Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

FROM PS BLOG

Wadauzzzzzzz

Happy Valentine,nyie ndio Valentines wangu maana have learnt so much from you never the less,

ni hivi katika kuandika comments muwe mnapunguza matusi jamani duuuuu,maana mtu anakuwa kama ana hasira vileee,yaani mi nakuwa sielewi twendeleeni kuelimishana kisomi basi,

enjoy your valentine with the  loved ones,wakati huo huo ninamtakia Linex happy belated day,enjoy your day

happy birthday Linex mzee wa moyo wa subira
12 comments:

Anonymous said...

Happy Valentines to you to Sinterlicious na wewe punguza mashauzi ili na sie tupunguze comments za hasira

Anonymous said...

happy valentine day to you

Anonymous said...

happy valentine's day to u too......wenye wapenzi wetu tukajimwage kisawasawa, kila cku is a valentine though.

sophy said...

happy valentine sintah

Anonymous said...

Happy Valentines ..at least leo nimekupenda Sinta umeongea pointi na umeacha yale mashauzi yako.

Hope you will enjoy girl!!

Anonymous said...

HAPPY VALENTINES DAY TO U SINTA, i love u

Anonymous said...

Happy Valentine,lakini anakuletea maua mekundu akiwa ametoka kuwapa wengine sita ushauri wa bulre, mtumie Condom hakuna mapenzi siku hizi

Anonymous said...

Happy Valentine Sintarious,mtafute Kiroboto hawez kukusahau!

Anonymous said...

vipi kuhusu ile pati ya walio singo...?

Anonymous said...

sintah ulisema utaenda ile sehemu moja ya wonders of the world in Asia i suppose... ulishaenda?tuwekee pics tuone ulivoinjoi basii

Anonymous said...

ewaaaaah!.... sasa naona unaanza kuelimika taratibu kupitia sisi..
tunachukia kutokana na mashauzi yako unataka kuwa kama diva bana.. hebu badilika tutakupendaje!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

wewe mdau hapo juu unampa kichwa bure,huyo akituona tunamsapoti sana lazima atatukera tena na elimu yake ya vichochoroni,yaani we sinta ukigusia icho kielimu chako unanikeraaaaaaaaaa mpaka natamani kujinyea...elimu hujionyesha yenyewe kwa mtu anavyopresent.