na hata ww mwenywe ujitambui pia unasema umesoma basi usingejihita JLO,na kina MWAMY WASEMEJE KITU MJENGOOOOOOOOOOO WATU KIMYAAAAAAAAAA YULE NDO KASOMA BWANA YANI NDO CELEB WA BONGO NYIE WENGNE MATAPISHI TU!

Anonymous said...

Hivi unafanya kazi wapi? Na umesomea nini?na umesoma mpaka level gani?maana umenifanya niangalie profile yako ?

Anonymous said...

uwiiiiiiiiiiiiii..unaboaajeee

Anonymous said...

SIKATAI UMESOMA ILA SIO KIASI CHA KUTISHA SIZANI KM UNA SABABU YA KUTUAMBIA KILA SIKU KUWA UMESOMA..........KUNA WATU WAMESOMA KIASI KM CHAKO NA CHUO WALICHOSOMA AKIONESHA CHETI TU WATU WANAMKUBALI . WATU WANA MASTERS, NA MAPHD. OKEY SI VIBAYA ILA INATOSHA TUSHAJUA KM UMESOMA PENGINE KWA WASANII WE NDO KM UNA PHD EEEH HA HA HA HA. WE MABWANA HUNA WEWE????? MI NAKUJUA WEWE TOKA KIMARA KOROGWE ONGEA VYOOOOOOOOOOOOOTE NA SI KUREKEBISHA TABIA WENZIO YANI HAPO HUJAFIKIA

Anonymous said...

TINA WE SI WA KUNYOOSHEA WATU VIDOLE KWENYE SWALA ZIMA LA KUBEHAVE YANI HATA HAO MABFF ZAKO NAO UOZO MTUPU TUNAWAJUA HATA SIO TULIWAI KUISHI NAO WENGINE MPK LEO JIRANI ZETU BONGO HAPA NOMA HATA UKINYA USIKU KICHAKANI ASUBUI WATU WANA TAARFA KWAMBA ULIKUNYA PALEEEEEEEEE SO SHUT THE FUCK UP

Anonymous said...

MY DEAR JUS ZIP IT I MEAN ZIP IT PLIZ ZIP IT AGAIN ZIP UR LIPS WE SI WAKUREKEBISHA M2 TABIA WE SI WAKUMFUNZA MTU TABIA WEWE SI WA KUSEMA HUYU APUNGUZE SIJUI KUJIUZA,USAGAJI WEWE???????? OF ALL THE PEOPLE????????? PLIZZZZZZZZZZZZZZZZZA ZIP IT ONGEA NA NDUGUZO NA PUBLIC

Anonymous said...

mh! na hiyo pete ya uchumba umevalishwa kweli au umejivalisha? maana hamkawii kujivalisha

Anonymous said...

we nawe kusoma kusoma kusoma bongo...piga kimya,,,mbona wasomi wengi tu! jana nakusikia amplifaya na kingereza chako cha ugoko..tupa kule

Anonymous said...

tena hawatongozwi tena wamebakia kusagana tu mana unakuta mtkuma imepitiwa na wanaume zaidi ya ishirini sio kuma tu hata mikundu nani atakayekula uchafu wa mwenzake? mmeshuka thamani kweli hata kwa buku mnatoa. jirekebisheni jamani mi nishachoka eti mtu anajitangazia niko na msanii fulani leo kesho mwingine sasa unagawa kama pipi huogopi? msanii kama irene uwoya anatoa siri zake oh sikumpenda ooh uliolewa nini mi nawashangaa kuweni wastaarabu wasanii kike.

Anonymous said...

sinta kwani mwenzetu una degree ya nini tujuzee basi tuelewe ili nasi tukasomee sinta unakimbiza na hiyo shule yako.

Anonymous said...

unachonikera ni tabia yako eti UMEENDA SHULE, unaweza kwenda shule na ukawa limbukeni pia, acha kujifagilia tuone kwa vitendo sio blaa blaa tu, wakuienda shule hawajishaui kama ww au kwenu ww ndio wa kwanza kusoma, unanikeraga sometimes kwa mijisifa yako isiyokuwa na maana

Anonymous said...

kuma yako watu hawaita, imagine hata WASAGAJI hawaitaki...

Anonymous said...

msenge wa kike wewe !!! pumbafuu sana
kiroboto + chawa

Anonymous said...

ww nawe huna jipyaaaaaaaa kila jambo na wakati wake.

