Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

URBAN-RURAL MIGRATION

                                baby Joshua and dady

               Double RR
                                      Kanumba,jlo and Richardkwa wale tuliosoma population studies inatusaidia mambo,jamani kusema kweli mpenzi wa Mungu shule ni muhimu sana ona sasa mimi nikitoa maada lazima nigusie mambo niliyosoma najua hapo unatamani kujitoa roho kwa kununa usijali jiendeleze tuu utakuwa kama mimi
nashuka namna hii,Richard B si jina geni kwenu ni kijana mtanashati na niko naye karibu kidogo hivi juzi aliniambia anahamia Moshi nikasema whattttt say it again, akaniambia mamito as we speak nipo Moshi karibu sana weekend hivi
uuuh hapo ndipo nikajua Dar tumezidi na population ni kubwa sana,kwanini na wewe usiende ukafanya kazi zako katika mkoa wako? labda utapata more money maana kuna decentralization na local goverment still funds zitakuja(kwa wale niliowaacha hapo poleni)
RR mmeonyesha mfano wa kuigwa nasi tunakuja katika mikoa yetu kuendeleza mafanikio zaidi,
good Richard hope you will enjoy ure stay.

7 comments:

Anonymous said...

Bwana wee Hawakuamia huko kisa wao ni wachaga ni kwajili ya kikazi ingekuwa ni kuamia mkoa wao basi wangeamia uzaramuni kwa ni wazaramo hao.

Anonymous said...

kwikwikwiiii, seriously u called ur self umesoma, maybe, ila u need more than Bachelor coz, hiyo topic hapo haina kichwa wala meno!

Anonymous said...

ahhh, mchangiaji wa pili nimekupenda sana, na kwa kuongezea barchelor degree zipo nyingi, kuna za chumbani, lodge, na za darasani, je huyo bibiye sinta yake ni ipi???

na hiyo population anayoisema imejaa mjini aanze yye kwenda mikoani zen sie ambao hatujasoma tumfuate nyuma...

Anonymous said...

eti JLO, why cant yu be yoself, y using others name, u've a good name dat suit yu well, and y copying other people's name ambayo hauendani nayo hata kidogo...............jlo my ass

BE YO'SELF GAL

Anonymous said...

wewe ni mrembo..lakin kwanini unajiita JLO..haufanani nae hata chembe..jikubali na kuza jina lako...haipendezi..pia punguza kitambi

Anonymous said...

sintah unachekesha watu kweli wewe kwenye kusoma embu usiongee kabisaaaa achana na hiyo kitu,waliosoma wenyewe wakikusikia utachapwa wewee. Waliosoma unadhani utawajua,mazuzu ndio wanaoongea sana kama wewe.

Anonymous said...

shule si lelemama binti,unadhani kuna kuuza sura kule,hakuna msomi lopolopo kama wewe na ungebahatika kwenda shule wewe wangekuvua CHUPI MPAKA UNGEKOMA NA KUDISCO UNGEDISCO kwani hufananii shule wewe unafanania UKAHABA ndio maana unatafuta soko kwa nguvu kwenye blog hii,POLEEE