Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TYRA BANKS ASABABISHA BBQ BALAAAAH
                             udenda usikutoke

                    jacky (bride to be)

                grandyyyyyy

                   
4 comments:

Anonymous said...

berinda unapenda sana kuuza sura mjini kiufupi unapenda umaarufu sasa hapo kuna kipi cha milioni nne poleni weeeeee hamna kazi ya kufanya kutwaaa kuzurula na kufanya party za kisenge tuu

Anonymous said...

Umependeza Christine hongera make up imetulia uwe unapaka hivyo hivyo. na kwa wale wapenzi wako waliokuwa wanataka kujua gari yako ni Toyota Raum no T984 BLB, usibania sintah km kweli wewe ni nothing but confidence na ukibania ntaipost kwny blog nyingine wadau wataiona tu, utasonyaaaaaje.

Anonymous said...

kwani inahuuuuuuuu hata angekuwa na starlet ni ya kwake.na wewe mbona hujataja gari lako kazi kutaja ya wenzako tu nyooooooo.

jane bomba

Anonymous said...

Mbona hiyo ni kama sunday bbq lunch ya familia tu? Sasa uto tunyama jamani mmegawanaje au kulikuwa na chakula kingine?