Anonymous said...

Big up for the achievement you attained, I'm sorry for asking you this, how old are you and do you have a kid?

Anonymous said...

hahahaa kiroboto+chawa!!!

Anonymous said...

Huyo anayemsifia Mwamvita na nyumba, anyamaze na aachane kabisa na sifa za kijinga, watu tunahasira na mafisadi, kwa mshahara gani au kwa miaka mingapi toka amalize shule na kuanza kazi kupata hela ya kununua nyumba kama ile kama sio hela za ufisadi wa baba yake????? huyo mkurugenzi wetu tu hana nyumba kama ile!!!!! naomba mnyamaze kabisa na hizo sifa za kijinga, watanzania tumechoka na ugumu wa maisha! "People's Power", subirini tu mafisadi siku zahesabika.

Anonymous said...

Naomba unisaidie, hivi umesomea kitu gani, maana sielewi nasikia shule shule tu, kwakuwa nilikuwa sikufahamu zaidi ya kukuona humu kwenye blog

Anonymous said...

SHULE YENYEWE YA KUUNGA NA KAMBA MAANA UNGEKUWA NA PERFORMANCE NZURI SHULE UNGEMALIZA DEGREE YA KWANZA TANGU 2005. INAONYESHA NI JINSI GANI ULIKUWA KILAZA.,

Anonymous said...

eti wewe ndio wa kwanza kusoma huko kwenu, nimecheka kweliiiiiiiiiii.

Anonymous said...

haahaaaaa itakuwa hivyo katika familia we ndo wa kwanza kusoma kuanzia babu zako.

Anonymous said...

Some of us are doing PHD's and work in International Organziations and yet we dont boast like you.We use our education to educate ,civilize and help the society!!!

Anonymous said...

Mbona unabania coments wewe?????????????

Anonymous said...

yaani hapo mdau umesema.. wote hao.. akina Jlo, amber rose, Kim K na wengine weengi wanaojiita majina ya wasanii wanje, ni watumwa wa nafsi na akili zao. Hawafanani hata kidogo,kwa nini wasibaki na majina yao

Anonymous said...

KUSEMA KWELI SINTA UNABOA MNOO. HIYO SHULE SHULE GANI AMBAYO WATANZANIA HAWANA? NA HATA KAMA KWELI UNA DEGREE NINA DOUBT KAMA NI YA HALALI. MBONA NAKUONA KILAZA TU KIZEE WEWE.

Anonymous said...

WHAT DOES AGE & HAVING A KID HAS TO DO WITH ONE'S LEVEL OF EDUCATION? stop pointing a finger to Sintah, yes she might behave contrary to someone with level of education she claims to have but still compared to her u suffer a very terrible disease known as " marriage & kids must at any cost syndrome"!!!!!! who said every woman wants to have kids or get married. in modern life people are free to live kind of life they like. Others don't want marriage, as you can see not all married people are happy! u sound primitive and a slave of certain beliefs which don't help u much! i seee umeniboaje!..let people choose what suits them the most bwana, ndo nyie wa kuforce mambo..EBOOOO!

Anonymous said...

yani we are tired of yo stupid school and stupid degree wenzio tuna masters, doctorates and PHDs but we dont publicize them...act like a grown up bitch and ukue.......na kama we ni msomi i believe you understand how unavyojidhalilisha kutumia jina la JLO She is a big person mamaa huwezi fikia hata price ya pantiii ake wacha kujishau...write sensible stuffs...sifa za kijinga wont help u ,....HAZIHUUUUUUUU....ungesoma OXFORD or HAVARD si tungeama TZ....

Anonymous said...

yani we are tired of yo stupid school and stupid degree wenzio tuna masters, doctorates and PHDs but we dont publicize them...act like a grown up bitch and ukue.......na kama we ni msomi i believe you understand how unavyojidhalilisha kutumia jina la JLO She is a big person mamaa huwezi fikia hata price ya pantiii ake wacha kujishau...write sensible stuffs...sifa za kijinga wont help u ,....HAZIHUUUUUUUU....ungesoma OXFORD or HAVARD si tungeama TZ....

Anonymous said...

duuh sintah ,ushauri tuu ningekua mm nsingekua kidomodomo lols ,,poooohhhhh hizo comments ulizopata aibuu ,,pole