Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

UCHUMI SUPERMARKET IMEKUJA KUWASHIKA

                                                  ukizunguka weeee unaweza kukaa na kupata chochote
                                                    sehemu ya nyam nyam


ukiwa ndani ya uchumi supermarket hauboreki kabisaaa,haya ni baadhi ya mambo tuu ambayo yapo ndani,jihakikishie mwenyewe ukifika pale jengo la Quality Center,
kwa wale ambao mko abroad ukifika bongoland tua kwanza then nenda pale utahisi bado uko ulaya ulaya

UCHUMI SUPERMARKET: YOUR HOME OF VALUE

No comments: