Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

48HOURS NI KAMPALA THANKS MA GAL BEATRICE FOR EVERYTHING

I was in Kampala for 48HRS,  na mimi Kampala nina mashosti lukuki yaani inazidi Dar na mitaa yote kwa wale wanaotoa huduma kama Chakula,nguo nk, wananijua kwa jinsi nilivyokuwaga kindaki ndaki, maana mpaka juzi napita wananiambia nenga umbbuze yaani nimepotea i wish wangejua nilisepa long,
my gal beatrice aka ni host na kama unavyonijua i don mingle with fake friends,she is well educated kama unavyoona no plates ni CD yaani Country Diplomat (usinune ni maisha tuu )

Lovely gf of mine

jlo and Beatrice
ka no plates kanachingulia kwa mbali
CD


kazi ipo
mke ya muthungu na Beatrice

baada ya kunishusha
walijipa raha
Imperial Resort Entebbe
                                                       Ero beach Entebbe

12 comments:

Anonymous said...

Samahani JL huyu Beatrice (KAMPALA) aliwahi kufanya kazi KONOIKE naomba muulize kama ni yeye naomba kuwasiliana naye E-mail yangu ni limwaana@yahoo.co.uk

asante sana

Anonymous said...

Sibabaishi na no plate ya CD kwani hata gari la baba naweza azima bila ya kuwa " well educated" what's wrong with u Sinta? Just a number plate with 'CD'#SMH

Anonymous said...

Beatrice ni dada anayejiheshimu na ana mume wake wa maana. Big thumbs up Sintah! Company poa. Ila hujatuambia ni kwa nini ulispend 48 hrs only in Kampala!Si ungekaa japo kidogo jamani! unajua tena kampala ni kama home.

Anonymous said...

hahaha c ushamba unamsumbua no plate ya CD imemtia kiwewe kwikwikwi
LOW THINKING CAPACITY

Anonymous said...

they may b educated as u saying bt u cnt call urself educated,an educated person is seen on hw he or she analyses issues,u r nt dat kind of person,unaandika ujinga tu,u dnt belong to da educated class gf,sorry

Anonymous said...

NO PLATE YA CD???????? SASA KUBWA HAPO LIPI KUMBE WE LIMBUKENI WA VITU EHEEE, NDO MAANA TUNAKUAMBIA KILA SIKU WE BAKI KAMA SINTA TU USHAMBA KAZI. SASA WEWE NDO UNATAKA KUJILINGANISHA NA MAMA UTURN AMBAYE NO PLATE YA CD INAKUSUMBUA UNAONA KITU KIKUBWA? MI MWENYEWE MWENZIO NA HALI YANGU SIONI KWAMBA NI ISUE KUBWA POLE SAAAAAAAAAAAAAANA ILA UNAJIANIKA TUNAJUA ULIMBUKENI WAKO

Anonymous said...

Ushamba mzigo jamani..

Anonymous said...

Tena mzigo wa mavi, usipokushinda kwa uzito utakushinda kwa harufu

Anonymous said...

yani ushamba alionao uyu bi dada ni zaidi ata ya mzigo jamani,wats so special hapo sasa?! mbona wengine tumezaliwa tunatumia cd cars,tumekuwa ktk cd cars,tumezaa na sisi watoto ktk cd cars,si ndo tungekuwa wa kwanza kupiga nayo mi picha,kwanza iyo ni misuse kabisa ya cd cars.Si namba za kuzifanyia show off,na uyo anaye fanyia show off cd car ujue sio diplomat wa ukweli na wala hata hajui ethics za good diplomat maskini.halaf white plate,niishie tu hapo niache watu na ushamba wao.Mweeeeeee nimecheka sana

Anonymous said...

Hao ndio madiploti wa Uganda? Mbona hapo ni pachafu hivyo? Hiyo beach mbona siioni? Yaani kaazi kweli kweli sasa yeye diplomat ndio anajirusha hapo kwa chips mayai je wenzangu na mie wataenda wapi?

Anonymous said...

mh Sintah una hamu sana ya kutumia CD plate no.?? Soma sana na uwe na bahati upate kazi UN as international staff ili uwe na hiyo plate no. unayoiota! Sijui utaanza na P ngapi mdada wewe!!!

Anonymous said...

Nyoo fyuu nyie wasahamba kweli hiyo plate number ndio mmeona ni issue eti educated poeple wanapiga pic na plate number hambayo hata hawajui maana yake mm natia huruma.

Nasikitika kuiona hii post late.... mmmh huyo Beatrice muache huyo baba wa watu umemngangania miaka enda rudi umemloga mpaka basi.

Kifupi wala hata ajamuoa wala ndugu wa huyo baba hawamjui asijishaue hapo mke wa mtu. liacha ya kumloga akishirikiana na mma na sis wake bado anamwibia juu, dawa zinatumwa toka bara visiwani zinavuka boda mpka UG. Unajua fika akikuacha huna mkundu wala matako hunyi wala hukojoi.

UNAMLOGA HUYO BABA ILI ASIKUACHE NA AKUPE HELA MAANA HUNA ISSUE MTOTO HUWEZI KUPATA KWA SABABU YA MAMBO YAKO YALEEE ULIYOKUWA UNAYAFANYA KULEE KCMC KWA DR.... MAJIBU YAKE NDIO HAYOO SSA NO KID

Kwani ulikuwa wapi wenzako walivyokuwa wanasomeshwa na wazazi wao? wewe mpak utiwe ndio ulipiwe skoll fees looooo nyoooo kwisha hbri yake...

bEATRICE HYO DADA YAKO ALIFIKIRI BIASHARA YA CHINA MCHEZO KAISHIA KUHONGA WANAUME NA KUPELEKWA POLISI HIYO NA BADO SEGEREA INAMUITA... MWAMBIE POLE NA FINCA..... ALIKUWA ANATUMBUA TU HAJUI DAWA YA DENI KULIPA

Wadau msione wenzenu hapo eti wenye CD WANAKULA CHIPSI VUMBI ZAO HAPO NI KUWASIKITIKIA TU BEATRICE USIKU HALALI ANAVIZIA SURUALE PICKPOCKET CHUBWI CHUBWI Poleee

nyooo fyuuuuuuuuu washenzi watabia nyie umalaya mnapigisha dar, kenay sasa UG

Ch@#$%^^&**## kabis&**((