Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

BIG UP MAGAZETI YA SANI NA KIU

kwa wale wanajua taaluma ya uandishi wataniunga mkono maana kuna magazeti mengine yanatoa stori humu humu katika PS ila hawataji source of information wameitoa wapi,
sasa hivi ni saa nane kamili za usiku ninaandika hii post
hebu fikiria kweli ni haki?mimi natafuta zangu habari na wewe unachukua kilaini bila kushukuru sehemu uliyoitoa,wakati wewe umelala sasa mimi ndio nikutafutie habari,hebu jaribuni kuwa na utu banaa

to be honest kuweni waungwana wale wote waandishi [pamoja na fellow bloggers

gazeti la Sani akiwemo Living Stone huwa anataja PS kama sehemu aliponyaka stori,nalo letu gazeti la Kiu huwa wanafanya hivyo,kwa
kwa ujumla nashukuru sana KIU na SANI magazeti kwa kuutambua mchango wangu
for accurate news,gossip n so ever please get your copy of either of the two tabloids.

on behalf of PS
i go by the name j wake Lo
                                                     

16 comments:

Anonymous said...

na ungekuwa na miguu mizuri wewe??? haina tofauti na baku la mkuyu! hebu nipite zangu mie!

Anonymous said...

sintah umeonekana mzuri kmbe ni mzuri eeh nakuonaga kawaida sana pia umependeza sana af kipochi cha ukweli kishenzi kizuri ad raha wanaojua vizuri watakuwa wamekukubali kimya kimya..

Anonymous said...

Umependeza mama kaza buti

Anonymous said...

wenye wivu watajibeba, kwa jinsi ulivyopendeza ufupi si tatizo. ni maumbile tu wanaokukandia kwa ufupi hawana issue,na wao watume picha zao au za wachumba zao nahisi tutazimia kwa jinsi wanavyotisha. na hao waandishi wanaokuibia habari wakome. uko juu kama mawingu.

Anonymous said...

si utaje tu global na picha za wema walizo zikomba au waandikie live

ngaizaskids said...

Ni kweli hata mimi niliwahi kucoment kwenye gazeti flani, hawaandikagi chanzo cha habari na juzi wameweka wema bila kukutaja, hawajui sheria na wana magazeti kibao. Warudi shule wakasome sio sisi tunashinda kusoma wao wanaingia kirahisi waone. Wana copy na kupaste bila shukrani. Waambie my sis.

Anonymous said...

nakweli mwaya manake jana wameuza sana hao kina shigongo hawana hata aibu shigongo waandishi wakeo wavivu wanashindwa kutafuta stori wanatafuta kwenye blog yetu ps uandishi uchwara huo

Anonymous said...

Cute bby!!

Anonymous said...

mi luv u baby!

Anonymous said...

wewe jali kazi zako wakikuandika ndo starehe zenu tetettete unabeep.wewe mwenyewe unakosa jlo akikuona unajiita jina lake umekopi siku zote hakuna chapeke yako .ujui amka .ila unajitaidi kupendeza

Dorry said...

Christine, kwenye picture zako weka chata ya PS blog juu ya picture tena chata kubwa so waki copy na kupaste lazima itokee tu source of information kwamba wametoa wapi, ni ushauri tu

Anonymous said...

hyo pochi haijaendana na hzo nguo na kiatu,inshort kipochi kabaya,kipo ki secondary zaidi,ni vizur ukakigawa tu

Anonymous said...

chuki binafsi...

weprac said...

hivi huwa unamatege nini?maana ilo pozi la kupishanisha miguu nakuona unalipenda,kama wewe ni waukweli simama wima tukuone....naanza kuimagine utakavyotuchekesha teh teh teh

Anonymous said...

Sintah mamie? naomba uelewa kuna waandishi wa habari na waandishi wa story, so hao waandishi wa story hawaelewi chochote kuhusiana na copyright

Anonymous said...

Jamani mwacheni anajitahidi japo si sana ila mi ananiudhigi umbea na unafiki wake wa kujifanya kamkacha wema yupo na emolo Jokate ni kujipendekeza huna msimamo kwanza ilipoteaga apa sasa umajirudisha kwa nguvu zoooote.